WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KWENYE MILIPUKO

: WATU 11 WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KWENYE MILIPUKO

Milipuko miwili ya kujitoa muhanga iliyohusisha gari mbili imetokea kwenye Mji Mkuu wa Somalia na kusababisha vifo vya watu 11 na kujeruhi wengine 25 ambapo kikundi cha Al-Shabab wamekiri kuhusika nayo

Mlipuko wa kwanza ulitokea karibu na sehemu ya ukaguzi kwenye Kasri ya Rais na kusababisa vifo 9

Mlipuko wa pili ulitokea kwenye njia inayoelekea uwanja wa ndege wa mji huo ambapo alifariki dereva wa gari hiyo na mshirika wake

Al-Shabab wamesema lengo la milipuko hiyo kwenye maeneo hayo illikuwa kulipua eneo la ukaguzi la uwanja wa ndege kwa kuwa wanadiplomasia wengi hutumia uwanja huo na pia kasri la Rais kwa kuwa ni eneo ambalo huwa wanalilenga mara nyingi

KYELA, MBEYA: WATU ZAIDI YA 10 WAJERUHIWA KATIKA AJALI YA GARI

KYELA, MBEYA: WATU ZAIDI YA 10 WAJERUHIWA KATIKA AJALI YA GARI

Watu hao wamejeruhiwa katika ajali hiyo inayoelezwa kuwa imesababishwa na mwendokasi wa basi aina ya ‘Coaster’ walilokuwa wakisafiria

Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Ikomelo wilaya ya Kyela mchana wa leo

Mashuhuda wanasema kuwa basi hilo liliacha njia na kugonga kifusi cha udongo kilichokuwa pembeni ya barabara

VILABU VILIVYOTOA WACHEZAJI WENGI KWENDA AFCON 2019 NA TIMU ZAO TOFAUTI TOFAUTI ZA ZA TAIFA

:
1Β° de Agosto πŸ‡¦πŸ‡΄ – 8
Kaizer Chiefs πŸ‡ΏπŸ‡¦ – 7
Zamalek SC πŸ‡ͺπŸ‡¬ – 6
EspΓ©rance Tunis πŸ‡ΉπŸ‡³ – 6
Mamelodi Sundowns πŸ‡ΏπŸ‡¦ – 6
TP Mazembe πŸ‡¨πŸ‡© – 6
Simba SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ – 6
Bidvest Wits πŸ‡ΏπŸ‡¦ – 5
Al Ahly SC πŸ‡ͺπŸ‡¬ – 5
Azam FC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ – 5
Pyramids FC πŸ‡ͺπŸ‡¬ – 5
Gor Mahia πŸ‡°πŸ‡ͺ – 4
African Stars πŸ‡³πŸ‡¦ – 4
Orlando Pirates πŸ‡ΏπŸ‡¦ – 4
Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ – 4
Sofapaka πŸ‡°πŸ‡ͺ – 4
Golden Arrows πŸ‡ΏπŸ‡¦ – 4
Ismaily SC πŸ‡ͺπŸ‡¬ – 3
Lusaka Dynamos πŸ‡ΏπŸ‡² – 3
KCCA FC πŸ‡ΊπŸ‡¬ – 3
Supersport Utd. πŸ‡ΏπŸ‡¦ – 3
Petro Atletico πŸ‡¦πŸ‡΄ – 3
FC Nouadhibou πŸ‡²πŸ‡· – 3
Baroka FC πŸ‡ΏπŸ‡¦ – 3
#TotalAFCON2019 #AFCON2019

Mtanzania Nickson Kibabage, Kuitumikia klabu ya Difaa El Jadida ya Nchini Morocco…

– Mchezaji wa Klabu ya Mtibwa Sugar, Nickson Kibabage, amesaini mkataba wa miaka minne (4) Kuitumikia klabu ya Difaa El Jadida ya Ligi Kuu Nchini Morocco… Kibabage anaungana na Mtanzania mwingine kwenye timu hiyo ambaye ni nyota wa Taifa Stars, Simon Msuva.
:
– Kibabage anaweza kucheza kama Mlinzi wa kushoto au winga wa kushoto, nafasi zote huzimudu vizuri akiwa na timu za taifa mwanzo U17 na Sasa yupo U20 na U23..
#transfers

FULL-TIME: Ukraine πŸ‡ΊπŸ‡¦ 3–1 South Korea πŸ‡°πŸ‡·.word cup. U20

FULL-TIME: Ukraine πŸ‡ΊπŸ‡¦ 3–1 South Korea πŸ‡°πŸ‡·
Supriaha 34′, 54’Tsitaishvili 89′ || Lee Kang-in 5′ ( pen. )
:
– Hatimae Mashindano ya Kombe La Dunia kwa Vijana wa Chini ya Umri wa Miaka 20 yamefikia tamati hii leo Nchini Poland kwa Vijana wa timu ya taifa ya Ukraine kutwaa Ubingwa huo Baada ya Kashinda 3-1 dhidi ya Wenzao wa Korea ya Kusini… Huu ni Ubingwa wa kwanza kabisa kwa Ukraine katika Historia yao.
.
– Washindi wa Zawadi katika Mashindano hayo ni..
πŸ‘‰ 🧀 Golden Glove: Mlinda lango bora ni Andriy Lunin akitokea Ukraine πŸ‡ΊπŸ‡¦: huyu Pia anakipiga Real Madrid.
.
πŸ‘‰ ⚽ Golden Boot: Mfungaji bora ni Erling Braut HΓ₯land akitokea Norway πŸ‡³πŸ‡΄ Ana Magoli Tisa; huyu kacheza mechi tatu tu lakini alipiga goli Tisa Peke yake katika game Moja dhidi ya Honduras.. Pia anatokea Klabu ya Salzburg.
.
πŸ₯‡ Golden Ball: Mchezaji Bora wa Mashindano ni Lee Kang-in akitokea Korea Republic πŸ‡°πŸ‡·akifunga Magoli mawili na Assist Nne.. Nyota huyo Ambaye Pia anakipiga Klabu ya Valencia.
.
πŸ‘‰ Japan πŸ‡―πŸ‡΅ wamepewa tuzo ya Mchezo wa Kiungwana “FIFA Fair Play Awards” πŸ†
#U20WC #Poland2019
@Sokawaytz

KMC FC Imethibitisha kushiriki kwao katika Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2019

Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Kombe La Shirikisho Afrika, Klabu ya KMC FC Imethibitisha kushiriki kwao katika Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2019 yatakayofanyika kuanzia mwezi Ujao huko Kigali, Rwanda.
.
– KMC wamesema kuwa watatumia Mashindano hayo ya kikanda kufanya Maandalizi yao kabla ya kuanza kwa game zao za Kimataifa… KMC ambayo kwasasa haina Kocha Mkuu inatarajia kumtangaza kocha mpya siku yoyote kuanzia Wiki Ijayo ambapo Wamepokea CV za makocha kutoka Sehemu Mbalimbali Afrika na Ulaya Kama Afrika Kusini, Botswana, Ureno, Ubelgiji na Ufaransa..
.
– KMC Baada ya Kuthibitisha kuwepo Kagame Cup, inakuwa timu ya Pili kutoka Tanzania pamoja na Azam FC… Ikumbukwe Yanga SC na Simba SC zilitangaza kutishiriki Michuano hii.
#cecafa #CECAFAKagameCup
@Sokawaytz

Design a site like this with WordPress.com
Get started