Ratiba ya michezo ya leo Ligi Daraja la Kwanza Tanzania, Kundi B @tplboard

Ratiba ya michezo ya leo Ligi Daraja la Kwanza Tanzania, Kundi B @tplboard

#repost @hajismanara
Asanteni Sana Wanasimba wote hususan Bodi ya wakurugenzi chini ya Mwenyekiti wetu Mohammed Dewji,lakini kubwa kwa CEO wetu mpya Mr Senzo kwa kuendelea kuniamini kufanya kazi ktk klabu hii kama Msemaji wao rasmi.
:
Insha’Allah ntaendelea kufanya kazi hapa kwa spirit ile ile!! Done Deal
Simba Nguvu Moja 🙏

@moodewji @simbasctanzania @football_senzo

Wiki iliyopita: Goli la Ushindi Dakika ya 90+2’
Wiki Hii: Goli la Ushindi Dakika ya 87’
…
✍️ Neymar anafanya ambayo Mashabiki wa PSG walitarajia kutoka kwake wakati anasajiliwa kwa day kubwa!… Baada ya mashabiki kumzomea sana Kipindi tofauti tofauti Sasa anawajibu Uwanjani 😊🙌!..
#psg #neymar #ligue1

✍️ Meneja wa Real Madrid, Zinedine Zidane anasema “hana wasiwasi” kuhusu uvumi kwamba aliyekuwa bosi wa Manchester United na Chelsea, Jose Mourinho huenda akaichukua nafasi yake katika timu hiyo ya Uhispania.
..
✍️ Zidane pia amedai kwamba kushindwa kwa Real Madrid kumsajili mchezaji wa kiungo cha kati wa Tottenham Christian Eriksen, mwenye umri wa miaka 27, na mchezaji wa kiungo cha kati wa Ajax Donny van de Beek, aliye na umri wa miaka 22, msimu huu wa mjira wa joto ni uamuzi wa bodi na sio wake binfasi..
#transfers #RealMadrid

150 – Jürgen Klopp Sasa kafikisha Michezo 150 akiiongoza Liverpool katika Premier League; Ni José Mourinho (105) Kashinda mechi nyingi Zaidi Katika Mechi zake 150 za Awali Katika Ligi kuliko Mjerumani huyo wa Liverpool ambaye Kashinda mechi 92 Katika Mechi zake 150..
..
✍️ Klopp pia ameiongoza Liverpool kuandika Historia Mpya ndani ya Klabu, ambapo wameshinda Mechi 14 mfululizo za Ligi Ikiwa Ni kwa mara ya kwanza kabisa Katika historia ya Klabu hiyo… Pia wameshinda Mechi Sita mfululizo za mwanzo wa Msimu kwa Msimu wa Pili Mfululizo Ikiwa ndio Klabu ya kwanza kabisa Katika historia ya Premier league kufanya Hivyo..
…
✍️ Orodha nyingine ya Makocha, idadi ya Ushindi wa Mechi Baada ya Kufikisha mechi 150 wakiviongoza Vilabu Katika Premier League!..
– Sir Alex Ferguson 90W
– Kenny Dalglish 85W
– Arséne Wenger 84W
– Manuel Pellegrini 83W
– Gèrard Houllier 81W
– Rafael Benitez 81W
– Kevin Keegan 80W
– Claudio Ranieri 78W.
#premierleague #liverpool
@Harunlugoyah

Anaandika @samuel_.samuel
:
Ni timu yetu ya taifa … tuitazame katika mtazamo wa kitaifa. Kufungwa ni sehemu ya mchezo …. tumekuwa bora kwa muda…. tuzitunze imani zetu katika Ulimwengu wa Roho….kwa kukubali kila jambo maana mpaji anajua wakati gani akupe neema na wakati gani aicheleweshe kuiandaa nafsi yako kwa mema zaidi ( mitihani kaumbiwa mwanadamu ) .
:
Naimani kubwa ya Taifa Stars kupindua matokeo na kutupa nafasi watanzania kusonga mbele. Mwalimu alipanga kikosi alichoona sawa kwa mbinu na maandalizi yake .. aheshimiwe na kushauriwa kwa mrengo chanya sio kusema ameweka wachezaji kwa mapenzi yake.
:
Tukumbuke Ndayarigije na utaifa wake wa Burundi alisimama kwenye benchi kulizamisha jukwaa la taifa lake na kutupa raha watanzania… huu ni uzalendo au weredi wa kiasi gani katika kazi yake? Hapana tusianze kuwatoa mchezoni wachezaji na benchi la ufundi. Tuwape moyo na kuwatazama katika kama wawakilishi wa taifa letu .
@tanfootball @taifastars_

Germany – Bundesliga
21:30 Wolfsburg vs Hoffenheim
:
#AlgeriaLigue 1
19:00 NA Hussein Dey vs ES Setif
:
#EgyptPremierLeague
18:30 Smouha SC vs Al Ahly
21:00 El Zamalek vs Al-Ittihad Al-Sakandary
Imeandaliwa na @officialchristz wa @sokaplace_
#AfricanNationsChampionshipQualification
FT Madagascar 1 – 0 Namibia
FT Ethiopia 0 – 1 Rwanda
FT Zimbabwe 3 – 1 Lesotho
FT Eswatini 0 – 1 Zambia
FT Central African Republic 0 – 2 DR Congo
FT Equatorial Guinea 2 – 2 Congo
FT Niger 2 – 0 Ivory Coast
FT Ghana 0 – 1 Burkina Faso
FT Tanzania 0 – 1 Sudan
FT Togo 4 – 1 Nigeria
:
#EgyptPremierLeague
FT Aswan FC 2 – 3 Misr El-Maqasa
FT El Entag El Harby 3 – 0 FC Masr
FT Wadi Degla FC 0 – 1 Tanta
FT Al Masry 1 – 1 El Hodood
:
#KenyaPremierLeague
FT Posta Rangers 0 – 1 Western Stima
FT Kakamega Homeboyz 3 – 0 Kariobangi Sharks
FT SoNy Sugar 0 – 1 Bandari
FT Sofapaka 4 – 0 Chemelil Sugar
FT Zoo FC 1 – 2 Tusker FC
FT Gor Mahia 2 – 1 KCB
;
#MoroccoBotolaPro
FT Raja Beni Mellal 0 – 2 MAT Tetouan
FT OCK Khouribga 0 – 0 Hassania Agadir
FT Ittihad Tanger 0 – 0 Difaa El Jadida
:
#SouthAfricaPremierleague
FT Baroka FC 1 – 2 Highlands Park FC
FT Cape Town City FC 1 – 1 Lamontville
:
#EnglandPremierLeague
FT Crystal Palace 1 – 1 Wolverhampton Wanderers
FT West Ham United 2 – 0 Manchester United
FT Arsenal 3 – 2 Aston Villa
FT Chelsea 1 – 2 Liverpool
:
#SpainLaLigaSantander
FT Getafe 4 – 2 Mallorca
FT RCD Espanyol 1 – 3 Real Sociedad
FT Valencia 1 – 1 Leganes
FT Athletic Bilbao 2 – 0 Deportivo Alaves
FT Sevilla 0 – 1 Real Madrid
:
#ItalySerieA
FT Sassuolo 3 – 0 SPAL
FT Bologna 1 – 2 Roma
FT Sampdoria 1 – 0 Torino
FT Lecce 1 – 4 Napoli
FT Atalanta 2 – 2 Fiorentina
FT Lazio 2 – 0 Parma
#GermanyBundesliga
FT Borussia Mönchengladbach 2 – 1 Fortuna Düsseldorf
FT Eintracht Frankfurt 2 – 2 Borussia Dortmund
:
#FranceLigue1
FT Rennes 1 – 1 Lille
FT Angers 4 – 1 Saint-Etienne
FT Lyon 0 – 1 Paris Saint-Germain
:
#NetherlandsEredivisie
FT SC Heerenveen 1 – 1 FC Utrecht
FT FC Emmen 3 – 3 Feyenoord
FT ADO Den Haag 0 – 1 AZ Alkmaar
FT PSV Eindhoven 1 – 1 Ajax Amsterdam
:
#BelgiumFirstDivision A
FT Standard Liege 3 – 0 Eupen
FT Club Brugge 2 – 1 Anderlecht
FT Zulte Waregem 2 – 2 Gent
Imeandaliwa na @officialchristz wa @SokaPlace_