

Breaking News | Aliyekuwa kocha msaidizi wa Lipuli Fc Selemani Matola amejiunga na Polisi Tanzania iliyopanda kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.


Breaking News | Aliyekuwa kocha msaidizi wa Lipuli Fc Selemani Matola amejiunga na Polisi Tanzania iliyopanda kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.


Kikosi cha wachezaji 23 wa timu ya Taifa ya Nigeria kitakachoshiriki michuano ya Afcon mwaka huu nchini Misri.

D


Beno Kakolanya amesaini mkataba na Simba Sc kwa miaka miwili


Klabu West Ham United imekamilisha usajili wa kiungo Pablo Fornals kutoka Villarreal kwa mkataba wa miaka mitano.


Klabu ya KMC imemuongeza mkataba wa miaka mitatu (3) kiungo mshambuliaji Hassan Kabunda utakaomalizika mwaka 2022.


Paolo Maldini ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa ufundi wa klabu ya AC Milan.

M









MAGAZETI YA MICHEZO HII LEO IJUMAA:..


Kiungo wa zamani wa klabu ya Chelsea, Ramires Santos amejiunga na Klabu ya nyumbani kwao Brazil, Palmeiras Kama Mchezaji huru.
.
– Ramires 32; ambaye aliitumikia Chelsea kwa miaka Sita ya Mafanikio.. Amejiunga na Klabu hiyo ya Kibrazil Baada Mkataba wake kumalizika na Klabu ya China, Jiangsu Suning aliyoitumikia tangu January 2016… 2009 mpaka 2014 alifanikiwa kuitumikia timu yake ya Taifa ya Brazil kwa kuichezea games 52 na kuifungia Magoli 4 Kati ya hayo goli Moja alitufunga Tanzania nyumbani kwetu Dimba La Taifa Juni 2010..
#Updates #transfers
@Sokawaytz


MATOKEO YA SOKA JANA NA RATIBA YA HII LEO IJUMAA:
:
– World Cup Women – Group B.
FT South Africa 0 – 1 China
– World Cup Women – Group C
FT Australia 3 – 2 Brazil
.
– International – Friendlies.
FT Egypt 1 – 0 Tanzania
:
RATIBA YA HII LEO.
– World Cup Women – Group C
19:00 Jamaica
Italy
– World Cup Women – Group D
19:00 Japan
Scotland
21:00 England
Argentina
.
– FIFA World Cup U20.
21:30 Italy U20
Ecuador U20
.
– International Friends.
21:00 Cameroon
Mali.
#Updates
@Sokawaytz

–

Kiungo bora wa kati na kipenzi cha Wanasimba, Jonas Gerald Mkude ni rasmi sasa kuwa ataendelea kuwa sehemu kikosi cha Mabingwa hao wa Tanzania @simbasctanzania baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia..
#Updates #transfers