
Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba tayari kimeondoka nchini kwenda jiji la Beira huko Msumbiji ambako kesho Jumamosi itacheza na UD Songo mchezo wa ligi ya mabingwa, hatua ya awali
Simba imeondoka kwa kutumia ndege ya kukodi, Flight Link
Nyota walioondoka;
Beno Kakolanya
Gadiel Michael
Shomari Kapombe
Erasto Nyoni
Pascal Wawa
Jonas Mkude
Sharaf Shiboub
Francis Kahata
Meddie Kagere
John Bocco
Clatous Chama
Ally Salim
Mohamed Hussein
Tairone da Silva
Mzamiru Yassin
Gerson Veira
Deo Kanda
Rashid Juma
Hassan Dilunga


















