Simba sc kuikabili UD Songs kwa tahadhari kubwa

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo leo hautakuwa mwepesi lakini muhimu kwao ni kupata matokeo mazuri ugenini

Mida ya saa 11 jioni kwa saa za hapa Tanzania, Simba itashuka dimbani huko Beira Msumbiji kucheza na UD Songo ukiwa ni mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa hatua ya awali

Mbelgiji huyo amesema wanawaheshimu wapinzani wao ambao watakuwa nyumbani katika mchezo huo

“Tuna heshima kubwa kwa wapinzani wetu, na tunajua utakuwa mchezo mgumu. Tuna michezo miwili, kesho (leo) na mwingine Dar na lengo ni kufuzu hatua inayofata,” amesema

Matokeo ya ushindi au sare kwa Simba yatakuwa ni matokeo mazuri kuelekea mchezo wa marudiano ambao utapigwa ‘machinjioni’ uwanja wa Taifa

AS Monaco yaanza vibaya msimu mpya wa ligue 1 kwa kipigo

FULL-TIME | AS Monaco 0-3 Lyon
[ Moussa Dembele, Memphis Depay, Lucas Tousart ]
:
– Mwanzo mbaya wa Ligi kwa AS Monaco, kipigo Cha kwanza nyumbani Stade Louis II Katika mechi yao ya Kwanza kabisa ya Msimu Mpya wa Ligue 1… Baada ya Dakika 30 tu Cesc Fabregas alitolewa kwa Kadi nyekundu!.
:
– Lyon sasa hawajapoteza Mechi 16 za ufunguzi wa Msimu wa Ligue 1 (W13, D3), Wakiwa na clean sheets Katika mechi Nane zilizopita!.,

MATOKEO YA SOKA JANA IJUMAA NA.RATIBA YA LEO JUMAMOSI:.

– England – Premier League.
FT Liverpool 4 – 1 Norwich City
.
– Germany – DFB Cup.
FT FC Ingolstadt 04 0 – 1 FC Nürnberg
FT FC Uerdingen 05 0 – 2 Borussia Dortmund
FT SV Sandhausen 0 – 1 Borussia Mönchengladbach
.
– France – Ligue 1.
FT Monaco 0 – 3 Lyon
.
– Belgium – First Division A
FT Anderlecht 0 – 0 KV Mechelen
.
CAF – Champions League.
AS SONIDEP 🇳🇪 1 – 2 USM Alger 🇩🇿
JS Kabylie 🇩🇿 1-0 Al-Merrikh 🇸🇩
.
– CAF – Confederation Cup.
Paradou AC 🇩🇿 3-0 CI Kamsar 🇬🇳
.
– International – Club Friendlies.
FT Altay 3 – 1 Denizlispor
FT Ankaragucu 0 – 2 Genclerbirligi
FT Real Sociedad 2 – 0 Osasuna
FT Catania 1 – 1 Cagliari
FT Granada 2 – 1 Sevilla
:
RATIBA YA SOKA HII LEO JUMAMOSI:.
– England – Premier League.
14:30 West Ham
Manchester City
17:00 AFC Bournemouth
Sheffield United
17:00 Burnley
Southampton
17:00 Crystal Palace
Everton
17:00 Watford
Brighton
19:30 Tottenham
Aston Villa
.
– England – Championship.
14:30 Leeds United
Nottingham Forest
17:00 Birmingham City
Bristol City
17:00 Cardiff City
Luton Town
17:00 Charlton Athletic
Stoke City
17:00 Derby County
Swansea City
17:00 Fulham
Blackburn Rovers
17:00 Hull City
Reading
17:00 Middlesbrough
Brentford
17:00 Preston
Wigan Athletic
17:00 QPR
Huddersfield
17:00 Sheffield Wednesday
Barnsley
17:00 West Brom
Millwall
.
– France – Ligue 1.
18:30 Marseille
Reims
21:00 Angers
Bordeaux
21:00 Dijon
Saint-Etienne
21:00 Montpellier
Rennes
21:00 Nice
Amiens
21:00 Brest
Toulouse.
.
– Belgium – First Division A.
19:00 Oostend
Club Brugge
21:00 Eupen
Waasland-Beveren
21:00 Cercle Brugge
Kortrijk
21:30 Genk
Zulte Waregem
.
– South Africa – Premier League.
16:00 Polokwane City
Amazulu Durban
19:00 Cape Town City
Stellenbosch FC
21:15 Kaizer Chiefs
Black Leopards.

@habarizamichezo

NI SIKU YETU WATANZANIA KUIPEPERUSHA VYEMA BENDERA YETU.

Kilala kheri @azamfcofficial
Makamanda wa Azam Fc Iddi Selemani Nado, Obrey Chirwa ,Donald Ngoma naamini hawatatuangusha watanzania katika Mchezo wa leo dhidi ya Fasil Kenema utakao anza saa kumi jioni.
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Azam FC.
:
Kilala Kheri
@kmcfc_official
Makamanda wa KMC James Msuva Salim Aiyee Besala Bokungu akina Juma Kaseja Chini ya Kocha Jackson Mayanja hawatatuangusha leo katika Mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya As Kigali ya Rwanda ambao utaanza saa kumi kamili jioni.
:
Kilala kheri @yangasc
Makamanda wa Yanga SC akina isa Bigirimana ,Metacha Mnata ,Kelvin Yondani ,Feisal Salim , Deus Kaseke hatuna shaka nao tunaamini wataipeperusha vyema bendera ya Tanzania dhidi ya @townshiprollersfc majira ya saa kumi na mbili jioni katika Uwanja wa taifa Jijini Dar es laam.
:
Kilala Kheri Mnyama @simbasctanzania
Makamanda wa Simba SC wakiongozwa na Mlinda mlango bora @official_beno_kakolanya30 mtu mbaya Medie Kagere ,Jonas Mkude ,Deo Kanda Shiboub Mwamba wa Lusaka Clatous Chota Chama tunaamini hawatatuangusha watanzania katika Mchezo wa klabu bingwa barani afrika dhidi ya UD Songo ya Msumbiji.
Mchezo huu utaanza saa kumi jioni kwa saa za afrika mashariki na kati.
Kilala Kheri @simbasctanzania
Via @officialchristz

HISTORIA FUPI YA TOWNSHIP ROLLERS WAPINZANI WA YANGA.

:
Timu hii ilianzishwa mnamo mwaka 1959,Ni moja ya vilabu vyenye mafanikio makubwa Nchini Botswana na ndo Mabingwa wa msimu wa ligi ulioisha.
:
Township Rollers wamefanikiwa kutwaa mataji takribani 15 kwa ujumla na wakiwa na wadhamini takribani 8 kwa hiyo sio timu yenye njaa,kikosi hicho kilichosheheni nyota zaidi ya 5 ambao hucheza Timu ya Taifa hupendelea sana kutumia mfumo wa 4-3-3, wakiwa na maana ya kwamba washambuliaji 2 wakiwa hawana mpira hurudi katikati na kusaidizana na viungo wenzao na mbele anabaki mshambuliaji mmoja tu ,na pindi tu wanapokuwa wamekama mpira hupanda wote wa3 kwenda kushambulia kwa pamoja,wachezaji kama Ditlhokwe, Joel Morogosi na wengine kibao.
:
Msimu huu wamefanya Usajili na moja ya usajili wao nikiungo wanamuuita (killer pass) kutoka BDF XI.
:
Kesho watashuka dimbani Kumenyana na Yanga,na ikumbukwe kuwa walishawahi kuwatoa Yanga katika mashindano haya kwa jumla ya magoli 2-1 ,ikiwa na maana kwamba Mechi ya kwanz awakiwa Uwanja wa Taifa makirikiri waliweza kuutumia Uwanja wa ugenini vyema kabisa na kushinda goli 2-1 Uwanja wa taifa,na mechi iliyofuta kunako huko Botswana jamaa hawa waliwalazimisha Yanga kutoa sare na mechi iliisha kwa sare ya bila kufungana 0-0, na kuwafurumush nje ya mashindano Yanga.

@habarizamichezo

David silva ateuliwa kuwa nahodha manchester city

mchezaji nguli wa klabu ya manchester city david silva leo hii amechaguliwa kuwa nahodha wa timu hiyo ya manchester city ambayo ataiongoza katika msimu wa ligi kuu ya england mwaka 2019/20..

hii imekuja baada ya nahodha wa zamani wa klabu ya manchester city vicent kompany kuachana na klabu hiyo mwishoni mwa msimu wa 2018 /2019

david silva ataachana na klabu ya manchester city mwishoni mwa msimu ambako hajajulikana ni klabu gani ataelekea baada ya kuachana na nguli hao wa kimataifa wa england manchester city
@habarizamichezo

Anthony Martial ataanza kuvaa jezi namba 9 ndani ya klabu yake ya Manchester United

OFFICIAL: Anthony Martial ataanza kuvaa jezi namba 9 ndani ya klabu yake ya Manchester United kuanzia msimu mpya wa 2019-20.
.
– Martial alikuwa akivaa jezi hii namba tisa kabla ya Romelu Lukaku na Zlatan Ibrahimovic kujiunga na United, Sasa kaachana na namba 11 na kuirejea namba 9 baada ya Lukaku kujiunga na Inter Milan.
#Updates #manchesterunited
@Sokawaytz

Design a site like this with WordPress.com
Get started