Makocha …simba sc na Azam fc kuzungumza kuelekea mchezo wao

Leo saa tano asubuhi makocha wa vilabu vya Simba na Azam Fc watazungumza na wanahabari kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa kesho Jumamosi

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems na Etienne Ndayiragije watashiriki kwenye mkutano huo

Simba itarusha Mkutano huo ‘mbashara’ kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Youtube

Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi..athibitisha kufungiwa baadhi ya viwanja

Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi Boniface Wambura amesema kuwa wamevifungia viwanja vya Mabatini Mlandizi ,Mwadui Complex kilichopo Mjini Shinyanga na Manungu Complex wa kilichopo katika makao makuu ya klabu ya Mtibwa sugar kwa sababu ya viwanja hivyo kukosa uzio.

Wambura amesema viwanja hivyo vikifanyiwa marekebisho basi wataruhusiwa kurudi katika viwanja vyao.

Morocco. Yatangaza kocha Mapya wa timu ya taifa

✍🏻 Shirikisho la Soka Nchini Morocco 🇲🇦, limemtangaza Kocha wa zamani wa FC Nantes na timu ya taifa ya Japan, Vahid Halilhodžić Kuwa Kocha wao Mpya Mkuu akichukua Mikoba iliyoachwa wazi na Aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Herve Renard!.
:
✍🏻 Halilhodžić Raia wa Bosnia akiwa na umri wa Miaka 67 hivii Sasa, amepewa malengo Matatu tu ayatimize akiwa Kocha Mkuu wa Atlas Lions..
1. Afike Nusu fainali ya AFCON 2021.
2. Afuzu Fainali za Kombe la Dunia 2022.
3. Atwae Ubingwa wa AFCON 2023!.
.
✍🏻 Ametoka kuachana na Klabu ya Nantes ya Ligue 1 Baada ya kudumu Msimu mmoja tu uliopita, Kabla Alikuwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Japan, Algeria na Ivory Coast… Katika ngazi ya Vilabu Amewahi Kuwa Kocha Mkuu wa Klabu za, PSG, Dinamo Zagreb, Trabzonspor, RENNES, Lille, Ittihad Jeddah na Raja Casablanca ya hapo hapo Morocco 🇲🇦 inaonesha sio mgeni Sanaa ndani ya Morocco na Soka la Afrika… Swali linakuja, malengo atayatimiza?!..
#TransferNewsUpdate
@Sokawaytz

MATOKEO YA SOKA JANA ALHAMISI:

– Europa League – Qualification.
FT HJK 2 – 2 Riga FC
FT Dinamo Tbilisi 1 – 1 Feyenoord
FT Spartak Moscow 2 – 1 Thun
FT AIK 1 – 1 FC Sheriff
FT Apollon Limassol 3 – 1 Austria Wien
FT BATE Borisov 0 – 0 FK Sarajevo
FT Bnei Yehuda Tel Aviv 2 – 1 FK Neftchi
FT Mlada Boleslav 0 – 1 FC FCSB
FT Shakhtyor Soligorsk 1 – 1 Torino
FT Suduva 2 – 1 Maccabi Tel Aviv
FT Yeni Malatyaspor 1 – 0 Partizan Beograd
FT Zorya Luhansk 1 – 0 PFC CSKA-Sofia
FT Zrinjski Mostar 1 – 0 Malmoe FF
FT Hapoel Beer Sheva 3 – 1 IFK Norrkoeping
FT TNS 0 – 4 Ludogorets Razgrad
FT Trabzonspor 2 – 1 Sparta Prague
FT AEK Athens 1 – 1 CS Universitatea Craiova
FT Valletta 0 – 4 FC Astana
AET Viktoria Plzen 2 – 1 Royal Antwerp
FT AZ Alkmaar 4 – 0 Mariupol
AET Aris Thessaloniki 3 – 1 Molde
FT Eintracht Frankfurt 1 – 0 FC Vaduz
FT Gent 3 – 0 AEK Larnaca
FT PSV Eindhoven 0 – 0 FK Haugesund
FT Strasbourg 1 – 0 Lokomotiv Plovdiv
FT Aberdeen 0 – 2 Rijeka
FT SC Braga 3 – 1 Broendby IF
FT Rangers 3 – 1 FC Midtjylland
FT Wolverhampton Wanderers 4 – 0 Pyunik
FT RCD Espanyol 3 – 0 Luzern
.
– Algeria – Ligue 1.
FT NA Hussein Dey 0 – 0 JS Kabylie
FT JS Saoura 1 – 0 CS Constantine
FT NC Magra 1 – 0 ASO Chlef
FT USM Alger 2 – 1 ES Setif
FT CA Bordj Bou Arreridj 1 – 1 CR Belouizdad
FT US Biskra 1 – 0 Paradou AC
:
RATIBA YA HII LEO IJUMAA:.
– England – Championship
21:45 Huddersfield Town
Fulham
.
– Spain – LaLiga Santander.
22:00 Athletic Bilbao
Barcelona
.
– Germany – Bundesliga.
21:30 FC Bayern München
Hertha BSC
.
– France – Ligue 1
21:45 Lyon
Angers
.
– Italy – Coppa Italia.
21:30 Genoa
Imolese Calcio
.
– Belgium – First Division A.
21:30 Club Brugge
Eupen
#Updates #fixtures
@Sokawaytz

Design a site like this with WordPress.com
Get started