Gor mahia. Waipigia saluti.simba sc

Simba inapozungumzwa kama timu bora katika ukanda wa Afrika Mashariki kwa sasa kuna sababu nyingi

Kwanza, mafanikio ya Simba ndani ya uwanja hasa kwenye michuano ya Afrika

Msimu uliopita ni Simba pekee iliyofanikiwa kufika hatua ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika miongoni mwa timu kutoka Afrika Mashariki

Pili ni Simba kuwa klabu inayofuatiliwa zaidi kwenye ukanda wa Afrika Mashariki

Jana mmoja wa viongozi wa Gor Mahia hakuona aibu kuvalia jezi ya Simba wakati timu yake ikishangilia taji la Super Cup

Mara chache sana kwa tukio kama hilo kutokea, limedhihirisha ukubwa wa Simba

Mshabiki wa klabu ya Chelsea…watoa meno kwa Frank Lampard

Mshabiki wa klabu ya Chelsea wamemtaka kocha wa klabu hiyo Frank Lampard kumpa nafasi mshambuliaji wake Michy Batshuayi kwenye mchezo ujao wa EPL baada ya Tammy Abraham na Olivier Giroud kushindwa kuwapa furaha kwenye mchezo wao wa jana dhidi ya Leicester City uliomalizika kwa sare ya 1-1 (The Sun)

Barcelona yaendelea kutoa ofa kwa PSG ili kumnasa neymar

Kwa mujibu wa Dail Mail, klabu ya Fc Barcelona ipo tayari kumuachia beki wake wa kulia Nelson Semedo kwenda PSG kama sehemu ya ofa yao ya kumsajili Neymar Jr kabla ya dirisha la usajili halijafungwa.
:
Ikumbukwe Barca wanatarajia kutuma ofa nyingine ya mwisho wiki hii ili kuhakikisha Neymar Jr anarejea Camp Nou

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI + RATIBA YA SOKA LEO.

#TanzaniaFriendlyMatch
FT Yanga Sc 1-0 AFC Leopards
FT Polisi Tz 1-0 Namungo Fc
FT Biashara Untd 2-1 Pamba Sc
FT Stand 0-0 Mwadui Fc
FT Kagera Sugar 2-0 Gipco Fc
#EnglandPremierLeague
FT Sheffield United 1 – 0 Crystal Palace
FT Chelsea 1 – 1 Leicester City

@sokaplace_
#SpainLaLigaSantander
FT Deportivo Alaves 1 – 0 Levante
FT RCD Espanyol 0 – 2 Sevilla
FT Real Betis 1 – 2 Real Valladolid
FT Atletico Madrid 1 – 0 Getafe

#ItalyCoppaItalia
FT Perugia 2 – 1 Brescia
FT Fiorentina 3 – 1 Monza
FT Cittadella * 3 – 3 Carpi
FT Ascoli 2 – 0 Trapani
FT Cagliari 2 – 1 Chievo
FT Empoli 2 – 1 Pescara
FT Frosinone 5 – 1 Monopoli
FT Verona 1 – 2 Cremonese
FT Udinese 3 – 1 Sudtirol
FT Pisa 0 – 3 Bologna
FT SPAL 3 – 1 FeralpiSalo
FT Lecce 4 – 0 Salernitana
FT Sassuolo 1 – 0 Spezia
FT Crotone 1 – 3 Sampdoria

#FranceLigue1
FT Saint-Etienne 1 – 1 Brest
FT Reims 0 – 0 Strasbourg
FT Rennes 2 – 1 Paris Saint-Germain

#NetherlandsEredivisie
FT Fortuna Sittard 2 – 3 Willem II
FT FC Twente 3 – 3 RKC Waalwijk
FT AZ Alkmaar 0 – 0 FC Groningen
FT Feyenoord 1 – 1 FC Utrecht
FT Heracles 0 – 2 PSV Eindhoven

#BelgiumFirstDivisionA
FT Standard Liege 4 – 1 Royal Excel Mouscron P…
FT Royal Antwerp 2 – 0 St.Truiden
FT Gent 2 – 0 Oostende

KAMATA RATIBA YA SOKA LEO JUMATATU.
@sokaplace_
#EnglandPremierLeague
22:00 Wolverhampton Wande… vs Manchester United

#BelgiumFirstDivisionA
21:30 Zulte Waregem vs Sporting Charleroi

#AlgeriaLigue1
22:30 Paradou AC vs MC Alger
23:00 CR Belouizdad vs NC Magra
23:00 CS Constantine vs USM Alger
23:00 JS Kabylie vs US Biskra

Prepared by @officialchristz
Powered by @bikotanzania

Design a site like this with WordPress.com
Get started