Zlatan ibrahmovic aendeleza. Umwamba na LA GALAXY,…marekani

Alishathibitisha uwezo wake katika vilabu kadhaa kama Inter Milan, Barca, Manchester United.

Kwa sasa akiwa anacheza LA GALAXY, akiwa na miaka 37, Ibra Cadabra anazidi kutuonyesha kwamba kwake uzee wa Soka sio Ishu kabisa. Cheki hii record yake akiwa na La Galaxy.

👕Games: 47
⚽Goals: 40
🎯Assists: 10

SABABU NNE ZA KMC KUITOA AS KIGALI

1. Ubora wa kikosi
Hili halina ubishi kabisa.. Miongoni mwa timu chache zilizofanya usajili wa maana msimu huu ni KMC.. Imemsajili aliyekuwa mfungaji bora wa Mwadui kwa msimu uliopita, Salim Aiyee.. Ikamsajili aliyekuwa mfungaji bora wa Kagera Sugar, Ramadhani Kapera, wa Ndanda, Vitalis Mayanga na wengine kibao. Imechukua viungo wa nguvu kama Jean Mugiraneza na Kenny Ally.. Kwa kifupi timu imeiva.

2. Uwezo wa Mayanja
KMC iko chini ya mikono salama ya kocha Mganda, Jackson Mayanja.. Kocha mwenye historia tamu hapa nchini. Mayanja aliwahi kuifanya Kagera Sugar kuwa ya kutisha.. Aliwahi kuifanya Simba kupata matokeo ya kustaajabisha. Hakika akili yake imebeba dhamana kubwa ya mchezo huu.
3. Sare ugenini
Kwa kupata tu sare ugenini, KMC imethibitisha kuwa ni timu ya ushindani.. Imethibitisha kuwa ni timu bora.. Siyo tu kwamba ilipata sare ugenini, hapana, ilicheza pia kandanda safi. KMC ilitengeneza nafasi nyingi za kufunga.. Kama KMC ilikuwa bora pale Kigali, itashindwaje kuitoa As Kigali hapa? Haiwezekani.

4. Mipango ya viongozi.
Tayari KMC imekuwa na mipango imara nje ya uwanja.. Viongozi wake wakiongozwa na Meya Sitta wamekuwa imara kimkakati kuhakikisha wanashinda mechi hii.. Kwanza, wamehakikisha wachezaji wako kwenye mazingira mazuri.. Pili wametoa motisha ya kutosha kwa wachezaji wao kuhakikisha kuwa wanajituma zaidi na kupata ushindi.. KWETU MASHABIKI
Kazi yetu mashabiki ni moja tu, kuhakikisha tunakwenda kwa wingi Uwanja wa Taifa Ijumaa hii kuishangilia KMC..Kiingilio ni buku mbili tu… Kumbuka kuwa KMC inafanya jambo la kitaifa.
KMC tunasema, *TOGETHER WE CAN*

@kmcfc_official

Anthony Martial afikisha mabao 50 ndani ya manchester united

Nyota wa Man United Anthony Martial amefikisha mabao 50 akiwa na klabu hiyo. :
✍️ 2015/16 – mechi 49 – Magoli 17 ✍️ 2016/17 – mechi 42 – Magoli 8
✍️ 2017/18 – Mechi 45 – Magoli 11
✍️ 2018/19 – Mechi 38 – Magoli 12
✍️ 2019/20 – Mechi 2 – Magoli 2
:
Jumla: Mechi 176 – Magoli 50
:
Kwa sasa ndiye mfungaji bora katika kikosi cha Man United.

Matokeo ya Soka Jana +Ratiba ya soka leo.

#EnglandPremierLeague

FT Wolverhampton Wanderers 1 – 1 Manchester United

#NetherlandsEersteDivisie
FT Jong AZ Alkmaar 1 – 2 Excelsior
FT Jong Ajax 3 – 3 NEC Nijmegen
FT Jong FC Utrecht 2 – 1 TOP Oss

#AlgeriaLigue1
FT Paradou AC 1 – 2 MC Alger
FT CR Belouizdad 2 – 1 NC Magra
FT CS Constantine 0 – 0 USM Alger
FT JS Kabylie 3 – 2 US Biskra

Ratiba ya soka leo.

#SouthAfricaPremierLeague
22:30 Amazulu Durban vs Orlando Pirates 22:30 Mamelodi Sundowns FC vs Cape Town City FC

#EnglandChampionship
23:45 Birmingham City vs Barnsley
23:45 Derby County vs Bristol City
23:45 Hull City vs Blackburn Rovers
23:45 Middlesbrough vs Wigan Athletic
23:45 Sheffield Wednesday vs Luton Town

#SokaPlaceUpdates

Design a site like this with WordPress.com
Get started