Kikosi Cha Yanga SC dhidi @townshiprollersfc
Tazama ratiba mechi za Leo ….EPL ..CUF CHAMPIONSHIO

cafchampionsleague
16:00 Platinum FC vs Nyasa Big Bullets
16:00 ZESCO United vs Green Mamba
16:30 Township Rollers vs Young Africans
17:00 Primeiro de Agosto vs KMKM
19:30 Al Merreikh vs JS Kabylie
20:00 Mamelodi Sundowns FC vs Otôho d’Oyo
21:00 Etoile du Sahel vs Hafia FC
21:00 Génération Foot vs LPRC Oilers
21:00 El Zamalek vs Dekedaha
22:00 Orlando Pirates vs Green Eagles FC
22:00 Raja Casablanca Atlhletic vs Brikama United
#CafConfederationCup
15:30 Masters Security FC vs Proline
16:00 Malindi FC vs Mogadishu City
16:00 Rukinzo vs Triangle United FC
16:00 Young Buffaloes FC vs Buildcon
18:00 Ashanti Gold vs Akonangui
19:00 ASCOT vs CR Belouizdad
19:00 Al Khartoum Club vs Arta / SIHD
19:00 CI Kamsar vs Paradou AC
19:00 Esae vs SNIM
19:00 Etoile du Congo vs Pyramids FC
19:00 Maniema Union vs Pelican
19:00 Stade Renard vs Daring Club Motema Pem
16:00 Azam FC vs Fasil Ketema
#EnglandPremierLeague
14:30 Norwich City vs Chelsea
17:00 Brighton & Hove Albion vs Southampton
17:00 Manchester United vs Crystal Palace
17:00 Sheffield United vs Leicester City
17:00 Watford vs West Ham United
19:30 Liverpool vs Arsenal
#SpainLaLigaSantander
18:00 Osasuna vs Eibar
20:00 Real Madrid vs Real Valladolid
22:00 Getafe vs Athletic Bilbao
22:00 Celta Vigo vs Valencia
#ItalySerieA
19:00 Parma vs Juventus
21:45 Fiorentina vs Napoli
#GermanyBundesliga
16:30 Mainz 05 vs Borussia Mönchengladbach
16:30 Augsburg vs 1. FC Union Berlin
16:30 Fortuna Düsseldorf vs Bayer Leverkusen
16:30 SC Paderborn 07 vs Freiburg
16:30 Hoffenheim vs Werder Bremen
19:30 Schalke 04 vs FC Bayern München
#FranceLigue1
21:00 Angers vs Metz
21:00 Dijon vs Bordeaux
21:00 Amiens vs Nantes
21:00 Brest vs Reims
#BelgiumFirst DivisionA
21:00 Cercle Brugge vs Waasland-Beveren
21:00 St.Truiden vs Zulte Waregem
21:30 Oostende vs KV Mechelen
#SouthAfricaPremierLeague
16:00 Black Leopards vs Highlands Park FC
16:00 Lamontville Golden Arrows vs Chippa United FC
19:00 Kaizer Chiefs vs SuperSport United
Prepared by @officialchristz
Powered by @bikotanzania
Ajib..Wilker…Bocco. Waondoshwa kikosini

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema kwenye mchezo wa kesho dhidi ya UD songo wachezaji Ibrahim Ajib, Wilker Da Silva na John Bocco hawatakuwa sehemu ya kikosi
Wakati Ajib na Wilker wakirejea hivi karibuni baada ya kupona majeraha, Bocco bado majeruhi
Akizungumzia mchezo huo, Aussems amesema kikosi kiko tayari kupata ushindi
“Tuko tayari, tunafahamu tunahitaji kushinda mchezo huu. Tutafanya kila linalowezekana ili tuweze kupata ushindi” amesema
“Wachezaji wanafahamu mazingira ya mchezo huu. Unajuwa wakati mwingine matokeo ya 0-0 yana changamoto yake unapocheza nyumbani”
“Tumeona jana jinsi KMC walivyopoteza mchezo dhidi ya AS Kigali, tunahitaji kuwa makini sana kwani tunacheza na timu nzuri”
“Hautakuwa mchezo mwepesi lakini tutapambana. Kuwakosa Ajib, Da Silva na Bocco ni tatizo lakini nawaamini wachezaji waliopo, wataweza kutupa matokeo tunayohitaji”
Pazia ligi kuu VPL kuanza leo

Msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom (2019/20) unaanza leo kwa mechi kadhaa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali
Kampuni ya Vodacom jana ilisaini mkataba wa miaka mitatu kuidhamini ligi hiyo. Mkataba huo una thamani ya Tsh Bilioni tisa
Ratiba ya michezo ya leo;

Ratiba ya michezo yote ya raundi ya kwanza;

Juuko Murshid asajiliwa na Wydad Casablaca

Aliyekuwa beki wa Simba Juuko Murshid amesajiliwa na Wydad Casablaca ya nchini Morocco
Uongozi wa Simba umempa Juuko baraka zote za kujiunga na klabu hiyo baada ya makubaliano kufikiwa kati ya Simba na Wydad waliokubali kununua miezi mitatu ya mkataba wake uliokuwa umebaki
Mkataba wa Juuko na Simba ulitarajiwa kumalizika mwezi Novemba
Juuko ameitumikia Simba kwa misimu mitano, ni mmoja wa wachezaji waliokuwa na mchango katika mafanikio ya Simba kwa vipindi tofauti
Manara afunguka …kipigo KMC liwefundisho simba

Baada ya KMC kupoteza mchezo nyumbani jana kwa kufungwa mabao 2-1 na AS Kigali na kuondoshwa kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika, msemaji wa Simba Haji Manara amesema matokeo hayo yanapaswa kuwa somo kwao na wasiwadharau wapinzani wao UD Songo
Simba itashuka kwenye uwanja wa Taifa kesho Jumapili kuikabili UD Songo katika mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa barani Afrika
Timu hizo zilitoka suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Msumbiji
Manara amesema matokeo ya KMC jana yamewaumiza mashabiki wote wazalendo ambao wangependa kuona timu zote za Tanzania zinafanya vizuri kwenye michuano ya CAF
“Ni kweli inauma kwenu na kwa Watanzania wote lakini nyinyi ni mashujaa kamili,msimu wenu wa kwanza kuja kucheza michuano mikubwa kama hii ,hakika mnalo la kujivunia,” amesema
“Na kwetu Simba hii ina maana kubwa sana,tusijiamini kupita kiasi,bado hatujafuzu hadi tushinde baada ya dakika tisini”
“Wachezaji na benchi la ufundi wajue hilo na sote kila mmoja kwa nafasi yake atambue hilo”
“Twendeni Kwenye vita kamili ya dakika tisini za Jasho na Damu,Washabiki mtimize wajibu wenu kwelikweli kwa kuhanikiza mwanzo mwisho”
KAMATA MATOKEO YA SOKA JANA.

EnglandPremierLeague
FT Aston Villa 2 – 0 Everton
#SpainLaLigaSantander
FT Granada 0 – 1 Sevilla
FT Levante 2 – 1 Villarreal
#GermanyBundesliga
FT FC Köln 1 – 3 Borussia Dortmund
#BelgiumFirstDivision
FT Genk 1 – 0 Anderlecht
#AfricaChampionsLeague
FT Cote d’Or 1 – 1 Fomboni Club
FT Kampala CCA 2 – 0 African Stars FC FT Al Ahly 9 – 0 Atlabara
#AfricaConfederationsCup
FT KMC 1 – 2 AS Kigali
FT Santoba 3 – 3 Niger Tornadoes FC FT Al Ahly Shendi 1 – 1 Bandari
Prepared by
@officialchristz
Powered by @bikotanzania
Magazeti ya Michezo Leo










Ratiba michezo ya leo klabu bingwa africa

Leo ijumaa agosti 23 kutakua na michezo ya klabu bingwa afrika pamoja na michezo ya shirikisho…baadhi ya michezo hiyo ni
KCCA vs African stars
Cote d’or vs komboni club
Al Ahaly vs Atlabara
USM Alger vs AS sonidep
MANCHESTER UNITED KUMSAJILI SANCHO MWEZI JANUARI –

Inadaiwa timu hiyo ya Old Trafford inaandaa Paundi Milioni 100 (Tsh. 278,644,547,500) ili kumsajili Jordan Sancho (19) kutoka Borussia Dortmund kumsaidia Kocha Ole Gunnar Solskjaer
–
Siku chache zilizopita, Dortmund imemfanya Sancho kuwa mmoja wa Wachezaji wadogo wanaolipwa mshahara mkubwa baada ya kumpa Mkataba wa kumlipa Paundi 190,000 (Tsh. 529,424,640) kwa wiki
–
Taarifa kutoka Man. Utd zinadai klabu hiyo inaelewa usajili wa Januari ni mgumu lakini ipo tayari kumsaidia Kocha wao kusajili kama ndio itasaidia timu kufanya vizuri
–
Je, unadhani Sancho akienda United atafanya vizuri au yatamkuta ya Alexis Sanchez?
@habarizamichezo