Mauricio Pochettino kuiongoza Tottenham. Kusaka ushindi kwa Newcastle

Mauricio Pochettino hii leo anatarajia kuiongoza klabu yake ya Tottenham Kama Kocha anatimiza game yake ya 5⃣0⃣0⃣, ameshinda jumla ya mechi 2⃣3⃣2⃣ Kati ya hizo 4⃣9⃣9⃣ zilizopita katika maisha yake ya Ukocha!..👏
:
✍️ Spurs yenye pointi Nne, itakuwa nyumbani kuwaalika Newcastle Katika Muendelezo wa Mechi za Premier league… Newcastle ambayo Badoo haijapata Ushindi hata Mmoja Ikiwa vipigo mfululizo Msimu huu.. Wana pointi 0!.
.
Newcastle hao hao, wamefunga Magoli 7⃣3⃣ ya #PL dhidi ya Spurs, idadi kubwa Zaidi kuliko dhidi ya Klabu nyingine yoyote… Ushindi wao mkubwa dhidi ya Tottenham ulikuwa Ni 7-1 🔙 1996!.
.
@SpursOfficial wameshinda Mechi zao 4⃣ mfululizo za #PL walizokutana na Newcastle.. Ushindi wao leo utawafanya Kushinda game 5⃣ mfululizo kwa Mara ya Kwanza… Saa 12 za Jioni kipute kitapigwa huko LONDON!.
#PremierLeagueUpdates

NI ZAMU YA SIMBA KILA LAKHERI SIMBA SC.

Mkude kama kawaida atacheza deep kuilinda safu yake ya ulinzi. Huku Shiboub na Dilunga wakicheza juu huku Chama Clatous akicheza mbele yao kama link kuwaunganisha na eneo la mwisho ambalo naamini leo atamsimamisha Kagere peke yake huku Deo Kanda na Dilunga watakuwa wanafanya switching kutokea pembeni.Dilunga Hassan ni mchezaji hatari na wa muhimu mno kwenye soka la kushambulia.Anajua kutembea na kusoma kwa haraka madhaifu ya safu ulinzi ya opponents. Nadhani mlimuona mechi ya Azam juzi.Yule Shiboub ndiye mpishi haswa wa Simba kwenye safu ya kiungo.Yule na Chama ndio watakao amua kuipitisha timu katikati (central channel attack system) au pembeni kule.
:
Meddie Kagere “Terminator” atakuwa na kazi ta kujiweka kwenye nafasi sahihi ili kuitendea haki miguu ya Shomari na Gardiel/Tshabalala na zile penetration pass za kina Dilunga,Chama na Shiboub.Kagere anatosha kutokana na sikaha kubwa ya Simba kwenye safu ya kiungo.

:
Kila la kheri Simba sc.
:
Kama Yanga na Azam walivyo fanya jana,tunaamini leo itakuwa ni mwendelezo.

Prepared by @josejose189
Powered by @bikotanzania
Tags @simbasctanzania @simbaoneking @sdf_sports

Livepool. Waendeela.kutoa vipigo kwa Arsenal ..Tazama hii rekodi

Klabu ya arsenal…imeendelea kuambulia vuchapo vikali kila inapokutana na livepool nyumbani kwake …tangu.mwaka 2016 …arsenal …imeweza kuambulia vipigo nyumbani kwa livepool hadi hapo jana ilipokutana na kipigo kingine kikali

Rekodi vipigo vya arsenal

2016-17..livepool 3-1 Arsenal

2017-18..livepool 4-0 Arsenal

2018-19..livepool 5-1Arsenal

2019-20..livepool 3-1 Arsenal

RATIBA YA LEO MICHEZO YA KIMATAIFA

#CafChampionsLeague
16:00 Al Hilal Omdurman vs Rayon Sports
16:00 Gor Mahia vs Aigle Noir
16:00 Simba SC vs UD Songo
17:30 Elect-Sport vs Cercle Mberi Sportif
18:00 Asante Kotoko vs Kano Pillars
18:00 Pamplemousses vs SOM Fosa Juniors FC
18:00 Petro de Luanda vs Matlama
19:00 AS Vita Club vs UMS de Loum
19:00 Al-Nasr vs Tempete Mocaf
19:00 Enyimba FC vs Rahimo
19:00 Horoya vs Stade Malien Bamako
19:00 Kara vs Buffles de Borgou
19:00 Mekelle Kenema vs Cano Sport
20:00 Nouadhibou vs SOA
22:00 USM Alger vs SONIDEP

#CafConfederationCup
15:00 Louis Suns United vs TS Galaxy FC
16:45 Galaxy vs Bolton City
18:00 Al-Ittihad vs USGN
18:30 LISCR vs Maranatha Fiokpo

#EnglandPremierLeague
16:00 Bournemouth vs Manchester City
18:30 Tottenham vs Newcastle United
18:30 Wolverhampton vs Burnley

#SpainLaLigaSantander
18:00 Deportivo Alaves vs RCD Espanyol
18:00 Mallorca vs Real Sociedad
20:00 Leganes vs Atletico Madrid
22:00 Barcelona vs Real Betis

#ItalySerieA
19:00 Udinese vs Milan
21:45 Roma vs Genoa
21:45 Cagliari vs Brescia
21:45 Torino vs Sassuolo
21:45 Verona vs Bologna
21:45 SPAL vs Atalanta
21:45 Sampdoria vs Lazio

#GermanyBundesliga
17:30 RBLeipzig vs Eintracht Frankfurt
19:00 Hertha BSC vs Wolfsburg

#FranceLigue1
16:00 Monaco vs Nimes
18:00 Strasbourg vs Rennes
22:00 Paris Saint-Germain vs Toulouse

#BelgiumFirstDivisionA
19:00 Standard Liege vs Kortrijk
21:00 Royal Excel Mouscron Per vs Eupen

#SouthAfricaPremierLeague
16:00 Baroka FC vs Bloemfontein Celtic
16:00 Stellenbosch FC vs Maritzburg United

#SokaPlaceUpdates #CafConfederationCup#CafChampionsLeague #VodacomPrimierLeague #Laliga

Mabingwa wa nchi Simba sc .kuichakaza UD songo leo…taifa

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba saa kumi jioni kitashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili UD Songo ukiwa ni mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa barani Afrika

Baada ya kufanikiwa kupata matokeo ya suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo wa kwanza, leo Simba inahitaji matokeo yoyote ya ushindi ili iweze kusonga mbele

Rekodi zake inapocheza uwanja wa Taifa zinaibeba Simba kwenye mchezo huo

Pamoja na kuwa na kikosi bora, mashabiki wake ni silaha muhimu zaidi, wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuujaza uwanja wa Taifa leo

Baada ya Azam Fc na Yanga kufanikiwa kusonga mbele jana, hakuna shaka, leo Mnyama ana kila sababu ya kushinda na kujihakikishia nafasi ya kutinga raundi ya kwanza

Kila la kheri mabingwa wa nchi..

Design a site like this with WordPress.com
Get started