RATIBA YA SOKA LEO JUMAPILI :

#EnglandPremierLeague
16:00 Everton vs Wolverhampton Wande…
18:30 Arsenal vs Tottenham Hotspur

#SpainLaLigaSantander
18:00 Valencia vs Mallorca
20:00 Atletico Madrid vs Eibar
20:00 RCD Espanyol vs Granada
22:00 Villarreal vs Real Madrid
:
#ItalySerieA
19:00 Lazio vs Roma
21:45 Atalanta vs Torino
21:45 Cagliari vs Inter
21:45 Genoa vs Fiorentina
21:45 Lecce vs Verona
21:45 Sassuolo vs Sampdoria
21:45 Udinese vs Parma
:
#GermanyBundesliga
16:30 Werder Bremen vs Augsburg
19:00 Eintracht Frankfurt vs Fortuna Düsseldorf
:
#FranceLigue1
16:00 Rennes vs Nice
16:00 Reims vs Lille
18:00 Strasbourg vs Monaco
22:00 Marseille vs Saint-Etienne
:
#BelgiumFirstDivisionA
15:30 Club Brugge vs Genk
19:00 Anderlecht vs Standard Liege
21:00 Gent vs Cercle Brugge
21:00 Zulte Waregem vs Royal Antwerp
:
#AlgeriaLigue1
23:00 USM Alger vs AS Ain Mlila
:
#EgyptCup
21:00 El Zamalek vs Al-Ittihad Al-Sakandary
:
#KenyaPremierLeague
15:00 Kakamega Homeboyz vs AFC Leopards
15:00 Zoo FC vs Chemelil Sugar
:
#TunisiaLigue I
18:00 Etoile du Sahel vs US Monastir

Prepared by @officialchristz
Powered by @bikotanzania

KAMATA MATOKEO YA SOKA JANA.

#EnglandPremier League
FT Southampton 1 – 1 Manchester United
FT Chelsea 2 – 2 Sheffield United
FT Crystal Palace 1 – 0 Aston Villa
FT Leicester City 3 – 1 AFC Bournemouth
FT Manchester City 4 – 0 Brighton & Hove Albion
FT Newcastle United 1 – 1 Watford
FT West Ham United 2 – 0 Norwich City
FT Burnley 0 – 3 Liverpool
:
#SpainLaLigaSantander
FT Osasuna 2 – 2 Barcelona
FT Getafe 1 – 1 Deportivo Alaves
FT Levante 2 – 0 Real Valladolid
FT Real Betis 2 – 1 Leganes
:
#ItalySerieA
FT Milan 1 – 0 Brescia
FT Juventus 4 – 3 Napoli
:
#GermanyBundesliga
FT Bayer Leverkusen 0 – 0 Hoffenheim
FT FC Bayern München 6 – 1 Mainz 05
FT Schalke 04 3 – 0 Hertha BSC
FT Freiburg 1 – 2 1. FC Köln
FT Wolfsburg 1 – 1 SC Paderborn 07
FT 1. FC Union Berlin 3 – 1 Borussia Dortmund
:
#FranceLigue1
FT Lyon 1 – 1 Bordeaux
FT Angers 2 – 0 Dijon
FT Nantes 1 – 0 Montpellier
FT Toulouse 2 – 0 Amiens
FT Nimes 3 – 0 Brest
:
#BelgiumFirstDivisionA
FT Eupen 0 – 2 St.Truiden
FT Kortrijk 2 – 2 Oostende
FT Waasland 0 – 4 Charleroi
:
#AlgeriaLigue1
FT CA Bordj Bou Arreridj 1 – 0 ES Setif
FT MC Oran 1 – 0 CS Constantine
FT Paradou AC 0 – 3 JS Kabylie
FT JS Saoura 0 – 1 MC Alger
FT NA Hussein Dey 1 – 2 CR Belouizdad

Prepared by @officialchristz
Powered by @bikotanzania

Sasa lazima.nitwae kiatu cha dhahabu

Baada ya Simba kuondolewa katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, straika wao Meddie Kagere amesema akili zao sasa wamezihamishia kwenye ligi kuu kuhakikisha wanatetea ubingwa wao

Simba imeanza ligi vizuri kwa kuifunga JKT Tanzania mabao 3-1 huku Kagere akifunga mabao mawili

Kagere aliyeibuka mfungaji bora msimu uliopita kwa kufunga mabao 23 amesema wachezaji wote wanatakiwa kuweka akili na mawazo yao kwenye ligi ili kuhakikisha wanabaki na ubingwa wao.

Ukiangalia kwenye ligi kila timu ipo imara hivyo lazima tuwe na malengo na kupambana ili kuhakikisha malengo yetu yanatimia

“Tumeanza vizuri ligi kwa ushindi hivyo tutajitahidi kuhakikisha tunafanya vizuri kwenye michezo mingine itakayofuata ili tutetee ubingwa”alisema Kagere

Kagere alisema ni mapema mno kuanza kufikiri kutetea kiatu cha dhahabu alichokipata msimu uliopita kwani ligi ni ndefu na ina mambo mengi na hakuna kitu kizuri kama kuwaza kuisaidia kwanza timu yake itetee ubingwa ndipo mambo mengine yafuate

Kagere alifunga mabao 23 msimu uliopita akiwazidi Salim Aiyee ambaye msimu uliopita aliichezea Mwadui Fc akifunga mabao 18 wakati mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Heritier Makambo akitikisa nyavu mara 17

Waliofuatia walikuwa ni John Bocco wa Simba aliyefunga mabao 16 na Emmanuel Okwi aliyefunga 15

Makambo hivi sasa ametimkia timu ya Horoya AC ya Guinea wakati Okwi amejiunga na klabu ya Ittihad ya Misri huku Aiyee amejiunga na KMC

Mwanaspoti

Baada ya Simba kuondolewa katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, straika wao Meddie Kagere amesema akili zao sasa wamezihamishia kwenye ligi kuu kuhakikisha wanatetea ubingwa wao

Simba imeanza ligi vizuri kwa kuifunga JKT Tanzania mabao 3-1 huku Kagere akifunga mabao mawili

Kagere aliyeibuka mfungaji bora msimu uliopita kwa kufunga mabao 23 amesema wachezaji wote wanatakiwa kuweka akili na mawazo yao kwenye ligi ili kuhakikisha wanabaki na ubingwa wao.

Ukiangalia kwenye ligi kila timu ipo imara hivyo lazima tuwe na malengo na kupambana ili kuhakikisha malengo yetu yanatimia

“Tumeanza vizuri ligi kwa ushindi hivyo tutajitahidi kuhakikisha tunafanya vizuri kwenye michezo mingine itakayofuata ili tutetee ubingwa”alisema Kagere

Kagere alisema ni mapema mno kuanza kufikiri kutetea kiatu cha dhahabu alichokipata msimu uliopita kwani ligi ni ndefu na ina mambo mengi na hakuna kitu kizuri kama kuwaza kuisaidia kwanza timu yake itetee ubingwa ndipo mambo mengine yafuate

Kagere alifunga mabao 23 msimu uliopita akiwazidi Salim Aiyee ambaye msimu uliopita aliichezea Mwadui Fc akifunga mabao 18 wakati mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Heritier Makambo akitikisa nyavu mara 17

Waliofuatia walikuwa ni John Bocco wa Simba aliyefunga mabao 16 na Emmanuel Okwi aliyefunga 15

Makambo hivi sasa ametimkia timu ya Horoya AC ya Guinea wakati Okwi amejiunga na klabu ya Ittihad ya Misri huku Aiyee amejiunga na KMC

Mwanaspoti

EDEN HAZARD ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA EUROPA


Hazard anayechezea klabu ya Real Madrid ya Uhispania kwa sasa, ameshinda tuzo ya Mchezaji bora wa Ligi ya Europa kwa msimu wa mwaka 2018/19

Msimu huo wa mwaka 2018/19 alikuwa anacheza katika klabu ya Chelsea ya England ambapo aliisaidia timu hiyo kuchukua Kombe la Europa kwa kuifunga Arsenal katika mchezo wa fainali

MO DEWJI AIBUKA, ‘AWAPOZA MACHUNGU’ WANASIMBA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Mohamed Dewji ameibuka na kuwataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kutulia na kutokata tamaa baada ya kutolewa kwenye michuano ya Mabingwa barani Afrika katika hatua ya awali.

Hii ni mara ya kwanza muwekezaji huyo kuzungumza tangu Simba ikumbane na balaa hilo Agosti 25 mwaka huu kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 na UD Songo kutoka Msumbiji matokeo ambayo yaliifanya Songo isonge mbele kwa faida ya bao la ugenini.

Katika ujumbe wake aliouweka kwenye ukurasa wake wa Instagram, Dewji amewakumbusha Wanasimba kuwa Roma haikujengwa siku moja hivyo wanapaswa kuwa wavumilivu huku akisisitiza kuwa Simba ni lazima anyanyuke.
.
.
“Hatutaogopa maneno ya watu na hatutaacha kupambana na kujipanga kwa ajili ya malengo yetu. Msimu huu tutautumia kikamilifu kuhakikisha tunaboresha mipango yetu ili msimu ujao turudishe furaha kwa Wanasimba wote”, amesema Mo Dewji.

Amesema kilichomfanya akae kimya kwa siku zote hizo ni maumivu aliyoyapata baada ya matokeo hayo na kuwaomba Wanasimba wamsamehe kwa ukimya huo.

Miamba wa misri Al Ahly yatangaza kocha mpya

OFFICIAL | Miamba wa Soka Barani Afrika Kutoka nchini Misri, Klabu ya Al Ahly imetangaza kwamba meneja Raia wa Uswisi, Rene Weiler, ndio Kocha Mkuu Mpya wa timu hiyo, akichukua Mikoba ya Martin Lasarte aliyetimuliwa!.
.
– Weiler amefundisha zaidi vilabu barani ulaya hususa Ni kwao Uswisi, Ujerumani, na Ubelgiji, Vilabu hivyo ikiwa pamoja na FC Aarau na FC Luzern, Klabu ya Ujerumani FC Nuremberg na Anderlecht ya Ubelgiji kwa Mafaniko Sana akiwa hapo.
.
– Kubarua chake atakianza Rasmi mnamo Septemba 13 wakati Klabu hiyo wakiikabili Cano Sports ya Equatorial Guinea katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa ya CAF.
.

– Pia Kocha huyo mwenye umri wa miaka 45 atakuwa Ni kocha wa kwanza kutoka Uswisi kuchukua jukumu la kuinoa Al Ahly na wa nne Katika historia kufundisha nchini Misri katika miaka kumi iliyopita baada ya Alain Geiger (Al Masry), Michel Decastel na Christian Gross (Zamalek)..
#TransfersNews #Alahly
@Sokawaytz

Rekodi.ya.Manchester United dhidi ya Southampton,

✍🏻 Manchester United imeshinda Mechi nyingi zaidiii (10) ndani ya Dimba la St.Mary’s, Uwanja wa nyumbani wa Southampton, kuliko Uwanja mwingine wowote ule katika historia yao!.
:
✍🏻 Southampton hawajashinda game Nane zilizopita za ligi wakiwa nyumbani dhidi ya Manchester United (D3 L5)… Pia wameshinda Mechi zao tatu Katika mechi 15 zilizopita za Premier League (D5 L7).
.
✍🏻 United imetoka kupokea kipigo Kutoka kwa Crystal Palace game iliyopita, hii leo wanakutana na Southampton ambao wiki iliyopita wametoka kushinda game yao ya kwanza ya Msimu dhidi ya Brighton, Ni Baada ya kupoteza mechi Mbili zilizopita kabla ya Ushindi huo!.
:
✍🏻 Mchana huu Muda wa Saa Nane, United inakaribishwa na wenyeji wao Southampton katika Muendelezo wa Premier league… Ole Gunnar Solskjær v Ralph Hasenhuttl.
#Southampton #ManUtd #premierleague
@Sokawaytz

Beki wa Arsenal, Nacho Monreal…aanza.maisha mapya la.liga

Beki wa Arsenal, Nacho Monreal amekamilisha uhamisho wake wa kurejea kucheza soka lake huko La Liga, Safari hii ni ndani ya Klabu ya Real Sociedad kwa Mkataba wa Miaka Miwili!.
.
– Beki huyo wa Kimataifa Hispania mwenye umri wa Miaka 33, kacheza mechi zote tatu za Arsenal Msimu huu, pia Alikuwa Nahodha wao katika game dhidi ya Burnley… Rasmi Alijiunga na The Gunners akitokea Malaga Siku ya January 2013!.
.

– Akiwa na Arsenal Kipindi chote Cha Miaka Sita na Nusu, kaitumikia katika Mechi 250, Magoli 10, Assist 20… Mataji aliyotwaa Ni Kombe la FA Mara Tatu!.. 🤙🙏 La Cabra!.
#TransfersNews #Arsenal
@Sokawaytz

Design a site like this with WordPress.com
Get started