Samatta awasili nchini kwenda kuwavaa burundi

Nahodha wa Timu ya Taifa @taifastars_ , Mbwana Samatta amewasili nchini akitokea Ubelgiji… Kaja kulitumikia taifa kwaajili ya mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar dhidi ya Burundi. Mchezo wa Kwanza utapigwa Burundi Septemba 4 na marudiano Uwanja wa Taifa Septemba 8, 2019.
#FIFAWC #BURTAN

PSG yaleta kifaa kipya neymar basi tena

Mabingwa wa Ufaransa, Klabu ya Paris Saint-Germain imekamilisha usajili wa Mshambuliaji wa Kimataifa wa Argentina, Mauro Icardi kutoka Inter Milan kwa mkopo wa mwaka mmoja kukiwa na kipengele cha kumsajili moja kwa moja kwa kiasi cha Euro Milioni 70 Baada ya mkopo huo kumalizika!.
:
– Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26 kabla ya kujiunga rasmi na Paris Saint-Germain kwa mkopo ameongeza mkataba mpya ndani ya Inter Milan hadi 30 Juni, 2022..
#TransferNewsUpdate

Matokeo ya Mechi za Derby Tano tofauti zilizopigwa Siku ya Jana Jumapili!!

✍️ 🙌
:
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 North London Derby (Premier league).
FT: Arsenal 2-2 Tottenham.
[ P. Aubameyang, A. Laccazatte | C. Eriksen, H. Kane ].
.
🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 Glasgow Derby “Old Firm” (Scotland Premiership).
FT: Rangers 0-2 Celtic
[ O. Edouard, J. Hayes ].
.
🇮🇹 Derby Della Capitale “Rome Derby” (Serie A).
FT: SS Lazio 1-1 AS Roma.
[ Luis Alberto | A. Kolarov ].
.
🇦🇷 SuperClásico (Argentina Primera Division).
23:00 River Plate 0-0 Boca Juniors
.
🇨🇩 Congo Derby (Vodacom Ligue 1).
FT: AS Vita Club 0-0 TP Mazembe
#Derbyday #derby
@harunlugoyah #Updates

YANGA YAKANUSHA KUMPA ZAHERA MECHI TATU

Uongozi wa klabu ya Yanga umekanusha taarifa kuwa imempa mechi tatu kufanya vizuri ili kunusuru kibarua chake kocha wao mkuu Mwinyi Zahera.

Jana kulisambaa taarifa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii hapa nchini kuwa klabu hiyo imempa Mkongomani huyo mechi tatu kufanya vizuri la sivyo itamtupia virago.

Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya klabu hiyo, Rogers Gumbo amesema taarifa hizo hazina ukweli na bado Zahera ni kocha wao na hawana mpango wa kumtupia virago. “Hizo taarifa sio za kweli, hatukumpa Zahera mechi tatu. Bado tunaamini uwezo wake na hatuna mpango wa kutafuta kocha mwingine katika siku za karibuni,” alisema Gumbo.

Baada ya Yanga kuanza ligi kwa kupoteza mchezo dhidi ya Ruvu Shooting Jumatano iliyopita ndipo kulipozuka taarifa kuwa kocha huyo amekalia kuti kavu.

#wapendasokaupdates

Lukaku atolewa maneno yakibaguzi uwanjani

– Mshambuliaji wa Inter Milan, Romelu Lukaku alitolewa matamshi ya ubaguzi wa rangi na mashabiki wa Klabu ya Cagliari kabla ya kufunga bao la ushindi katika mchezo wa Serie A Jana na kutoka na ushindi wa Magoli 2-1.
.
– Lukaku alivumilia milio ya tumbili alipokuwa anajiandaa kuchukua jukumu la kupiga mkwaju huo uliosababishwa na Stefano Sensi katika kipindi cha pili Cha Mchezo… Lukaku alifunga Goli na kufanya kufunga Katika mechi yake ya Pili mfululizo akiwa Kama Mchezaji wa Inter Tangu ajiunge nao!.
:

– Hili ni tukio lingine linalowahusisha mashabiki wa Cagliari, ambao wameshutumiwa na kuwabagua wachezaji weusi wengi katika miaka ya hivi karibuni, Ikumbukwe Hawa Hawa Msimu uliopita walifanya kwa bwana mdogo, Moise Kean, Pia Walifanya kwa Blaise Matuidi..
:
– Lakini Ulaya haya matukio Sasa Hivi yamechukua Nafasi kubwa, pia tuliona yalimkuta Paul Pogba na Marcus Rashford wote wa Manchester United Baada ya kukosa Penati wakiitumikia timu yao Mechi tofauti tofauti msimu huu, wikendi hii tumetoka kuona yamemkuta Beki wa Klabu ya Chelsea, Kurt Zouma Baada ya kujifunga Goli Dakika za lala Salama na kufanya timu Yake itoke Sare ya 2-2 vs Sheffield United Katika Premier League, yalimkuta pia Tammy Abraham Baada ya kukosa Penati Katika mechi ya Fainali ya UEFA Super Cup, The Blues ikipoteza vs Liverpool!.. Enough #NoToRacism 👊🏿👊🏾👊🏽👊🏼👊🏻.
#updates
@Sokawaytz_

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI

England – Premier League.
FT Everton 3 – 2 Wolverhampton Wanderers FT Arsenal 2 – 2 Tottenham Hotspur
.
– Spain – LaLiga Santander.
FT Valencia 2 – 0 Mallorca
FT Atletico Madrid 3 – 2 Eibar
FT RCD Espanyol 0 – 3 Granada
FT Villarreal 2 – 2 Real Madrid
.
– Italy – Serie A September 1
FT Lazio 1 – 1 Roma
FT Atalanta 2 – 3 Torino
FT Cagliari 1 – 2 Inter
FT Genoa 2 – 1 Fiorentina
FT Lecce 0 – 1 Verona
FT Sassuolo 4 – 1 Sampdoria
FT Udinese 1 – 3 Parma
.
– Germany – Bundesliga.
FT Werder Bremen 3 – 2 Augsburg
FT Eintracht Frankfurt 2 – 1 Fortuna Düsseldorf
.
– France – Ligue 1.
FT Rennes 1 – 2 Nice
FT Reims 2 – 0 Lille
FT Strasbourg 2 – 2 Monaco
FT Marseille 1 – 0 Saint-Etienne
.
– Belgium – First Division A.
FT Club Brugge 1 – 1 Genk
FT Anderlecht 1 – 0 Standard Liege
FT Gent 3 – 2 Cercle Brugge
FT Zulte Waregem 2 – 0 Royal Antwerp
.
– Scotland – Premiership.
FT Rangers 0 – 2 Celtic
.
– Argentina Primero Division
FT River Plate 0-0 Boca Juniors
.
– Algeria – Ligue 1.
FT USM Alger 3 – 2 AS Ain Mlila
.
– Egypt – Cup.
AET El Zamalek 1 – 0 Al-Ittihad Al-Sakandary.
– Kenya – Premier League.
FT Kakamega Homeboyz 1 – 0 AFC Leopards
FT Zoo FC 3 – 1 Chemelil Sugar
.
– Tunisia – Ligue I.
FT Etoile du Sahel 0 – 0 US Monastir
.
– DR Congo – Vodacom Ligue 1.
FT AS Vita Club 0-0 TP Mazembe
:

Design a site like this with WordPress.com
Get started