STARS YAIBANA MBAVU BURUNDI UGENINI

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeilazimisha sare ya bao moja Burundi ‘Intamba Murugamba’ katika mchezo wa kwanza kufuzu fainali za kombe la dunia mwaka 2022.

Timu hizo zitarudiana siku ya Jumapili katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambapo mshindi wa jumla ataingia katika hatua ya makundi

Kipindi cha kwanza timu zote zilicheza soka la taratibu wakitumia kupita zaidi kati huku viungo wa pande zote wakifanya kazi kubwa.

Mshambuliaji Cedric Amissi aliifungia Burundi bao hilo dakika ya 80 baada ya kutumia udhaifu wa walinzi wa Stars na kuachia shuti ambalo lilimshinda mlinda mlango Juma Kaseja.

Simon Msuva aliisawazishia Stars bao hilo dakika ya 85 akimalizia mpira mrefu uliopigwa na kiungo Frank Domayo aliyekuwa akiokoa shambulizi langoni kwa Stars.

#wapendasokaupdates

Djibouti πŸ‡©πŸ‡― yashinda maechi yakwanza baada ya miaka 12

✍️ Timu ya taifa ya Djibouti πŸ‡©πŸ‡― imefanikiwa Kushinda game yao ya Pili Pekee Katika historia yao ya Soka Katika mechi ya Kimashindano Baada ya Miaka 12 kupita… Djibouti πŸ‡©πŸ‡― wameitwanga eSwatini πŸ‡ΈπŸ‡Ώ 2-1 hii leo Katika mechi ya kuwania Kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2022!.
.
– Mara ya Mwisho kwa Djibouti πŸ‡©πŸ‡― kushinda mechi ya Kimashindano, ilikuwa ni siku ya Novemba 16, 2007, waliitwanga Sudan Kusini… Hivyo Sasa Mechi za Kimashindano wao wameshinda Mbili tu πŸ™Œ!.
#FIFAWC2022Q
@Harunlugoyah

RATIBA YA SOKA LEO.

#EUROQualification
21:45 Gibraltar vs Denmark
21:45 Ireland vs Switzerland
21:45 Faroe Islands vs Sweden
21:45 Norway vs Malta
21:45 Romania vs Spain
21:45 Israel vs North Macedonia
19:00 Armenia vs Italy
21:45 Bosnia and Herzegovina vs Liechtenstein
21:45 Finland vs Greece

#WorldCupAFCQualification2nd roundgroupA
08:30 Guam vs Maldives
14:30 Philippines vs Syria

#WorldCuAFCQualification2nd roundgroupB
14:10 Chinese Taipei vs Jordan
20:00 Kuwait vs Nepal

#WorldCupAFC Qualification2ndroundgroup C
14:30 Cambodia vs Hong Kong
19:30 Bahrain vs Iraq

#WorldCupAFC Qualification2ndround: groupD
14:45 Singapore vs Yemen
17:00 Palestine vs Uzbekistan

#WorldCupAFCQualification::2ndround:group E
16:30 India vs Oman
19:30 Qatar vs Afghanistan

#WorldCupAFCQualification::2ndroundgroup F
12:00 Mongolia vs Myanmar
17:00 Tajikistan vs Kyrgyzstan

#WorldCupAFCQualification2ndroundgroup G
15:00 Thailand vs Vietnam
15:30 Indonesia vs Malaysia

#WorldCupAFCQualification2nd roundgroup H
11:30 North Korea vs Lebanon
17:00 Sri Lanka vs Turkmenistan

#World CupCAF Qualification1stround
15:00 Seychelles vs Rwanda
17:30 Chad vs Sudan
18:00 Somalia vs Zimbabwe

#InternationalFriendlies
13:20 Japan vs Paraguay
16:30 Georgia vs South Korea
20:00 Saudi Arabia vs Mali
21:45 Montenegro vs Hungary
21:45 N.Ireland vs Luxembourg

#InternationalClubFriendlies
15:00 St. Poelten vs FC Juniors OOe
17:00 Freiburg vs Aarau
17:00 Salzburg vs Ried
17:00 Wolfsburg vs Hamburger SV
18:00 Caen vs Nantes
18:00 Reims vs Nancy
18:30 1. FC Union Berlin vs Chemnitzer
Prepared by @officialchristz Poweredby @bikotanzania

Mtanzania Yohana Oscar…kucheza ligi.kuu ukraine

OFFICIAL | Mshambuliaji Kinda wa Kimataifa wa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ, Yohana Oscar Mkomola amekamilisha Usajili wake wa kujiunga na Klabu ya Vorskla Poltava FC ya Ligi Kuu Nchini Ukraine, Hii Ni Baada ya kufanya Majaribio kwa Bidiii na kumshawishi Kocha Mkuu wa timu hiyo ambaye pia alitamba na timu yake ya taifa ya Ukraine akiwa Kama Kiungo wa Kati, Vitaliy Kosovskyi.
.
– Mkomola Mwenye Umri wa Miaka 19, Alitoka Nchini Baada ya kuitumikia timu ya vijana ya Azam FC, Timu ya Vijana na Wakubwa ya Yanga SC na pia aliwika vilivyo na timu ya taifa ya Vijana wa U17 “Serengeti Boys” , Baada ya Kutoka Yanga akajiunga na Klabu ya FC Arsenal Kyiv pia ya huko huko Ukraine ambayo Sasa ameachana nayo!… Good luck big πŸ€™βš½!. #TransferNewsUpdate
@Harunlugoyah

Tano bora .Usajili ..Ujerumani …Ufaransa na ..Hispania

Tano Bora; Usajili Ghali Ligi ya Hispania, LaLiga Msimu Huu:
β€’ JoΓ£o FΓ©lix ✍️ AtlΓ©tico Madrid
β€’ Antoine Griezmann ✍️ Barcelona
β€’ Eden Hazard ✍️ Real Madrid
β€’ Frenkie de Jong ✍️ Barcelona
β€’ Luka JoviΔ‡ ✍️ Real Madrid

Tano Bora; Usajili Ghali Ligi ya Ufaransa, Ligue 1 Msimu Huu:
β€’ Wissam Ben Yedder ✍️ Monaco
β€’ Idrissa Gueye ✍️ PSG
β€’ Abdou Diallo ✍️ PSG
β€’ Jeff Reine-AdΓ©laΓ―de ✍️ Lyon
β€’ Renato Sanches ✍️ Lille
#Ligue1Updates #ligue1

Tano Bora; Usajili Ghali Ligi ya Ujerumani “Bundesliga” Msimu Huu:
β€’ Lucas Hernandez ✍️ Bayern Munich
β€’ Mats Hummels ✍️ Borussia Dortmund
β€’ Benjamin Pavard ✍️ Bayern Munich
β€’ Kerem Dermirbay ✍️ Bayern Leverkusen
β€’ Thorgan Hazard ✍️ Borussia Dortmund.
#BundesligaUpdates #Bundesliga

Shinji Okazaki ameachana na Klabu ya Malaga baada ya siku 34 tu

✍🏻 Mshambuliaji wa zamani wa Leicester City, Shinji Okazaki ameachana na Klabu ya Malaga baada ya siku 34 tu Tangu kusajiliwa kwake Julai Mwaka Huu!.
.
✍🏻 Ripoti nchini Uhispania zinasema Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Japan, 33, Mkataba wake umevunjwa kwa ridhaa ya pande zote kwa sababu Klabu hiyo Uhispania haiwezi kumlipa Mshahara wake katika bajeti yao ya Klabu!.
.
✍🏻 Okazaki alishinda Ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza akiwa na Leicester mnamo mwaka 2016 na aliondoka msimu huu wa joto baada ya kufunga mabao 19 katika michezo 137.
.
✍🏻 Hajacheza kwenye mechi tatu za ligi za Malaga ambazo tayari Klabu hiyo imeshuka Dimbani msimu huu na sasa ni Mchezaji Huru..
#TransferNewsUpdate #TransfersNews
@Harunlugoyah

Design a site like this with WordPress.com
Get started