West Ham yakumbana na kipigo kwa Oxford..4-0

– Baada ya kufanya vema Wikendi Katika Premier league,, Jana West Ham wamekumbana na kipigo Cha maana kutoka kwa Klabu ya Oxford.. Magoli 4-0 The Hummers wanaondoshwa Katika Carabao Cup Raundi ya tatu.

3 – West Ham sasa imetupwa nje ya Makombe haya ya ndani dhidi ya timu kutoka League One kwa Msimu wa tatu mfululizo, Waliondoshwa Katika mechi ya FA Cup dhidi ya Wigan msimu a 2017-18 na kutupwa nje pia dhidi ya AFC Wimbledon Msimu Uliopita!..
#CarabaoCup #WestHam
@Harunlugoyah

MATOKEO YA SOKA JANA _ :

#EnglandEFL
FT Brighton & Hove Albion 1 – 3 Aston Villa
FT Burton Albion 2 – 0 AFC Bournemouth
FT Chelsea 7 – 1 Grimsby Town
FT Milton Keynes Dons 0 – 2 Liverpool
FT Oxford United 4 – 0 West Ham United
FT Sheffield United 0 – 1 Sunderland
FT Wolverhampton P(4-2) Reading
FT Manchester United P (5-3) Rochdale
:
#SpainLaLigaSantander
FT Leganes 1 – 1 Athletic Bilbao
FT Mallorca 0 – 2 Atletico Madrid
FT Valencia 3 – 3 Getafe
FT Real Madrid 2 – 0 Osasuna
:
#ItalySerie A
FT Roma 0 – 2 Atalanta
FT Fiorentina 2 – 1 Sampdoria
FT Genoa 0 – 0 Bologna
FT Inter 1 – 0 Lazio
FT Parma 1 – 0 Sassuolo
FT Napoli 0 – 1 Cagliari
FT SPAL 1 – 3 Lecce
:
#FranceLigue1
FT Saint-Etienne 0 – 1 Metz
FT Nantes 1 – 0 Rennes
FT Toulouse 0 – 2 Angers
FT Lille 2 – 0 Strasbourg
FT Montpellier 1 – 0 Nimes
FT Amiens 1 – 3 Bordeaux
FT Brest 2 – 2 Lyon
FT Paris Saint-Germain 0 – 2 Reims
:
#NetherlandsEredivisie
FT PSV Eindhoven 3 – 1 FC Groningen
FT Ajax Amsterdam 5 – 0 Fortuna Sittard
:
#BelgiumBekerVanBelgie
FT Rupel Boom 2 – 3 Sporting Charleroi
FT KFC Mandel United 0 – 2 Oostende
FT RFC Seraing United 1 – 3 Kortrijk
FT Royal Cappellen FC P(3-5) Eupen
FT Zulte Waregem 4 – 2 KFC Duffel
FT Union St.-Gilloise 3 – 0 R CS Verlaine
FT Francs Borains 0 – 3 Club Brugge
FT Dessel Sport 0 – 1 Royal Excel Mouscron
FT SC Eendracht Aalst 0 – 4 Gent
FT St.Truiden 2 – 0 OH Leuven
FT Beerschot 2 – 3 Anderlecht
:
#TunisiaLigueI
FT US Monastir 1 – 0 Stade Tunisien
:
#VodacomPrimierLeague
FTSingida United 0-0 Mbao FC.
FT KMC 1-0 Namungo FC
FT Biashara United 0-1 JKT Tanzania
FT Ruvu Shooting 1-1 Coastal Union
FT Mtibwa Sugar 1-3 TZ Prisons
FT Mwadui FC 1-1 Alliance FC
@sokaplace__
:

Chelsea imefunga Magoli Saba Katika game Moja ya League Cup,

7 – Chelsea imefunga Magoli Saba Katika game Moja ya League Cup, Ni kwa Mara ya tatu Pekee Katika historia ya Klabu hiyo. Na kwa Mara ya kwanza kabisa Tangu Msimu wa 1960-61.

✍️ Msimu Huo Vilabu vya, Millwall na Doncaster ndio vilikuwa vya mwisho kuonja dozi nzito kutoka kwa The Blues.
#CarabaoCup #ChelseaFC
@Harunlugoyah

Rasmi James Milner amemaliza ukame wa kutofunga

✍🏻 Sasa Rasmi James Milner amemaliza ukame wa kutofunga Kwa muda mrefuuu katika League Cup, Jana Akiitumikia Liverpool amefanikiwa kufunga goli lake La kwanza dhidi ya MK Dons, Ni baada ya kupita miaka tisa ya Ukame..

✍🏻 Kabla ya hii leo, Milner alikuwa amecheza game 19 bila goli, Mara ya mwisho kufunga alipiga mkwaju wa penati dhidi ya Aston Villa katika fainali ya Mwaka 2010..
#CarabaoCup #liverpool
@Harunlugoyah

Liverpool na arsenal ..kukutana raundi inayofuata ..karabao cup

15 – Liverpool itachuana dhidi ya @Arsenal katika mechi ya League Cup, Ni kwa mara ya 15 Vilabu hivi vinakutana Katika kombe hili.

✍️ Kwa Idadi hiyo Sasa hii ndio inakuwa mechi ambayo imechezwa Mara nyingi Zaidi Katika historia ya Michuano hii.
#CarabaoCup #LIVARS
@Harunlugoyah

Diego Simeone apata ushindi dhidi ya timu 29 katika timu 31

Kwa ushindi wa leo dhidi ya Mallorca kocha Diego Simeone ‘El Cholo’ rasmi sasa amepata ushindi dhidi ya timu 29 katika timu 31 alizokutana nazo kwenye La Liga

Mpaka sasa ameshidwa kuifunga klabu ya Barcelona kwenye Ligi, wamekutana ×15 hajapata ushindi pia Klabu ya Racing Santander wamekutana x1

Uwanja wa Wembley.kuchezewa fainali ya Ligi ya Mabingwa..2023

– Uwanja wa Wembley nchini Uingereza utakuwa mwenyeji wa fainali ya Ligi ya Mabingwa mwaka 2023, Uwanja wa St.Petersburg nchini Urusi na Allianz Arena Munich nchini Ujerumani Pia viwanja hivyo vitaandaa fainali mnamo 2021 na 2022 Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na kamati ya Shirikisho La Soka Duniani “FIFA”.

– Wakati huo huo FIFA, Ilithibitisha kwamba Uwanja wa Windsor Park ambapo ni uwanja wa taifa wa Ireland ya Kaskazini uliopo huko Belfast utaandaa fainali ya UEFA Super Cup ya mwaka 2021.

– Wembley uliwahi kuwa mwenyeji wa fainali ya Ligi ya Mabingwa mwaka 2011 na 2013. Kabla ya fainal hiyo ya mwaka 2023 Pia utachezewa michezo saba ya Michuano ya EURO 2020, ikiwemo nusu fainali na fainali.
….
– Fainali ya mwaka 2023, itakuwa ni fainali ya Nane kwa Michuano ya Ulaya kupigwa Wembley, ukitoa 2011 na 2013, Pia Fainali nyingine zilipigwa miaka ya 1963, 1968, 1971, 1978 na 1992..
#UCLFinal #UCLUpdates
@Harunlugoyah

Design a site like this with WordPress.com
Get started