RATIBA YA SOKA LEO

#VodacomPrimierLeague
16:00 Namungo Fc vs RuvuShooting
16:00 Coastal Union vs Alliance Fc
16:00 Polisi Tanzania vs Mbao Fc
16:00 Jkt Tanzania vs Mbeya City
16:00 Mtibwa Sugar vs Mwadui Fc
16:00 Lipuli Fc vs Singida United
16:00 Simba Sc vs Tanzania Prisons
:
#UefaChampionsLeague
23:00 Paris Saint-Germain vs Club Brugge
23:00 Real Madrid vs Galatasaray
20:55 FC Bayern München vs Olympiacos
23:00 FK Crvena Zvezda vs Tottenham Hotspur
23:00 Atalanta vs Manchester City
23:00 Dinamo Zagreb vs Shakhtar Donetsk
20:55 Lokomotiv Moscow vs Juventus
23:00 Bayer Leverkusen vs Atletico Madrid
:
#EuropaLeague
18:50 Vitoria de Guimaraes vs Arsenal
:
#WorldCupU-17 – Play-off
22:30 Japan vs Mexico
22:30 Spain vs Senegal
:
#KenyaPremierLeague
15:00 Gor Mahia vs Mathare United
15:00 Western Stima vs Bandari
:
#MoroccoBotolaPro
17:00 Hassania Agadir vs FAR Rabat
19:00 MAT Tetouan vs Olympic Club de Safi
21:00 RSB Berkane vs Rapide Club Oued Zem
21:00 Wydad Casablanca vs Ittihad Tanger
:
#SouthAfricaPremier League
20:30 Amazulu Durban vs Stellenbosch FC
20:30 Baroka FC vs Mamelodi Sundowns FC
20:30 Cape Town City FC vs Polokwane City
20:30 Chippa United FC vs Kaizer Chiefs
:

MATOKEO YA SOKA JANA

:
#UefaChampionsLeague
FT Liverpool 2 – 1 Genk
FT Napoli 1 – 1 Salzburg
FT Barcelona 0 – 0 Slavia Prague
FT Borussia Dortmund 3 – 2 Inter
FT Zenit St. Petersburg 0 – 2 RasenBallsport Leipzig
FT Lyon 3 – 1 Benfica
FT Chelsea 4 – 4 Ajax
FT Valencia 4 – 1 Lille
:
#WorldCupU-17 – Play-off
FT Angola 0 – 1 Korea Republic
:
#AfricaConfederations Cup
AP Esae * 0 – 1 Generation Foot P (4-3)
:
#MoroccoBotolaPro
FT Renaissance Club Zemamra 1 – 2 Raja Casablanca
:
#SouthAfricaPremierLeague
FT Bloemfontein Celtic 3 – 1 Highlands Park FC
FT Orlando Pirates 0 – 0 Maritzburg United
FT SuperSport United 0 – 0 Lamontville Golden Arrows
:

Prepared by @officialchristz
Powered by @bikotanzania

ALICHOSEMA ZAHERA BAADA YA KUTUPIWA VIRAGO YANGA

Aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameshindwa kuzungumzia kutupiwa virago ndani ya klabu ya Yanga kwakua bado hajapewa barua na viongozi wa timu hiyo juu ya maamuzi hayo.

Leo mchana Mwenyekiti wa klabu hiyo, Dk. Mshindo Msola ametangaza mbele ya Waandishi wa Habari kuwa wamesitisha mkataba na kocha huyo na timu itakuwa chini ya Boniface Mkwasa kwa muda.

Zahera amesema atakapopewa barua juu ya kufutwa kwake kazi ndipo atakopokuwa na nafasi ya kuzungumzia jambo hilo. “Kwa sasa siwezi kuzungumzia juu ya jambo hilo, mimi nina mkataba na Yanga lakini kuhusu kufutwa kazi ni hapo nitakapopewa barua rasmi,” alisema kocha Zahera.

#wapendasokaupdates

Anfield LIVERPOOL v KRC GENK . hakutoshi

Wakati wote akili zetu tumezielekezea kwenye usiku wa Ulaya pale Anfield LIVERPOOL v KRC GENK .

Mtanzania Mbwana Ally Samatta akikiwasha mbele ya majogoo wa jiji, habari nzuri ipo huku TANZANIA babuuuu .

Unajua unyamaa wewe, ni watu wachache sana ambao wamewaza kufanya hiki kitu yaani wachache mnoo .

Jamaa ametumia pensel yake baada ya kusaidiana na Ally Kiba kuitafuta na kutuchorea Mtanzania mwenzetu @samagoal77

Daah mimi huyu nampa % zote Mia ya Mia sijui wewe utampa ngapi mkali wetu @rams.tagram
#wapendasokaupdates

Alliance FC yatoa maamuzi kwa.wachezaji wake

Kamati ya nidhamu ya klabu ya Alliance FC ya jijini Mwanza imetoa maamuzi yake kuhusu shauri la utovu wa nidhamu wa wachezaji wake wawili Israel Patrick Mwenda na John Mwanda Chacha.

Kamati ya nidhamu ilikutana 2/11/2019 na kuwasikiliza wachezaji hao pamoja na utetezi wake na kufika maamuzi yafuatazo.

Wachezaji wote wawili walikutwa na makosa ya kikanuni ya kanuni za wachezaji wa Alliance, Kamati ikaamua yafuatayo.

1. Mchezaji Israel Patrick Mwenda amepigwa faini shilingi 250,000/= na kupewa barua ya Onyo.

2. Mchezaji John Mwanda Chacha amepigwa faini ya shilingi 200,000/= na kupewa barua ya Onyo.

Pia kamati imewaomba wachezaji hao kuendelea kuonyesha Nidhamu kama zamani pamoja na kuisaidia timu kupata matokeo.

Pamoja na yote, Kamati imewaomba wachezaji wote wa Alliance FC kuzingatia nidhamu wawapo uwanjani na kujiepusha na vitendo ambayo si rafiki kwa mpira.

Design a site like this with WordPress.com
Get started