

Kikosi cha @azamfcofficial dhidi ya @kagerasugarfc1
#wapendasokaupdates
#VodacomPremierLeague


Kikosi cha @azamfcofficial dhidi ya @kagerasugarfc1
#wapendasokaupdates
#VodacomPremierLeague

Full Time | KMC FC 2 – 1 Biashara united
Serge Alain ⚽️ (P)
Kenny Ally ⚽️
Ramadhani Redondo⚽️
.
#wapendasokaupdates
#VodacomPremierLeague
Kwa kuangalia tu juu juu, kumfukuza kazi kocha ambaye amepoteza mechi mbili tu mpaka kufikia sasa kwenye msimu, litakuwa jambo la kishujaa sana. Lakini unaweza kupata sababu kubwa ya kufanya hivyo baada ya kusikia maneno ya Unai Emery baada ya mchezo wa jumamosi vs Wolves. “Matokeo ni mabaya, lakini kimbinu nadhani tulifanya vile ambavyo tulikuwa tumepanga na tulivyotaka.” Emery alisema maneno hata baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Wolves, maneno ambayo yalitoa mwanga kwamba hili sio kundi la wachezaji ambao hawafuati maelekezo ya Mwalimu or mipango haiendi kama walivyopanga. Kucheza kwa kupata sare ilikuwa ndio ‘plan’ ya tangu mwanzo.
Wakati Raul Jimenez alipowafungia Wolves goli la kusawazisha dakika 14 kabla ya mchezo kumalizika – pamoja na kwamba walikuwa wanacheza na timu ambayo ilishindwa kuwafunga Newcastle na Southampton katika mechi mbili za nyuma, maelfu ya mashabiki wa Arsenal hawakuona haja ya kuendelea kubaki uwanjani. Usumbufu wa foleni za treni na mabasi kutoka uwanja wa Emirates unaweza kuwa ulichangia lakini sio kwa kiasi hicho. Mashabiki walikata tamaa na kuamua kuona kitu walichokuwa wakihofia.
Baada ya goli la Jimenez, Emery aliamua kumuingiza beki Sead Kolasinac na kumtoa Kieran Tierney wakati Nicolas Pepe na hata Joe Willock wakibaki kusugua benchi. Arsenal walijaribu kufunga mara moja tu kwenye dakika 14 na 4 za nyongeza.
Katika mchezo mzima, Arsenal walipiga langoni mipigo 10, wakati Wolves walijaribu kufunga mara 25.
Mabadiliko ya kocha hayatakiwi tu kufuata mfululizo wa matokeo mabaya bali pia kuepuka maafa kabla hayajatokea – mfano kesi ya FC Bayern Munich vs Niko Kovac. Ilionekana wazi kwamba mambo bado hayajawa mabaya lakini pia hayaonekani yakiongezeka ubora – hakuna improvements.
Arsenal walicheza kama ambavyo kocha wao alitaka Jumamosi iliyopita vs Wolves. Huu ndio ushahidi pekee bodi ya Arsenal inahitaji kuona kwamba Emery sio kocha mwenye hamu ya mafanikio ya klabu kubwa aina ya Arsenal.



✍🏻 Mario Balotelli alipiga mpira nje kuelekea jukwaani na kutishia kuondoka kwenye uwanja kufuatia kufanyiwa kitendo cha ubaguzi wa Rangi wakati klabu yake ya Brescia ikipoteza Ugenini dhidi ya Hellas Verona katika muendelezo wa Serie A.
..
– Mechi ilisitishwa kwa muda baada ya mshambuliaji huyo wa Italia mwenye umri wa miaka 29 kufanyiwa kitemdo hicho na kudaka mpira ndani ya uwanja na kuupiga kuelekea jukwaani dakika ya 54… Wachezaji Wenzake wa Brescia na Hellas Verona na viongoz li walimshawishi abaki kwenye uwanja.. Super Mario alirejea uwanja Dakika ya 85 alipiga bao la kufutia Machozi kwa Klabu yake ikipoteza kwa Magoli 2-1.
#SayNoToRacism #SayNoToRacism
@Harunlugoyah
#repost from @bedjosessien
CAFCC group stage No East African team clearly means alot
:
Horoya AC 🇬🇳
Al Masry SC 🇪🇬
Al-Nasr SC 🇱🇾
FC Nouadhibou 🇲🇷
Enyimba FC 🇳🇬
Zanaco FC 🇿🇲
DC Motema Pembe 🇨🇩
Enugu Rangers 🇳🇬
Bidvest Wits 🇿🇦
Djoliba AC 🇲🇱
FC San Pedro 🇨🇮
RS Berkane 🇲🇦
Pyramids FC 🇪🇬
Hassania Agadir 🇲🇦
Paradou AC 🇩🇿
FC ESAE 🇧🇯/Generation Foot 🇸🇳
:
Afrika mashariki hatuna hata timu hata moja katika hatua ya makundi tunakwama wapi ?

✍🏻 Kiungo wa Everton, Andrew Gomes atafanyiwa upasuaji leo Jumatatu baada ya kupata jeraha baya la mguu kwenye mchezo wa Jumapili wa Ligi Kuu ya Uingereza dhidi ya Tottenham… Mreno huyo alipelekwa moja kwa moja hospitalini baada ya Dakika Sita za Matibabu ndani ya uwanja.. Aligundulika kuwa amevunjika mfupa wa kifundo cha Mguu (Ankle).
…
✍🏻 Aliyecheza faulo hiyo, Heung-min Son wa Spurs alitolewa kwa kadi Nyekundu dakika ya 79 kwa kumchezea tackling mbaya mchezaji huyo wa Ureno… Licha ya kadi Nyekundu, Son atakumbana na Adhabu kutoka Chama cha Soka Nchini humo, Licha ya tukio kutakuwa la kukusudia.
..
✍🏻 Mechi hiyo hatimaye ilimaliza kwa sare ya 1-1 baada ya kichwa cha Cenk Tosun dakika ya 97 kufuatia juhudi za mapema za Tottenham kupata goli kupitia kwa kiungo wao, Dele Alli..
#Everton #PremierLeague #getwellsoongomez
@Harunlugoyah.
:
#TanzaniaFDL
16:00 Boma Fc vs Ihefu
:
#EnglandChampionship
23:00 Stoke City vs West Bromwich Albion
:
#ItalySerieA
22:45 SPAL vs Sampdoria
:
#AlgeriaLigue1
19:45 USM Alger vs JS Saoura
20:45 USM Bel Abbes vs JS Kabylie
:
#MoroccoBotolaPro
21:00 MCO Oujda vs Youssoufia Berrechid
:
#VodacomPrimierLeague
16:00 Azam Fc vs Kagera Sugar
16:00 KMC vs Biashara Mara
:
Prepared by @officialchristz
Powered by @bikotanzania
:
#VodacomPrimierLeague
FT Simba SC 4-0 Mbeya City
FT Coastal Union 1-2 Mbao FC
FT JKT Tanzania 0-1 Tanzania Prisons
FT Ndanda SC 2-0 Ruvu Shooting
FT Polisi Tanzania 1-0 Alliance FC
:
#TanzaniaFDL
FT Mbeya Kwanza 5-1 Iringa United
:
#EnglandPremierLeague
FT Crystal Palace 0 – 2 Leicester City FT Everton 1 – 1 Tottenham Hotspur
:
#EnglandChampionship
FT Charlton Athletic 0 – 1 Preston North End
:
#SpainLaLigaSantander
FT Real Valladolid 3 – 0 Mallorca
FT Villarreal 0 – 0 Athletic Bilbao
FT Osasuna 4 – 2 Deportivo Alaves
FT Leganes 1 – 2 Eibar
FT Celta Vigo 0 – 1 Getafe
FT Granada 1 – 2 Real Sociedad
:
#ItalySerieA
FT Atalanta 0 – 2 Cagliari
FT Genoa 1 – 3 Udinese
FT Verona 2 – 1 Brescia
FT Lecce 2 – 2 Sassuolo
FT Fiorentina 1 – 1 Parma
FT Milan 1 – 2 Lazio
:
#GermanyBundesliga
FT Fortuna Düsseldorf 2 – 0 1. FC Köln
FT Augsburg 2 – 3 Schalke 04
:
#FranceLigue1
FT Bordeaux 2 – 0 Nantes
FT Nice 2 – 0 Reims
FT Saint-Etienne 1 – 0 Monaco
:
#BelgiumFirstDivision A
FT Anderlecht 2 – 1 Cercle Brugge
FT Gent 3 – 1 Standard Liege
FT KV Mechelen 2 – 2 Sporting Charleroi
:
#WorldCupU-17
FT Argentina 3 – 1 Tajikistan
FT Cameroon 0 – 2 Spain
FT Italy 1 – 2 Paraguay
FT Mexico 8 – 0 Solomon Islands
:
#AfricaConfederationsCup
FT Bandari 0 – 1 Horoya
FT Proline 0 – 2 Al-Nasr Club of Benghazi
FT TS Galaxy FC 1 – 2 Enyimba International FC
FT Triangle United FC 3 – 2 Nouadhibou
FT Zanaco FC 5 – 1 Cano Sport
FT Daring Club Motema Pem… 2 – 1 Gor Mahia
FT Enugu Rangers 1 – 0 Kara
FT Djoliba AC Bamako 4 – 0 Elect-Sport
FT FC San Pedro 2 – 0 Asante Kotoko
FT Bidvest Wits 6 – 0 UD Songo
FT Al Masry 2 – 0 Cote d’Or
FT Hassania Agadir 2 – 1 Green Eagles FC
FT Pyramids FC 3 – 0 Young Africans
FT RSB Berkane 5 – 0 SOM Fosa Juniors FC
FT Paradou AC 4 – 1 Kampala CCA
:
#KenyaPremierLeague
FT Kakamega Homeboyz 2 – 2 Sofapaka
FT Kariobangi Sharks 0 – 1 Zoo FC
:
#MoroccoBotolaPro
FT FAR Rabat 1 – 3 Difaa El Jadida
:
Prepared by @officialchristz
Powered by @bikotanzania

✍🏻 Bayern Munich wamemfuta kazi ya Ukocha Mkuu, meneja Niko Kovac, Uamuzi huo unafuatia kipigo cha Jumamosi 5-1 dhidi ya Eintracht Frankfurt katika Mechi ya Bundesliga, ambapo kilikuwa ni kipigo cha pili kwa mabingwa hao aa Ujerumani katika michezo 10 ya Bundesliga msimu huu.
..
✍🏻 Kovac anaondoka Bayern akiiacha kwenye nafasi ya nne na pointi Nne nyuma ya vinara, Borussia Monchengladbach…Kiungo huyo wa zamani wa Croatia alikuwa kocha tangu Julai 2018 na kuiongoza Bayern kutwqa Ubingwa wa Ligi na Kombe la Ligi msimu uliopita.
…
✍🏻 Kovac alishinda michezo yake 45 kati ya 65 akiinoa Bayern lakini kipigo cha Jumamosi kilikuwa kikubwa zaidi kwa klabu hiyo katika Bundesliga katika Kipindi cha miaka 10.. Sasa Kocha msaidizi, Hansi Flick atachukua jukumu la kuinoa Bayern katika mchezo wa Marudiano wa UEFA Champions League dhidi ya Olympiakos Jumatano na dhidi ya Borussia Dortmund Jumamosi.
#Bundesliga #BayernMunich #TransfersNews
@Harunlugoyah