Story za vijiweni: WACHEZAJI WA SIMBA WAKOMALIA KUTAKA KULIPWA FEDHA ZAO ZA USAJILI : Sakata la baadhi ya nyota wa Simba ambao hawajalipwa hela zao za usajili limeshika kasi sana. : 👉 Kuna tetesi nyingi sana vijiweni. Inadaiwa kuwa Chama ameshinikiza kulipwa stahiki zake. Wengine ni Gadiel, Kahata, Nyoni na Mkude. Tetesi hizi zina ukweli …
Continue reading “WACHEZAJI WA SIMBA WAKOMALIA KUTAKA KULIPWA FEDHA ZAO ZA USAJILI”