Simba yashindwa kutamba nyumbani

Mchezo wa Kimataifa wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Aigle Noir umemalizika kwa timu hizo kutoka suluhu ya bila kufungana Mchezo huo uliopigwa uwanja wa Lake Tanganyika, ulishuhudia timu zote zikipata wakati mgumu kucheza katika mazingira yasiyoridhisha ya uwanja huo Pamoja na kutengeneza nafasi kadhaa hasa kwenye kipindi cha pili, mambo yalikuwa magumu kwa …

Simba , yanga Leo. Viwanjani

Vigogo wa soka nchini Simba na Yanga leo wako viwanjani kucheza mechi za kirafiki Simba bado iko mkoani Kigoma ambapo leo itashuka uwanja wa Lake Tanganyika kuikabili Aigle Noir kutoka Burundi Mabingwa hao wa Tanzania Bara walitua Kigoma Jumapili na juzi Jumatatu kucheza na Mashujaa katika mchezo ambao walishinda kwa bao 1-0 Wakati Simba ikiwa …

Simba kulinda heshima ..nyumbani Leo

✍🏻 Baada ya kuichapa 1-0 Mashujaa FC, Hii Leo kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania, klabu ya Simba SC itacheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na mabingwa wa Burundi 🇧🇮, klabu ya Aigle Noir. … ✍🏻 Wakati huo huo, Baada ya kuwanyoosha 4-2 Friends Rangers, Wawakilishi wa …

Simba kumaliza..ziara..kigoma.leo..

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo wanamaliza ziara yao mkoani Kigoma kwa kuwakabili Aigle Noir, mabingwa wa Burundi Mchezo huo utapigwa saa kumi jioni katika uwanja wa Lake Tanganyika Simba iliwasili Kigoma Jumapili iliyopita ambapo juzi Jumatatu ikacheza na Mashujaa Fc katika mchezo ambao walifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 Leo wanatupa karata …

Simba yajifua kuwavaa Aigle Noir

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba bado kiko Kigoma leo wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Lake Tanganyika kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Aigle Noir Mchezo dhidi ya Aigle Noir utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Lake Tanganyika Huo utakuwa mchezo wa pili kwa Simba mkoani Kigoma baada ya jana kuilaza Mashujaa …

Kakolanya ,ajibu hawakukosea njia

Mlinda lango namba mbili wa Simba Beno Kakolanya na kiungo Ibrahim Ajib jana walin’gara kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Bandari Fc, mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa Wakati Kakolanya akiokoa michomo ya hatari, Ajib alifunga bao pekee ambalo liliihakikishia Simba ushindi muhimu wa bao 1-0 Mwanzoni wapo waliokosoa ujio wa wachezaji hao Msimbazi lakini sasa …

Mambo yaliyojitokeza katika mechi ya simba vs badari fc

Mambo kadhaa niliyoyaona kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Bandari Fc. . . Nimeona utofauti mkubwa kati ya Wawa, na Santos, Wawa ni mzuri kwenye kupiga mpira mirefu kukaba ni tatizo kubwa kwake. Santos, anakaba kama ataendelea hivi hivi inaweza ikawa Chemistry bora ya msimu yeye na Nyoni 🙌. . . Simba, …

Design a site like this with WordPress.com
Get started