Mo akumbuka tukio la.kutekwa

Juzi Ijumaa Oktoba 11 2019 umetimia mwaka mmoja tangu tukio la kutekwa Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’ liitikise nchi Mo amesema tukio hilo hatalisahau kamwe kwani katika kipindi chote alichokuwa akishikiliwa, aliishi bila ya kuwa na uhakika wa kuiona kesho yake Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Mo ameandika ujumbe …

Wachezaji sita simba B kujumuishwa kikosi cha kwanza

Uongozi wa klabu ya Simba umethibitisha kuwa utawaongeza wachezaji sita wa timu ya vijana kwenye kikosi cha kwanza kuelekea michezo mitatu ya kirafiki ambayo Simba itacheza hivi karibuni Taarifa iliyotolewa na uongozi imesema, uamuzi huo umechukuliwa baada ya timu kuwa na wachezaji wachache idadi kubwa ya wachezaji wakienda kutumikia timu za Taifa Wachezaji hao watashiriki …

Uchaguzi mwenyekiti simba bado

Uongozi wa klabu ya Simba umesema kuwa bado Bodi ya Wakurugenzi pamoja na Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo haujakutana kujadili suala la Mwenyekiti mpya baada ya Swedi Mkwabi kuachia ngazi hivi karibuni Mkwabi alijiuzulu nafasi yake mwezi uliopita akitoa sababu ya kuhitaji muda zaidi kusimamia shughuli zake binafsi Kulingana na Katiba ya Simba, mchakato …

Simba yapanda viwango CUF

Pamoja na kutolewa mapema michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, Simba imeendelea kuziburuza timu za Tanzania na Afrika Mashariki kwenye viwango vya soka barani Afrika baada ya kupanda kwa nafasi nne kutoka nafasi ya 20 hadi ya 16 Ni Gor Mahia pekee iliyoingia top 30 miongoni mwa timu kutoka ukanda wa Afrika Mashabiki ikiwa …

Aussems kuitwngeneza simba mpya

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema michezo mitatu ya kirafiki wanayotarajia kucheza, ataitumua kuwapa nafasi wachezaji ambao wamekosa muda wa kutosha kwenye kikosi cha kwanza Aussems ambaye kikosi chake Jumamosi kitashuka uwanja wa Taifa kuikabili Bandari Fc, amesema mchezo huo ni sehemu ya mazoezi kwa vijana wake “Tunawakosa wachezaji saba ambao wako timu za …

Manara-hakuna anaeidai simba

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema klabu hiyo haidaiwi na mchezaji yeyote, na kuwa kinachowakabili baadhi ya wachezaji ni masuala ya utovu wa nidhamu Mapema jana uongozi wa Simba ulitoa tamko kuhusu sintofahamu inayowakabili wachezaji wake wanne Jonas Mkude, Clatous Chama, Gadiel Michael na Erasto Nyoni Baadhi ya vyombo vya habari vilizusha kuwa wachezaji …

Bocco aanza mazoezi kuweka mwili fiti

Nahodha wa Simba John Bocco ameanza mazoezi mepesi tayari kurejea kikosini baada ya kuwa nje kwa zaidi ya wiki saba Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema mkongwe huyo amepona majeraha na ameanza mazoezi mepesi “Bocco amerejea na ataonekana hivi karibuni akiwa na wenzake ikiwa ni baada ya kuwa nje kwa miezi kadhaa kutokana na kupata …

Simba sc yatoa Taarifa Rasmi kuhusu wachezaji wake

– Taarifa Rasmi iliyotolewa na Klabu ya Simba SC, ikitoa ufafanuzi kamili juu la Sakata la Wachezaji wake, Jonas Mkude, Clatous Chama, Gardiel Michael na Erasto Nyoni.. … – Pia Klabu hiyo Imethibitisha kuwa Kiungo wao wa Kimataifa wa Kenya, Francis Kahata alipewa ruhusa ya kwenda kwao kwa Matatizo Binafsi, na Sasa amerejea na yupo …

Simba sc yatoa Taarifa Rasmi kuhusu wachezaji wake

– Taarifa Rasmi iliyotolewa na Klabu ya Simba SC, ikitoa ufafanuzi kamili juu la Sakata la Wachezaji wake, Jonas Mkude, Clatous Chama, Gardiel Michael na Erasto Nyoni.. … – Pia Klabu hiyo Imethibitisha kuwa Kiungo wao wa Kimataifa wa Kenya, Francis Kahata alipewa ruhusa ya kwenda kwao kwa Matatizo Binafsi, na Sasa amerejea na yupo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started