Wawa apata jeuri..mechi tatu za kirafiki

Beki Paschal Wawa amesema mechi tatu za kirafiki walizocheza zinawapa matumaini ya kufanya vizuri dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa ligi kuu utakaopigwa keshokutwa Oktoba 23 uwanja wa Taifa. Simba ilianza kucheza mchezo wa kwanza dhidi ya Bandari uwanja wa Uhuru ikashinda kwa bao 1-0 kisha ikakwea pipa kuwafuata Mashujaa mkoani Kigoma ikashinda bao …

Mkude,,chama warejea.kikosini

Kiungo Jonas Mkude na Clatous Chama jana walikuwepo uwanja wa Uhuru kwenye mazoezi ya kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba Chama alishiriki mazoezi hayo kikamilifu wakati Mkude aliyerejea juzi kutoka Sudan alikoisaidia Stars kufuzu fainali za CHAN, hakufanya mazoezi Kurejea kikosini kwa nyota hao kunaaminisha uongozi wa Simba umamaliza sintofahamu iliyokuwa ikiwakabili Leo …

Mchezo wa simba vs azam wahamishiwa taifa

Mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa keshokutwa Jumatano, Oktoba 23, utachezwa uwanja wa Taifa Mchezo unatarajiwa kupigwa kuanzia majira ya saa 11 jioni Hii itakuwa mara ya pili kwa Simba na Azam Fc kukutana kwenye uwanja huo msimu huu August 17 zilikutana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii …

TAREHE NA MWEZI KAMA WA LEO, MNAMO MWAKA 2013.. Ilipigwa Mechi ya Watani wa Jadi

šŸ“… TAREHE NA MWEZI KAMA WA LEO, MNAMO MWAKA 2013.. Ilipigwa Mechi ya Watani wa Jadi Nchini Simba SC dhidi ya Yanga SC, Game ambayo ni miongoni mwa mechi isiyosahaulika katika historia ya Miamba hawa. . – Ilikuwa ni Dakika ya 15 tu, Mrisho Ngassa aliyekuwa kipenzi cha Wananchi, anaifungia Yanga bao la kwanza baada …

Tairone akumbwa na tikio.lisiloelezeka

Juzi beki Tairone Da Silva alikumbwa na tukio lisilo la kawaida baada ya kuanguka akiwa kwenye mazoezi ya kikosi cha Simba uwanja wa Uhuru Tukio hilo lilipelekea sintofahamu ya muda mfupi kabla ya kupewa huduma ya kwanza Daktari wa Simba Dk Yassin Gembe amesema tukio hilo lilisababishwa na joto kali Dk Gembe amefafanua kuwa Tairone …

Aussems-mchezo wetu na azam si rahisi

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Azam FC hautakuwa rahisi, anaamini Azam ni moja ya timu bora Tanzania. Simba na Azam Fc zitacheza Jumatano kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ikiwa ni mara ya pili msimu huu baada ya kukutana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii …

JESHI SIMBA LAINGIA VITANI

JESHI la mabingwa watetezi Ligi Kuu Bara, Simba, ni kama halijaridhika na kile kilichovuna katika michezo minne iliyopita licha ya kukusanya pointi zote 12. Sasa kikosi hicho kinataka kuonyesha kuwa bado kinataka kuweka historia ya kipekee katika soka la Tanzania na Afrika kwa ujumla, kutokana na inavyohaha kuhakikisha inafanya mambo makubwa zaidi. Malengo makubwa ya …

JAMES KOTEI MAMBO MAGUMU HUKO KEIZER CHIEF’Sā—

James kotei ameshindwa kumshawishi kocha wa KEIZER CHIEF’S kiasi kwamba watabe hao wa south Africa wanafikiria kumtoa kwa mkopo katika dirisha dogo la usajili mwezi January. james kotei alijiunga na KEIZER CHIEF’S akitokea simba sc kama mchezaji huru mwezi jully. je Simba watamrejesha kiungo huyo ambaye alikuwa kivutio hasa akifit moja kwa moja katika mifumo …

Siumizwi ma.matokeo ya are asema. Aussems

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema timu yake haikuwa ikiangalia matokeo zaidi kwenye michezo ya kirafiki waliyocheza jijini Dar es salaam na mkoani Kigoma Simba ilianza kwa kuichapa Bandari Fc bao 1-0 jijini Dar es salaam kisha kuelekea mkoani Kigoma ambako ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa Fc kisha kulazimishwa suluhu ya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started