Nani wa kuizuia Simba msimu huu? Ni swali ambalo timu za ligi kuu zinajiuliza kutokana na moto walioanza nao mabingwa hao watetezi leo wakiichapa Azam Fc bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa Wakicheza kwa kujiamini katika mchezo huo uliotawaliwa na ufundi mwingi pamoja na ubabe wa hapa na pale, alikuwa Meddie Kagere aliyepeleka …
Continue reading “Simba sc yaendeleza. Ubabe yaichapa Azam. 1-0”