Mastaa ambao hawataonekana timu zao za Taifa.

1: Jonas Mkude – maswala ya kifamilia
2: Sterling Raheem – Ugomvi
3: Ivan Raktic – majeruhi
4: Mo Salah – majeruhi
5: Andy Robertson – majeruhi
6: Ryan Fraser – majeruhi
7: Scott McTominay – majeruhi
8: Adama Traore – majeruhi
9: Leonardo Spinazzola – majeruhi
10: Marco Verratti – majeruhi
11: Domenico Berardi – majeruhi
12: Blaise Matuidi – majeruhi.
13: Christian Pulisic – majeruhi
.
Na wengine wengi..!!
#bakinasisi__
#NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

Bado Siku 2. Kwa Pamoja Tunaweza

Equatorial Guinea mara nyingi jezi zao ni Nyekundu zenye michirizi ya rangi nyeupe na pia jersey za pili huwa ni nyeupe zenye michirizi ya rangi nyekundu, Mtengenezaji wa jersey zao ni Adidas. Nembo ya FEGUIFUT, na nembo ya Adidas ziko mbele (kwenye kifua), Soksi ni nyekundu na nyeupe.
.
#kilalakheri #taifastars
#bakinasisi__
#NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

Lampard atunga sheria zake.ndani ya chelsea

👉Anayechelewa kuripoti mazoezini- Pauni 2500.
👉Anayechelewa kuripoti siku ya mechi- Pauni 2500.
👉Anayechelewa Gym- £10,000.
👉Anayechelewa matibabu-£2500.
👉Anayechelewa kikao cha timu-£500 kwa kila dakika anayochelewa.
👉Anayechelewa muda wa kuanza mazoezi- £20,000.
👉Simu itakayoita muda wa kikao- £1000.
👉Uvaaji wa mavazi yasiyo rasmi siku ya mechi- £1000.
👉Kutoshiriki shughuli za kijamii- £5000.
👉Kuchelewa kutoa taarifa ya majeraha-£10,000.
:
😱😱 Faini kwa Wachezaji wa Klabu ya @chelseafc ikiwa utakiuka sharia zilizopangwa chini ya kocha wao Frank Lampard.. Usipolipa Faini kwa siku 14 inaongezeka mara mbili 🙌🙌 nidhamu kwanza.
#chelseafc #PremierLeague #PLUpdates

Horoya fc yatambulisha kocha mpya

✍ Kocha raia wa Senegal 🇸🇳, Lamine Ndiaye ameteuliwa kama kocha Mkuu mpya wa klabu ya Horoya AC ya Guinea 🇬🇳 Kwa mkataba wa miaka tatu… Kocha huyo mwenye umri wa miaka 63, ambaye aliiongoza TP Mazembe ya DR Congo 🇨🇩, kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika mnamo mwaka 2010, anachukua nafasi ya Didier Gomes Da Rosa ambaye alifutwa kazi siku tatu zilizopita.
..
✍ Da Rosa alitimuliwa kazi baada ya kushindwa kufikia lengo lake la kuiongoza Horoya kufika nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika… Ndiaye sasa ni kocha wa tatu wa Horoya wa mwaka huu, nae pia amewekewa malengo katika Mkataba wake Kwamba jukumu lake ni kufikia Nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa… Kwenye mpira wa ngazi ya vilabu vya Kiafrika aliwahi kuzifundisha Coton Sport Garoua ya Cameroon, Magreb Fez ya Morocco, TP Mazembe ya DR Congo na miamba wa Sudan, Al-Hilal.

✍ Ndiaye alishinda Mataji Matano ya ligi kuu ya ndani na Kombe la ligi mara mbili akiwa na Coton Spor.. Huko TP Mazembe pia aliwapa Ubingwa wa Ligi ya Mabingwa ma alishinda Makombe Mawili ya CAF Super Cup na Mataji mawili ya ligi kuu ya DR Congo… Aliwaongoza pia mabingwa hao DR Congo kwenye fainali ya Kombe la Dunia la Klabu Mwaka 2010 kisha kupoteza kwa Inter Milan 3-0 huko UAE, ilikuwa ndio klabu ya kwanza wa Kiafrika kufanikiwa kufika hatua hiyo.
#TransfersNews #Horoya
@Harunlugoyah

Matokeo ya Soka jana :Ratiba ya Soka Leo

#AfricaCupofNations U23
FT Ivory Coast U23 0 – 1 South Africa U23
FT Zambia U23 1 – 3 Nigeria U23
:
Ratiba ya Soka Leo
:
#AfricaCupofNationsQualification
19:00 Namibia vs Chad
16:00 Malawi vs South Sudan
22:00 Burkina Faso vs Uganda
22:00 Sudan vs Sao Tome and Principe
22:00 Angola va Gambia
15:00 Central African Republic vs Burundi
19:00 Cameroon vs Cape Verde
19:00 Guinea-Bissau vs Eswatini
22:00 Senegal vs Congo
19:00 Nigeria vs Benin
19:00 Sierra Leone vs Lesotho
:
Prepared by
#OfficialChristz

Design a site like this with WordPress.com
Get started