.
Mwakinyo 🗣️”Sipigi ngumi nyepesi napiga sana madude, kilichomsaidia mfilipino alishasoma alipokuwa analewa alikuwa ananificha ukitaka kufanya finishing na yeye anapiga.” .
#bakinasisi__
#NjooKwetu
#TupoNawePaleUlipo
Simba sc yatia wachezaji 7 kilimanjaro stars

Aishi Manula aitwa katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania bara kinachojiandaa kwa ajili ya Mshindano ya Cecafa Mwezi Ujao.
Wachezaji wengine wa Simba walioitwa
Gadiel Michael, Mohamed Hussein, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin, Hassan Dilunga na Miraji Athumani.
#SokaplaceUPDATES
Yanga kuwinda …nyita mpya

Baada ya kufanya vyema katika kikosi cha Tanzania Prisons Kiungo Cleofas Mkandala anaehusishwa kujiunga na klabu ya Yanga ametajwa katika kikosi cha wachezaji 32 wa timu ya taifa ya Tanzania ( Kilimanjaro Stars) kitakacho ingia kambia kujiandaa na michuano ya kagame itakayoanza kutimua vumbi mwezi ujao Nchini Uganda
:
Mkandala ameunga na na Mlinzi wa kulia wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa stars Salum Kimenya wa klabu ya Tanzania Prisons.
#SokaplaceUPDATES
@tzprisonsscofficial @c.mkandala
UKAME WA USHINDI ARSENAL.

Kwa mara ya kwanza Arsenal imeshindwa kuibuka na ushindi katika mechi 7 mfululizo za mashindano yote wakitoka sare 5 na kupoteza 2. Hii Ni tangu 1992 na ukame wa namna hii haukuwahi kutokea kwa mzee Arsene Wenger kwenye mechi zake 1235 alizoitumikia Arsenal.
#wapendasokaupdates
BAYERN warudi tenah kwa Leroy Sane.
BAYERN Munich wamerudi rasmi tena katika mbio za kumchukua winga mahiri wa Manchester City, Leroy Sane na tayari wamekutana na wakala wa staa huyo wa kimataifa wa Ujerumani, Giovanni Branchini kwa ajili ya kujadili uhamisho huo.
.
Kwa muda mrefu Sane ni majeruhi na Bayern haitazamiwi kumchukua katika dirisha la Januari, lakini inatazamiwa kutoa dau katika dirisha kubwa la majira ya joto huku City wakitaka zaidi ya pauni 100 milioni kumruhusu Sane kuondoka.
.
Hii ni mara ya pili kwa Bayern kurudi kwa Sane baada ya kumsaka kwa nguvu zote katika dirisha kubwa lililopita la majira ya joto kwa ajili ya kuziba mapengo ya wakongwe wao waliotimka klabuni hapo, Arjen Robben na Franck Ribery ambao walitimka klabuni hapo mwishoni mwa msimu uliopita. Sane ameifungia City mabao 25 baada ya kuichezea mechi 89.

Ratiba | Kombe La Shirikisho

Unai Emery Kibarua kimeota nyasi.
.
Kutokana na muendelezo mbovu wa klabu ya Arsenal na kushindwa kupata Ushindi katika mechi 7 za mwisho, klabu ya Arsenal imethibitisha kumfungashia virago vyake aliyekuwa kocha wao mkuu Unai Emery na sasa. Ikumbukwe kuwa matokeo haya mabovu kwa Arsenal kuwahi kuyapata mara ya mwisho ilikuwa mnamo mwaka 1992. .
.
Taarifa za awali zinadai kuwa Freddie Ljungberg atakaimu kuwa kocha kwa muda. Hii ni mara baada ya kikao kilichakaliwa leo kuhusu mwenendo wa Timu.

Kikosi cha Yanga dhidi ya Alliance leo | Vpl