












Siku kama ya leo mwaka 2009, Lionel Messi alishinda tuzo ya Ballon d’Or kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya soka. Mpaka sasa ameshinda tuzo 5, Vipi kesho atashinda ya Sita? Au asubiri kidogo VVD afanye yake? 👀
.
.
Proudly Sponsored by @mcheza_tz @bussi_ntua @tshombee1 #sokaonlineupdates

📊 Lionel Messi amefunga mabao 29 katika mechi 38 dhidi ya Atlético (kati ya mechi hizo 24 ni mechi za LaLiga). . .
Lakini pia Messi hajafunga goli lolote katika dimba la Wanda Metropolitano ( uwanja mpya ambao unamilikiwa na Atletico) .
.
Tukumbuke kesho ndiyo ile siku ya tuzo za Ballon D’or. Wanasemaga mtoto hatumwi dukani vipi akitumwa inakuwaje? .
.
Proudly Sponsored by @mcheza_tz @bussi_ntua @tshombee1 #sokaonlineupdates

Umeisikia hii ya Ajax kushinda 50-1? 😧
.
.
Unaweza ukahisi labda ni Cricket au Basketball hapana ni mpira wa miguu. .
.
Timu ya Ajax chini ya miaka 12 imeifunga timu ya MVV Maastricht U12s mabao 50-1 usiku wa kuamkia leo 😂
.
.
Tumejaribu kukitafutia jina la kitaalamu hiki kipigo hatujapata. Unaweza ukakipa jina gani?

Emmanuel Okwi aanza kufungua akaunti ya mabao kunako Ligi Kuu nchini Misri ambapo siku ya jana Jumamosi aliisaidia timu yake ya Ittihad Alexander kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ismaily
.
.
Katika ushindi huo Okwi alifunga bao moja katika dakika ya 42′ na kuibuka mchezaji bora wa mechi hiyo
. .
Mabao mengine ya Ittihad yalifungwa na Rizk dakika ya 21′ pamoja na Cisse dakika ya 51′
. .
Proudly Sponsored by @mcheza_tz @bussi_ntua @tshombee1 #sokaonlineupdates
Octa Ayubu Jr.
:
Kwa Sasa mila na tamaduni za makabila mengi ya kiafrika hazitukuzwi na kuaminiwa Kama ilivyokuwa hapo awali.Ila katika kukua kwangu nimebahatika kushuhudia matambiko kadhaa ya kutumia damu za wanyama na vitu vingine kwaajili ya ukombozi wa familia au kabila Fulani.
:
Soka letu limefika mahali limekosa mwelekeo,Kila kosa linaloonekana ndani ya timu basi lawama zote anabebeshwa kocha.kuna timu wachezaji waliingia bila Kula lakini hakuna aliyehukumiwa Wala kufutwa kazi,ila timu ikipata sare kocha anafutwa kazi.
:
Ilianza Kama move,yakasemwa mengi Sana kuhusu Aussems kocha mkuu wa klabu ya Simba.Hatimaye yametimia na mpaka muda huu Aussems siyo kocha tena wa Simba.
:
Nilishindwa kuandika chochote kwasababu nilihitaji kujua kwa undani Sababu toka kwa viongozi zilizopelekea Aussems kufutwa kazi.Cha kustaajabisha moja Kati ya Sababu zilizopelekea Aussems kufutwa kazi ni kushindwa kuifikisha simba hatua ya makundi champion league.
:
Hii ndiyo Sababu pekee ambayo binafsi nimeelewa ila zingine ni kutafutiwa wingi wa makosa ili kututia vizuri vumbi machoni mwetu tusione madhaifu yao.Aussems ndiye kocha aliyeipeleka Simba robo fainali rekodi ambayo ilishindikana kwa kipindi kirefu.
:
Aussems anafukuzwa katika kipindi ambacho timu inaongoza ligi ikiwa imepoteza mechi moja na kutoa sare moja huku ikishinda michezo 8.Timu iliondokewa na wachezaji muhimu watatu Tena wakiwa bora,Lakini wachezaji wengi waliosajiliwa hawafikii hata nusu ya ubora wa wale walioondoka ukimtoa shiboub.
:
Usajili wa timu alihusika kocha asilimia 100? Hili ndio swali gumu kichwani mwangu katika hukumu yao dhidi ya kocha kwaajili klabu kushindwa kuingia makundi.Tulisajili wabrazil kwaajili ya matangazo ya biashara zetu Lakini lawama kabeba kocha.
:
Inaendelea
Prepared by @octa_ayubu_jr
@sokaplace_

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, kocha Patrick Aussems ametoa taarifa rasmi kwamba uongozi wa Simba kupitia kwa mkurugenzi mtendaji wa klabu hiyo Senzo Mazingisa umemtaarifu kwamba kibarua chake kimekoma.
Taarifa hiyo inahitimisha sakata kati ya Simba na Aussems ambalo limedumu kwa takribani wiki nzima huku kocha huyo akisimamishwa kwa muda kupisha uamuzi wa bodi ya Simba dhidi yake.
#wapendasokaupdates

Uongozi wa timu ya Mbeya City umeachana na kocha wao Juma Mwambusi baada ya kocha huyo muomba kujiuzulu.
Uamuzi huo umefikiwa leo baada kikao cha bodi ya timu hiyo kilichokaa kwa ajili ya kujadili mwenendo wa timu ambao umekua hauridhishi katika siku za hivi karibuni.
Majukumu ya kukinoa kikosi cha ‘wanakomakumwanya’ yamekabidhiwa kwa kocha msaidizi Mohamed Kijuso wakati harakati za kumtafuta kocha mpya zikiendelea.
#wapendasokaupdates


#EnglandPremierLeague
17:00 Norwich City vs Arsenal
17:00 Wolverhampton Wanderers vs Sheffield United
19:30 Leicester City vs Everton
19:30 Manchester United vs Aston Villa
:
#EnglandFA Cup
17:00 Blackpool vs Maidstone
17:00 Coventry City vs Ipswich Town
17:00 Gillingham vs Doncaster Rovers
17:00 Rochdale vs Boston United
17:00 Peterborough United vs Dover
17:00 Crawley Town vs Fleetwood Town
17:00 Northampton Town vs Notts County
17:00 Bristol Rovers vs Plymouth Argyle
17:00 Exeter City vs Hartlepool United
18:00 Tranmere Rovers vs Chichester City FC
:
#Tunisia – Ligue I
16:00 CS Hammam-Life vs JS Kairouanaise
16:00 Stade Tunisien vs Ben Guerdane
16:00 US Monastir vs CA Bizertin
:
#FranceLigue 1
17:00 Nantes vs Toulouse
19:00 Rennes vs Saint-Etienne
23:00 Monaco vs Paris Saint-Germain
:
#Germany Bundesliga
17:30 Borussia Moenchengladbach vs Freiburg
20:00 Wolfsburg vs Werder Bremen
:
#Italy – Serie A
14:30 Juventus vs Sassuolo
17:00 Inter vs SPAL 2013
17:00 Lazio vs Udinese
17:00 Parma Calcio 1913 vs AC Milan
20:00 SSC Napoli vs Bologna
22:45 Hellas Verona vs Roma
:
#NetherlandsEredivisie
14:15 FC Twente vs Ajax
16:30 FC Utrecht vs RKC Waalwijk
18:45 Feyenoord vs PEC Zwolle
18:45 AZ Alkmaar vs VVV-Venlo
22:00 FC Emmen vs PSV Eindh
:
#SpainLaLiga
14:00 Sevilla vs Leganes
16:00 Athletic Bilbao vs Granada
18:00 Espanyol vs Osasuna
20:30 Getafe vs Levante
23:00 Atletico Madrid vs Barcelona
:
AfricaConfederationsCup
16:00 Enugu Rangers vs Pyramids FC
22:00 FC Nouadhibou vs Al Masry
16:00 Motema Pembe vs Zanaco
19:00 RSB Berkane vs Esae Fc
19:00 Al-Nasr vs Djoliba AC
19:00 Bidvest Wits vs Horoya AC
19:00 San Pedro vs Paradou AC
22:00 Hassania Agadir vs Enyimba
:
#KenyaPremierLeague
15:00 Tusker FC vs Bandari
15:00 Western Stima vs Sofapaka
15:00 Zoo FC vs Kisumu All Stars
:
#MoroccoBotola Pro
17:00 Renaissance Club vs Difaa El Jadida
:
#SouthAfricaPremier League
16:30 Amazulu Durban vs Maritzburg United
16:30 Chippa FC vs Baroka FC
:
#VodacomPrimierLeague
19:00 Azam Fc vs JKT Tanzania
:
#Tanzania FDL
16:00 African Lyon vs Majimaji Fc
16:00 GreenWorriors vs Geita Gold Fc
:
Prepared by @officialchristz
@sokaplace_