Wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji bora wa Mwaka Afrika

๐Ÿ‘‰Wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji bora wa Mwaka Afrika ( African Player of the year)
Sasa wamebakia kumia Samatta Nje
:
Andre Onana ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ
Hakim Ziyech ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
Kalidou Koulibaly ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ
Ismail Bennacer ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ
Mohamed Salah ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
Odion Jude Ighalo ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ
Pierre-Emerick Aubameyang ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฆ
Riyad Karim Mahrez ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ
Sadio Manรฉ ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ
Youcef Belaili ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ
:

#CAFAwards2019
#SokaplaceUPDATES @sokaplace_ @danirito_thomson @officialchristz

Mtanzania aitumikia timu.ya taifa ya malawi

BREAKING:
Kiungo fundi wa kimataifa wa Tanzania na mabingwa wa Malawi Big Bullets FC Aziz Andabwile ameamua kuitumikia timu ya taifa ya Malawi U20 katika michuano ya COSAFA inayofanyika nchini Zambia hii imetokana na kukosa nafasi kwa kipindi kirefu katika timu za vijana za Tanzania.

Via @tzprofplayers
#SokaplaceUPDATES
@officialchristz @danirito_thomson @sokaplace_

MAJERUHI YAWAONDOA NADO, SURE BOY, CHILUNDA KILI STARS

Wachezaji watatu kutoka Azam FC, Idd Selemani ‘Nado’ Abubakari Salum ‘Sure Boy’ na Shabani Chilunda wameenguliwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania bara ‘Kilimanjaro Heroes’ baada ya kupata majeruhi.

Nyota hao walijumuishwa katika kikosi cha awali cha wachezaji 32 kilichokuwa kinajiandaa na michuano ya Cecafa Senior Challenge itakayoanza kutimua vumbi nchini Uganda kuanzia Jumapili ijayo.

Daktari wa timu hiyo Emily Urasa amesema wachezaji hao waliumia wakiwa na timu ya Azam kabla ya kujiunga na kambi ya timu hiyo iliyoanza rasmi juzi. “Wachezaji Shaban Chilunda, Sure Boy na Nado hawatakuwa sehemu ya kikosi kitakacho shiriki michuano ya Cecafa kutokana nakuwa majeruhi,” alisema Daktari Urasa.

Kikosi cha Kili Stars ambacho kimepangwa kundi C pamoja na timu za Kenya, Zanzibar na Djibouti kitaondoka kesho kuelekea Uganda tayari kwa michuano hiyo.

Via
@wapendasokatz
#SokaplaceUPDATES

BODI YA LIGI YAMFUNGIA AFISA WAKE KISA AZAM

Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imemsimamisha kazi kwa muda wa miezi miwili Afisa wake Joel Barsidia baada ya kutoa taarifa ya kukanganya kuhusu mchezo wa ligi kati ya Azam FC dhidi ya JKT Tanzania.

Afisa huyo aliwaandikia barua Azam TV ambao ndio wanao rusha matangazo hayo kuwa mchezo utakuwa saa 10 huku akiazindikia klabu kuwa mechi ni saa 1 kabla ya kubadilisha tena.

Maamuzi hayo yametangazwa mbele ya Vyombo vya Habari na Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Steven Mguto huku akiiomba Azam radhi kwa tukio hilo ambalo lilileta mpasuko mkubwa. “Mimi kama Mwenyekiti wa Bodi ya ligi nichukue nafasi hii kuiomba radhi Azam FC kwa mkanganyiko wa ratiba ambao umesabibiswa na Afisa wetu Joel Barisidia ambaye tumemsimamisha kazi kwa kosa hilo la uzembe,” alisema Mguto.

Via
@wapendasokatz
#SokaplaceUPDATES

Matokeo Ya Soka Jana

Kamata Matokeo Ya Soka Jana
:
๐Ÿ‘‰FdlTanzania
FT Arusha FC 1-0 Mawenzi market FC
:
๐Ÿ‘‰EnglandPremierLeague
FT Crystal Palace 1 – 0 AFC Bournemouth
FT Burnley 1 – 4 Manchester City
:
๐Ÿ‘‰ItalyCoppaItalia
FT Cremonese 1 – 0 Empoli
FT Genoa 3 – 2 Ascoli
FT Fiorentina 2 – 0 Cittadella
:
๐Ÿ‘‰FranceLigue1
FT Angers 0 – 2 Marseille
FT Bordeaux 6 – 0 Nimes
FT Brest 5 – 0 Strasbourg
FT Lyon 0 – 1 Lille
:
๐Ÿ‘‰BelgiumBekerVanBelgie
FT Royal Antwerp * 3 – 3 Genk P (4-3)
:
๐Ÿ‘‰EgyptCup
FT FC Masr * 0 – 0 El Gounah P (4-3)
FT Al Ahly 3 – 1 Bani Sweef
:
Kamata Ratiba Ya Soka Leo
:
๐Ÿ‘‰EnglandPremierLeague
22:30 Chelsea vs Aston Villa
22:30 Leicester City vs Watford
22:30 Manchester United vs Tottenham Hotspur
22:30 Southampton vs Norwich City
22:30 Wolverhampton Wanderers vs West Ham United
23:15 Liverpool vs Everton
:
๐Ÿ‘‰ItalyCoppaItalia
17:00 Sassuolo vs Perugia
20:00 SPAL vs Lecce
23:00 Udinese vs Bologna
:
๐Ÿ‘‰FranceLigue 1
21:00 Saint-Etienne vs Nice
21:00 Dijon vs Montpellier
21:00 Metz vs Rennes
21:00 Toulouse vs Monaco
21:00 Amiens vs Reims
23:05 Paris Saint-Germain vs Nantes
:
๐Ÿ‘‰BelgiumBekerVanBelgie
22:00 Kortrijk vs Eupen
22:00 Zulte Waregem vs St.Truiden
22:00 Standard Liege vs RUS Rebecquoise
22:00 Union St.Gilloise vs Westerlo
22:30 Oostende vs Club Brugge
22:45 Sporting Charleroi vs Gent
:
๐Ÿ‘‰EgyptPremierLeague
20:00 Ismaily SC vs Tanta
22:30 El Hodood vs Al-Ittihad Al-Sakandary
:
๐Ÿ‘‰Egypt – Cup
15:30 Al Mokawloon Al Arab vs Matroh
20:30 El Zamalek vs Al Sharkeyah
:
๐Ÿ‘‰MoroccoBotola Pro
21:00 Ittihad Tanger vs OCK Khouribga
:
Prepared by @officialchristz
@sokaplace_ @danirito_thomson

Mbwana Samatta abadilisha wakala

Mtanzania Mbwana Samatta ameondoka katika kampuni ya uwakala ya First For Players na kujiunga na Spocs Consultant inayomsimamia Mohamed Salah wa Liverpool, Samatta anakuwa mchezaji wa pili mwenye thamani ya juu kwa wanaosimamiwa na kampuni hiyo baada ya Mo Salah.
:
Samatta ambaye ni mchezaji namba 2 kwa thamani katika list ya wachezaji zaidi ya 100 wanaosimamiwa na Spocs Consultant, aliingia mkataba na First For Players December 22 2018 lakini ameamua kubadilisha wakala kwa sasa ili aweze kutimiza ndoto zake za kucheza ligi kuu ya England.
:
Prepared by @tzprofplayers
@sokaplace_ @danirito_thomson

Matokeo Ya Soka Jana

:
#ligikuutanzaniabara
FT Biashara Mara 1 – 0 Ndanda FC
FT YangaSC 1-1 KMC FC
:
#EnglandChampionship
FT Preston North End 0 – 1 West Bromwich Albion
:
#ItalySerie A
FT Cagliari 4 – 3 Sampdoria
:
#GermanyBundesliga
FT Mainz 05 2 – 1 Eintracht Frankfurt
:
#EgyptPremier League
FT Smouha SC 2 – 1 El Geish
:
#Morocco – Botola Pro
FT Youssoufia Berrechid 1 – 0 Olympic Club de Safi
FT MAT Tetouan 1 – 0 Rapide Club Oued Zem
:
#TanzaniaFDL
FT CosmoPolitan 1-0 Boma FC
FC Rhino Rangers 1-2 Gwambina FC
:
Ratiba Ya Soka Leo
:
#TanzaniaFDL
16:00 Arusha FC vs Mawenzi Market
:
#EnglandPremier League
22:30 Crystal Palace vs AFC Bournemouth
23:15 Burnley vs Manchester City
:
#ItalyCoppa Italia
17:00 Cremonese vs Empoli
20:00 Genoa vs Ascoli
23:00 Fiorentina vs Cittadella
:
#FranceLigue 1
21:00 Angers vs Marseille
21:00 Bordeaux vs Nimes
21:00 Brest vs Strasbourg
23:05 Lyon vs Lille
:
#BelgiumBeker Van Belgie
22:45 Royal Antwerp vs Genk
:
#EgyptCup
17:00 FC Masr vs El Gounah
19:30 Al Ahly vs Bani Sweef
:
Prepared by @officialchristz @danirito_thomson @sokaplace_

MANARA KUHUSU KUFUTWA KAZI KWA AUSSEMS.

:
“Waswahili wanaweza kumtupia Senzo mzigo wa lawama. Bodi ya wakurugenzi ndiyo iliyofanya maamuzi, sio Senzo. Hakuna umoja ndani ya timu, timu imegawanyika. Tumefanya maamuzi ili kurekebisha hii hali. Timu ilikuwa inashinda kwa sababu ya uwezo binafsi wa wachezaji”
:
“Viongozi hawakai na wachezaji kambini. Wajibu wa viongozi ni kuwaonya wachezaji na makocha kama kuna shida. Utovu wa nidhamu umekithiri, viongozi wamejitahidi lakini tabia hiyo inajirudia. Maamuzi haya ni kwa sababu kocha ameshindwa kusimamia nidhamu ya wachezaji”
:
“Aussems amewagawa wachezaji makundi makuu mawili. Sasa kocha huwezi kuendesha timu hivyo. Juzi ametoka kumdhihaki mchezaji (Dilunga) bila sababu yoyote.”
:
“Wapo wanaodhani waliofanya uamuzi huu hawipendi Simba. Sio kweli, yaani Mo Dewji haipendi Simba? Bodi ya wakurugenzi hawaipendi Simba?
:
Haiwezekani Mo Dewji awekeze fedha zake halafu afanye maamuzi yasiyo na tija. Kama timu haina nidhamu haiwezi kusonga mbele”
Haji Manara
>Afisa habari wa Klabu ya Simba.
Via @yossima_sports

Design a site like this with WordPress.com
Get started