:
Josep Bartomeu 🗣️ “Mimi sikuwa nimehusika. Alikuwa Pep mwenyewe aliyeamua kuondoka, lakini milango ya Barcelona siku zote ipo wazi kwa ajili yake kurudi Barca.” maneno ya Rais wa Barcelona.
:
Ikumbukwe kuwa Guardiola yupo mwaka wa nne katika mkataba wake huko Man City na rekodi zake zinaonyesha kwamba hajawahi kuinoa timu yoyote kwa miaka mitano au zaidi.
:
Mkataba wake utafika tamati 2021 na mwanzoni ilielezwa kwamba angesaini dili jipya, lakini sasa kumekuwa na sintofahamu juu ya hatima ya kocha huyo.
:
#bakinasisi__
#NjooKwetu
#TupoNawePaleUlipo
Timu zilizoshuka ligi ndogo (Europe) kutoka Uefa Champions League

Timu zilizoshuka ligi ndogo (Europe) kutoka Uefa Champions League
:
:
✓ Bayer Leverkusen
✓ Inter Milan
✓ Ajax Amsterdam
✓ Benfica
✓ Club Brugge
✓ Shakhtar Donetsk
✓ RB Salzbourg
✓ Olympiakos
:
#bakinasisi__
#NjooKwetu
#TupoNawePaleUlipo
Amri Said ameteuliwa kuinoa klabu ya Mbeya City

Amri Said ameteuliwa kuinoa klabu ya Mbeya City akichukua nafasi ya Juma Mwambusi
#wapendasokaupdates
Timu ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ ikiwa kwenye mazoezi

Timu ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ ikiwa kwenye mazoezi kujiandaa na mchezo wa mwisho hatua ya makundi dhidi ya Sudan mashindano ya Cecafa Challenge
@wilfredkidao @wallacekaria @taifastars_

#wapendasokaupdates
#CecafaSeniorChallengeCup
Mambo machache niliyoyaona mchezo wa klabu Bingwa Barani Ulaya kati ya Bayern Munich, dhidi ya Tottenham. . .

1 Bayern Munich walikuwa mfumo wa makaratasi walikuwa 4-1-4-1 wakiwa wanashambulia wanacheza 2-5-3 mabeki wawili wa kati wanakabia juu ya mstari wa kati 🙌 mabeki wa pembeni wanatanua uwanja kwenye kuongeza mashambulizi Pavard na Alphonso 👂 waliua mapema plan ya Jose Mourinho. .
.
2 Bayern Munich, wale viungo wao watatu Kimmich, ni mzuri kwenye kukaba kupora mpira alifanya Munch iwe salama na kuwapunguzia majukumu Alcantara, na Countinho.
.
.
3 Countinho na Alcantara hawa ni viungo wanyumbulifu sana wakiwa na mpira wana pasi za macho kuliwapa wakati mgumu sana Dier na Sissoko, ni kwa sababu ni wazuri kwenye matumizi ya nguvu 😊.
.
.
4 Jose Mourinho, nilitegemea ile approaching yake ya kujilinda ni mwalimu mwenye uzoefu wa michuano hii alijua ubora wa Bayern Munich wakiwa nyumbani kwao 🙌🤝mfumo wa 4-2-3-1 uliwasaidia.
.
.
5 Jose Mourinho, alianza na Moura mshambuliaji wa kati ni kwa sababu alifahamu Mabeki wa Bayern Munich sio wazuri kwenye kuzuia mashambulizi ya kushtukiza 🙌 umakini wa kipa wao uliwasaidia kwenye eneo hilo. .
.
6 Gnabry, 🙌 kijana mdogo aliyemfanya Rose, kushindwa kupandisha mashambulizi na muda wote kumfanya mtumwa eneo la pembeni 🤔.
.
.
Mechi mbili Tottenham wamefungwa mabao 10-3 😊 nilitamani hii mechi ingekuwa hatua ya 16 bora. .
.
Prepared by @azizi_mtambo_15
#SokaplaceUPDATES
@officialchristz @danirito_thomson
Klabu ya FC San Pedro imemtangaza kocha Amani Yao Lambert Cesar kuwa kocha wao mpya

Klabu ya FC San Pedro imemtangaza kocha Amani Yao Lambert Cesar kuwa kocha wao mpya
Kocha huyo wa zamani wa vilabu vya ASEC Mimosas, AFAD Djekanou na AS Tanda amechukua nafasi ya Jani Tarek aliyefutwa kazi baada ya klabu hiyo kufanya vibaya katika mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika.
#SokaplaceUPDATES
@officialchristz @danirito_thomson
Klabu ya Schalke imemuongeza mkataba mpya wa miaka mitatu mchezaji wake raia wa morocco Amine Harit

Klabu ya Schalke imemuongeza mkataba mpya wa miaka mitatu mchezaji wake raia wa morocco Amine Harit
Nyota huyo amesaini mkataba utakao mbakisha klabuni hapo hadi mwaka 2024
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 amecheza michezo 16 katika mashindano yote ya Schalke chini ya kocha wake David Wagner msimu huu, akifunga sita na kutoa pasi tano za magoli.
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson @officialchristz
Vilabu vilivyotinga hatua ya 16 bora Uefa Champion League


Matokeo Ya Soka Jana
:
👉UefaChampionsLeague
FT Club Brugge 1 – 3 Real Madrid
FT Psg 5 – 0 Galatasaray
FT FC Bayern 3 – 1 Tottenham Hotspur
FT Olympiacos 1 – 0 FK Crvena Zvezda
FT Dinamo Zagreb 1 – 4 Man City
FT Shakhtar Donetsk 0 – 3 Atalanta
FT Atletico Madrid 2 – 0 Lokomotiv
FT Bayer Leverkusen 0 – 2 Juventus
:
👉EnglandChampionship
FT Barnsley 1 – 1 Reading
FT Birmingham City 0 – 2 Queens Park Rangers
FT Brentford 2 – 1 Cardiff City
FT Derby County 1 – 1 Sheffield Wednesday
FT Swansea City 1 – 1 Blackburn Rovers
FT Wigan Athletic 1 – 1 West Bromwich Albion
:
👉Africa – CECAFACup
FT Burundi 1 – 2 Djibouti
FT Eritrea 0 – 2 Uganda
:
👉EgyptPremierLeague
FT El Hodood 0 – 0 FC Masr
FT Ismaily SC 2 – 0 Misr El-Maqasa
FT Wadi Degla FC 0 – 3 Al Ahly
:
👉KenyaPremierLeague
FT Chemelil Sugar 1 – 4 Ulinzi Stars
FT Kakamega Homeboyz 1 – 0 Bandari
FT Western Stima 4 – 1 Zoo FC
FT Wazito FC 0 – 1 Tusker FC
:
👉MoroccoBotola Pro
FT OCK Khouribga 0 – 4 Wydad Casablanca
FT Raja Casablanca 1 – 0 MAT Tetouan
:
👉SouthAfricaPremierLeague
FT Mamelodi 3 – 1 Stellenbosch FC
:
👉TunisiaLigue I
FT Etoile du Sahel 4 – 0 CS Hammam-Lif
:
Ratiba Ya Soka Leo
:
👉UefauropaLeague
20:55 APOEL Nicosia vs Sevilla
20:55 Qarabag FK vs F91 Dudelange
20:55 Dynamo Kyiv vs Lugano
20:55 FC Koeben vs Malmoe FF
20:55 Basel vs Trabzonspor
20:55 Getafe vs FC Krasnodar
20:55 LASK vs Sporting CP
20:55 PSV vs Rosenborg
20:55 CFR Cluj vs Celtic
20:55 Rennes vs Lazio
20:55 Eintracht Frankfurt vs Vitoria
20:55 Standard Liege vs Arsenal
23:00 FC Porto vs Feyenoord
23:00 Rangers vs Young Boys
23:00 Espanyol vs CSKA Moscow
23:00 Ludogorets vs Ferencvaros
23:00 Gent vs Oleksandriya
23:00 Wolfsburg vs Saint-Etienne
23:00 Borussia Mön vs Istanbul Basaksehir
23:00 Roma vs Wolfsberger AC
23:00 Slovan Bratislava vs SC Braga
23:00 Wolverhampton vs Besiktas
23:00 Manchester United vs AZ Alkmaar
23:00 Partizan Beograd vs FC Astana
:
👉EgyptPremierLeague
:
15:30 Al-Ittihad vs Tanta
18:00 Al Masry vs Al Arab
20:30 El Zamalek vs Pyramids FC
:
👉KenyaPremier League
15:00 AFC Leopards vs KCB
:
👉Cecafa
13:30 Zanzibar vs Kenya
16:00 Tanzania Bara Vs Sudan
:
#SokaplaceUPDATES
Prepared by @officialchristz
Kikosi cha TP Mazembe 🇨🇩 kinachokwena kuwavaa ZESCO United 🇿🇲

Kikosi cha TP Mazembe 🇨🇩 kilichosafiri kwenda Ndola zambia kwa ajili ya kuwavaa ZESCO United 🇿🇲 katika mchezo wa Makundi klabu bingwa barani Afrika weekend hii.
:
Magolikipa
Sylvain Gbohouo
Aimé Bakula
:
Djos Issama, Kévin Mondeko, Benson Ochaya, Gode Masengo, Koffi Kouame, Nathan Sinkala, Chico Ushindi, Rainford Kalaba, Glody Likonza, Isaac Tshibangu,Torric Jebrin, Patou Kabangu, Kabaso Chongo, Giovani Ipamy, Trésor Mputu, Nicolas Kazadi, Tandi Mwape, Wonlo Coulibaly, Jackson Muleka, Ibrahim Mounkoro, Franck Zouzou.
:
#TotalCAFCL
#SokaplaceUPDATES