
-Kamati ya utendaji ya Yanga inaendelea kufanyia kazi CV zaidi ya 1000 zilizotumwa na makocha mbalimbali ili kupata kocha sahihi.
. . -Tunawashukuru sana wadhamini wetu ambao wameamua kuweka mzigo mezani na kusema sasa lipeni mishahara, tangu jana jioni suala la madai ya mishahara limekwisha. .
Antonio Nugaz
.
#wapendasokaupdates






Bilionea wa Marekani Todd Boehly, ambaye ni miongoni mwa wamiliki wa Angeles Dodgers, anatafakari uwezekano wa kuinunua Chelsea, licha ya mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich kusisitiza kuwa hana mpango wa kuiuza klabu hiyo, huku taarifa zikidai kwamba Bosi Abramovich ataki kuiuza Chelsea chini ya Pauni Bilion 3. :




: