
Dkt. Jonas Tiboroha ambaye ni meneja wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Difaa El-Jadidi ya Morocco Saimon Msuva amesema kuwa hajazungumza na Chombo chochote cha habari kuhusu Mchezaji wake Saimon Msuva Kujiunga na Benfica ya ureno
Tiboroha amesema kuwa Mchezaji huyo hajasaini mkataba mpya na kikosi hicho kwa sasa kwakua bado anamkataba wake wa awali na Difaa ambao utaisha June 2020
#SokaplaceUPDATES
:











:

