MWAMNYETO: TUNATAKA KUWEKA HISTORIA KESHO

Mlinzi wa kati wa timu ya Taifa ya Tanzania bara ‘Kilimanjaro Stars’ Bakari Mwanyeto amesema mchezo wa kesho wa nusu fainali ya michuano ya Cecafa dhidi ya Uganda watajitahidi wapate ushindi ili kuweka historia.

Mwanyeto ambaye yupo kwenye ubora mkubwa kwa sasa ametengeneza maelewano mazuri na mkongwe Kelvin Yondani kwenye kikosi hicho baada ya kuumia kwa Erasto Nyoni.

Nahodha huyo wa Coastal Union amesema wanafahamu mchezo utakuwa mgumu kutokana na ubora wa Uganda lakini hawatishiki kwa hilo watajipanga kuhakikisha wanashinda na kuingia fainali. “Ukiangalia kikosi chetu wengi ni vijana na tunahitaji kupata ubingwa ili kuweka historia. Uganda wana timu nzuri na ni wenyeji kwahiyo tumejipa kuhakikisha hatuwapi nafasi ya kutuadhibu na kutumia nafasi tutakazopata kuwaadhibu,” alisema Mwamnyeto.

Mara ya mwisho Kili Stars kuchukua ubingwa wa michuano hiyo ilikuwa mwaka 2010 ambayo ilifanyika hapa jijini Dar es Salaam.

#wapendasokaupdated
#CecafaSeniorChallengeCup

Ratiba Ya Soka Leo

:
👉EnglandPremier League
22:45 Crystal Palace vsBrighton & Hove Albion
:
👉EnglandFA Cup
22:30 Boston United vsRochdale
:
👉ItalySerie A
22:45 Cagliari vs Lazio
:
👉EgyptPremier League
15:30 Tanta vs El Entag El Harby
18:00 Al Mokawloon Al Arab vs Wadi Degla FC
18:00 Misr El-Maqasa vs Al-Ittihad Al-Sakandary
20:30 El Geish vs El Zamalek
:
👉Algeria – Ligue 1
17:00 NC Magra vs US Biskra
17:00 NA Hussein Dey vs Paradou AC
17:00 CA Bordj Bou Arreridj vs JS Kabylie
17:00 AS Ain M’lila vs CS Constantine
19:00 MC Oran vs ASO Chlef
19:00 JS Saoura vs USM Bel Abbes
20:45 USM Alger vs CR Belouizdad

Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Matokeo Ya Soka Jana

:
👉EnglandPremier League
FT Manchester United 1 – 1 Everton
FT Wolverhampton 1 – 2 Tottenham Hotspur
FT Arsenal 0 – 3 Manchester City
:
👉SpainLaLiga Santander
FT Getafe 2 – 0 Real Valladolid
FT Celta Vigo 2 – 2 Mallorca
FT RCD Espanyol 2 – 2 Real Betis
FT Sevilla 1 – 2 Villarreal
FT Valencia 1 – 1 Real Madrid
:
👉ItalySerie A
FT Verona 3 – 3 Torino
FT Milan 0 – 0 Sassuolo
FT Bologna 2 – 1 Atalanta
FT Juventus 3 – 1 Udinese
FT Roma 3 – 1 SPAL
FT Fiorentina 1 – 1 Inter
:
👉GermanyBundesliga
FT Wolfsburg 2 – 1 Borussia Mönchengladb…
FT Schalke 04 1 – 0 Eintracht Frankfurter
:
👉FranceLigue 1
FT Bordeaux 0 – 1 Strasbourg
FT Lyon 0 – 1 Rennes
FT Saint-Etienne 0 – 4 PSG
:
👉NetherlandsEredivisie
FT FC Emmen 2 – 0 Sparta Rotterdam
FT Feyenoord 3 – 1 PSV
FT AZ Alkmaar 1 – 0 Ajax
FT Heracles 1 – 3 FC Utrecht
:
👉BelgiumFirst Division A
FT Standard Liege 1 – 1 Anderlecht
FT Club Brugge 3 – 0 KV Mechelen
FT Oostende 2 – 1 Gent
:
👉CECAFACup
FT Somalia 0 – 0 Eritrea
FT Uganda 4 – 1 Djibouti
:
👉EgyptPremier League
FT FC Masr 0 – 1 Ismaily SC
FT Smouha SC 1 – 0 Aswan FC
FT Al Ahly 1 – 0 El Hodood
:
👉KenyaPremier League
FT KCB 2 – 1 Wazito FC
FT Kariobangi Sharks 3 – 3 Posta Rangers
FT Nzoia Sugar FC 1 – 3 Western Stima
FT Ulinzi Stars 2 – 2 Kakamega
FT Tusker FC 0 – 0 AFC Leopards
:
👉Morocco Botola Pro
FT Rapide Club Oued Zem 0 – 0 Raja Casablanca
FT Wydad Casablanca 1 – 0 FAR Rabat
:
👉TunisiaLigue I
FT CS Hammam-Lif 2 – 1 US Tataouine
FT JS Kairouanaise 3 – 0 CA Bizertin
FT Sportif de Chebba 3 – 1 Ben Guerdane
FT Stade Tunisien 3 – 1 Etoile du Sahel
FT Club Africain 1 – 0 CS Sfaxien
:

Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Unajua Nini kilimkuta Ole April 2019.

.
.
✓ Mechi ya mwisho Man Utd kukutana na Everton, Man Utd waligaragazwa goli 4-0 pale Goodson Park Aprli 21,2019 siku ya Jumapili kama leo. Asante kwa magoli ya Richarlison ( 13′ ) , G Sigurdsson ( 28 ‘), Digne ( 56′ ), Walcott ( 64’ )
.
Leo :
Man Utd Vs Everton
🏟️ Old Trafford ⏰ 17:00 pm
🏆 Premier league
.
Dondosha Utabiri wako _______?
.
Kwa habari za mahusiano na maisha sogea👉 @dominicksalamba10
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

Design a site like this with WordPress.com
Get started