Klabu ya Napoli ya Italia bado inakomaa na kiungo wa klabu ya Arsenal Lucas Torreira. . .

Klabu ya Napoli ya Italia bado inakomaa na kiungo wa klabu ya Arsenal Lucas Torreira. .
.
Napoli wamepanda dau kutoka €20m hadi €30m ili kumtwaa kiungo huyo ambaye inasemekana kuwa yupo tayari kutimka klabuni hapo katika dirisha dogo la usajili mwezi Januari
.
.
Proudly Sponsored by @mcheza_tz @bussi_ntua @tshombee1 #sokaonlineupdates

Klabu ya Chelsea ipo mbioni kuwania saini ya mshambuliaji wa Bayer Leverkusen

Klabu ya Chelsea ipo mbioni kuwania saini ya mshambuliaji wa Bayer Leverkusen mjamaica Leon Bailey katika usajili wa dirisha dogo mwezi Januari (Telegraph)
.
.
Bailey aliwahi kucheza na mtanzania Mbwana Samatta pale KRC Genk Ubelgiji kabla ya kutimkia Ujerumani
.
.
Proudly Sponsored by @mcheza_tz @bussi_ntua @tshombee1 #sokaonlineupdates

Leo moto kuwaka doha qatar

Kuelekea mchezo wa nusu fainali ya kombe la dunia la klabu linalofanyika pale nchini Qatar katika uwanja wa khalifa international jijini Doha.

Leo kutakuwa na mchezo kati ya Al Hilal ya nchini Saudi Arabia na Flamengo ya nchini Brazil.
.
Katika pambano la Leo kutakuwa na upinzani wa kipekee baina ya washambuliaji wawili ambao wamekuwa na uwiano mzuri wa takwimu katika klabu zao.
.
Hapa Gabriel Barbosa,pale Bafetimbi Gomis.Wachezaji hawa wana takwimu za kuvutia na zinafanana kwa kiasi ,wamefanya mambo makubwa katika vilabu vyao.
.
Takwimu za Gabriel akiwa Flamengo.
🏟mechi-57.
⚽magoli-43
🅰assist-12.
.
Gabriel yupo Flamengo kwa mkopo akitokea klabu ya Inter Milan ya nchini Italia na anahusishwa kurejea barani Ulaya kwa Mara nyingine na safari hii atatua klabu tofauti na Inter,Atletico wanamhitaji mapema mwezi januari.
.
Takwimu za Bafetimbi Gomis Al Hilal.
🏟Mechi-56
⚽magoli-42.
🅰Assist-9.
.
Bafetimbi ndiye aliiwezesha Al Hilal kuingia hatua ya nusu fainali baada ya kuweka kambani bao katika pambano la robo fainali dhidi ya mabingwa wa Afrika Esperance.
.
Nani kutinga fainali Leo? ili aungane na kati ya Monterey au Liverpool wanaocheza mchezo wao kesho jumatano hapohapo Khalifa international jijini Doha.
.
.
Prepared by @anode360 Proudly Sponsored by @mcheza_tz @bussi_ntua @tshombee1 #sokaonlineupdates

Nlichikiona jana kwenye mchezo wa ligi kuu England kati ya Arsenal dhidi ya Manchester City. .

Nlichikiona jana kwenye mchezo wa ligi kuu England kati ya Arsenal dhidi ya Manchester City.
.
.
1: Ubora wa KDB, kipindi cha kwanza uliamua mechi 🙌👏 kocha wa Arsenal, alitakiwa aje na plan ya kumzuia KDB. Torreira +Guendouzi, walikuwa bora kwenye kucheza kuliko kumzuia KDB.
.
.
2 : KDB, alikuwa bora kwenye kuwatanua mabeki wa pembeni wa Arsenal, kuacha mashimo na Rahim, kutumia nafasi hizo 😊👂.
.
.
3: Nafikiri kocha wa Arsenal, angerudia mechi ya Manchester United dhidi ya City, McTommy, alivomzuia KDB, asiwe na madhara kwa kufanya man marking 🤝.
.
.
4: Klopp,alifanikiwa kwa hilo kumzuia KDB, kwa kumpa majukumu Fabinho, mchezaji bora ni lazima uje na mpango kazi wa kumzuia. .

Prepared by @azizi_mtambo_15
#SokaplaceUPDATES
@officialchristz

Yanga yamrejesha lamine moro

Mlinzi wa @yangasc , Lamine Moro ambaye awali aliomba kuvunja mkataba na klabu hiyo kutokana na madai ya fedha za mshahara amerejea baada ya kulipwa fedha hizo.

Mbele ya wanahabari leo, Lamine amewashukuru viongozi wa Yanga pamoja na wadhamini wao kampuni ya GSM ambao wamefanikisha kuokoa mkataba wa mlinzi huyo mahiri ambao ulikua hatarini kuvunjika.

#wapendasokaupdates

Design a site like this with WordPress.com
Get started