AZAM: RASMI NCHIMBI NI MALI YA YANGA

Uongozi wa klabu ya Azam umethibitisha kuwa umemalizana na Yanga juu ya usajili wa mshambuliaji Ditram Nchimbi aliyekuwa anacheza Polisi Tanzania kwa mkopo.

Nchimbi yupo nchini Uganda na kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania bara ‘Kili Stars’ kinacho shiriki michuano ya Cecafa Senior Challange.

Msemaji wa klabu hiyo, Jaffer Iddi amesema Yanga iliwaandikia barua juu kutaka huduma ya mshambuliaji huyo aliye kwenye kiwango bora kwa sasa na baada ya kumuuliza Nchimbi mwenyewe amewajibu yupo tayari kujiunga na mabingwa hao zamani wa Tanzania.

Jaffer ameongeza kuwa Nchimbi alikuwa amebakisha mkataba wa miezi sita na walikuwa na nia ya kumuongeza lakini baada ya mwenyewe kukubali kujiunga na Yanga na wamelipa kiasi walicho kubaliana wameamua kumuachia mchezaji huyo. “Sasa ni rasmi Ditram Nchimbi ni mchezaji halali wa Yanga, wametulipa pesa tuliyo kuwa tunaihitaji na mchezaji mwenyewe amekubali kujiunga na Yanga kwahiyo ni sasa ni mchezaji wao,” alisema Jaffer.

#wapendasokaupdates

Ratiba Ya Soka Leo

👉SpainLaLigaSantander
22:00 Barcelona vs Real Madrid
:
👉GermanyBundesliga
22:30 Bayer Leverkusen vs Hertha Berlin
22:30 Borussia Moenchengladbach vs Paderborn
22:30 Wolfsburg vs Schalke 04
22:30 Eintracht Frankfurt vs FC Koeln
22:30 Freiburg vs Bayern Munich
:
👉Italy – Serie A
22:55 Sampdoria vs Juventus
22:45 Brescia vs Sassuolo
:
👉EnglandEFL Cup
22:45 Everton vs Leicester City
22:45 Oxford United vs Manchester City
23:00 Manchester United vs Colchester United
:
👉NetherlandsKNVB Cup
20:30 Telstar vs Ajax
21:45 AZ Alkmaar vs Groene Ster
21:45 Heracles vs FC Dordrecht
19:45 OFC Oostzaan vs Spakenburg
19:45 Sparta Nijkerk vs NAC Breda
19:45 Willem II vs Sparta Rotterdam
20:45 GVVV Veenendaal vs PSV Eindhoven
:
👉SpainCopa del Rey
19:30 San Sebastian de los Reyes vs Cordoba
20:00 EG El Palmar CF va Getafe
20:00 Comillas CF vs Villarreal
20:00 Tolosa CF vs Real Valladolid
20:00 CD El Alamo vs Mallorca
20:00 Tudelano vs Albacete
20:00 Bergantinos CF vs Sevilla
20:00 Badalona vs Real Oviedo
20:00 Melilla vs UCAM Murcia
21:00 Pontevedra vs Ibiza-Eivissa
22:00 Sestao vs Lugo
22:15 Barakaldo vs Villarrubia CF
:
👉InternationalFIFA Club World Cup
20:30 Monterrey vs Liverpool
:
👉BelgiumCup
22:00 Union St.Gilloise vs Kortrijk
22:45 Standard Liege vs Royal Antwerp
:
👉FranceLeague Cup
20:45 Lyon vs Toulouse
23:05 Le Mans vs Paris Saint-Germain
23:05 Amiens vs Rennes
23:05 Nantes vs Strasbourg
23:05 Nimes vs Saint-Etienne
23:05 Brest vs Bordeaux
:
👉MoroccoBotola Pro
17:00 Raja Beni Mellal vs Wydad Casablanca
19:00 Raja Casablanca vs Hassania Agadir
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Uongozi wa Azam FC umethibitisha kumalizana na Yanga juu ya uhamisho wa mshambuliaji wake Ditram Nchimbi

Uongozi wa Azam FC umethibitisha kumalizana na Yanga juu ya uhamisho wa mshambuliaji wake Ditram Nchimbi ambaye anakipiga kwa mkopo katika klabu ya Polisi Tanzania. .
.
Afisa Habari wa Azam FC Jaffary Idd amesema Yanga walionesha nia ya kumuhitaji mchezaji huyo na na baada ya kufika mezani, walipewa masharti ikiwemo kulipa fidia ya muda wake wa mkataba uliobaki, sharti ambalo Yanga walilitimiza.

#SokaplaceUPDATES
@officialchristz @danirito_thomson

Kocha wa klabu ya Mbeya City Amri Saidi amesema kwa sasa atafanya usajili wa wachezaji saba

Kocha wa klabu ya Mbeya City Amri Saidi amesema kwa sasa atafanya usajili wa wachezaji saba ndani ya kikosi cha klabu ya Mbeya City

Amri amesema amekikuta kikosi hicho kikiwa na wachezaji wazuri ila hawana uzoefu na mashindano makubwa hivyo ataongeza wachezaji wakongwe ili kuimarisha kikosi hicho
Amri amesema baadhi ya wachezaji watatolewa kwa mkopo katika vilabu vingine Amri saidi amesema amelenga kufanya usajili wa wachezaji wazoefu ili kuweza kuimarisha kikosi cha klabu hiyo.

Akizungumza na SokaPlace kocha Amri Said amesema kuwa anaomba sapoti kubwa kwa wanaMbeya ili kuipa mafanikio klabu hiyo.

#SokaplaceUPDATES
@officialchristz @danirito_thomson

Safari ya bocco afrika kusini yayeyuka

Peter Simon ambaye ni Meneja wa mshambuliaji wa Simba, John Raphael Bocco amekanusha tetesi kwamba mchezaji wake huyo amefanya mazungumzo ya awali na klabu ya Polokwane ya Afrika Kusini.

Kumekua na tetesi hizo zikimhusisha Bocco mwenye mkataba wa miaka miwili na Simba na ambaye amekua majeruhi kwa muda mrefu. “Bocco ni mchezaji wa Simba, ana mkataba wa miaka miwili. Hakuna taarifa nyingine zaidi, zikiwepo tutasema.” Alisema Peter alipoongea na kituo cha redio cha EFM leo asubuhi.

#wapendasokaupdates

Design a site like this with WordPress.com
Get started