
Tetesi Bongo: Kocha mkuu wa Ruvu Shooting Salum Mayanga amesema atawasajili wachezaji wawili wa Milambo ambao ni beki wa kati Pascal Paul na mshambuliaji, Evarist Tembo, Mayanga amesema ameridhishwa na viwango vyao katika mechi dhidi yao Kombe la Shirikisho ambapo Ruvu Shooting walishinda goli 1-0.
:
Alisema wachezaji hao walimkuna katika mchezo huo kwani walipiga mpira mwingi na atapeleka majina yao kwa uongozi.
:
🗣️“Ni wachezaji wazuri hawa watanisaidia sana lakini niwapongeze Milambo wana vijana wenye vipaji sana kama wakiwaendeleza watakuwa nyota wazuri sana,” alisema Mayanga.
:
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo









@officialcoastalunion_tanga @azamfcofficial @tanfootball


:


