#

TetesiBongo | Yanga yaiwinda saini ya winga wa Baroka “Orebotse ‘Bobo’ Mongae.
.
Kwa habari za mahusiano na maisha sogea 👉@dominicksalamba10
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo
#

TetesiBongo | Yanga yaiwinda saini ya winga wa Baroka “Orebotse ‘Bobo’ Mongae.
.
Kwa habari za mahusiano na maisha sogea 👉@dominicksalamba10
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo
#

EPLUpdates | Leicester City Vs Liverpool | 🏟️ King Power Stadium | ⏰ 23:00pm
:
Nondo 2 🔨
Tangu walipopoteza dhidi ya Newcastle Utd goli 1-0 Mwezi April, 2019 katika uwanja wao (King Power Stadium), Leicester City wamecheza michezo 11 bila ya kupoteza katika dimba hilo. (W8 D3).
:
Jamie Vardy amefunga magoli 29 Premier league Mwaka 2019, akimzidi magoli mshambuliaji wa Liverpool (Sadio Mane mwenye 23) mwaka 2019. Na akiwa amezitungua timu kubwa karibia zote.
.
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

Mchezo kati ya Tanzania Prisons na Yanga umehamishiwa katika uwanja wa Samora mjini Iringa na utachezwa kesho kama ilivyopangwa.
#wapendasokaupdates
#

AzamFCOfficialLineUp Kikosi rasmi cha Azam FC, kinachotarajia kucheza dhidi ya Coastal Union, kwenye Uwanja wa Mkwakwani leo Alhamisi saa 10.00 jioni.


Kama @EmmanuelOkwi sasa ana miaka 27 basi May 2012 wakati @SimbaSCTanzania wanaifunga @yangasc goli 5-0 OKWI alikuwa na umri wa miaka 20
Hivyo alisajiliwa Simba akiwa na miaka 18, hivyo tafuta thamani ya umri wa OKWI akicheza SC VILLA kati ya mwaka 2009 – 2010
Martin M


#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson
@officialchristz

Bodi ya ligi kuu Tanzania Bara imeufungia uwanja wa kumbukumbu ya SokoIne Mbeya baada ya uharibifu uliofanyika jana katika eneo la kuchezea
Katika taarifa yake bodi ya ligi imesema vilabu vya vilivyokua vinatumia uwanja huo vimeambiwa vitafute viwanja vya kutumia katika michezo ya Ligi kuu Ligidaraja la kwanza na Ligi dara la pili.

#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson @officialchristz

Kutoka Mbeya Huenda Mchezo wa ligi kuuTanzania bara uliokuwa unawakutanisha klabu ya Yanga SC na Prisons ukapangwa kuchezwa katika uwanja Mwingine baada ya hali mbaya ya Uwanja wa Kumbukumbu ya SokoIne

#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson @officialchristz
:
👉Vodacom Premier League
16:00 Coastal Union vs Azam Fc
:
👉EnglandPremier League
15:30 Tottenham Hotspur vs Brighton up
18:00 AFC Bournemouth vs Arsenal
18:00 Aston Villa vs Norwich City
18:00 Chelsea vs Southampton
18:00 Crystal Palace vs West Ham United
18:00 Everton vs Burnley
18:00 Sheffield United vs Watford
18
20:30 Manchester United vs Newcastle United
22:00 Leicester City vs Liverpool
:
👉BelgiumFirst Division A
16:30 Waasland-Beveren vs St.Truiden
16:30 Kortrijk vs Cercle Brugge
16:30 Royal Excel Mouscron vs KV Mechelen
16:30 Genk vs Eupen
2p:00 Club Brugge vs Zulte Waregem
22:30 Standard Liege vs Gent
:
👉EnglandChampionship
18:00 Barnsley vs West Bromwich Albion
18:00 Blackburn Rovers vs Birmingham City
18:00 Brentford vs Swansea City
18:00 Cardiff City vs Millwall
18:00 Charlton Athletic vs Bristol City
18:00 Hull City vs Nottingham Forest
18:00 Luton Town vs Fulham
18:00 Middlesbrough vs Huddersfield Town
18:00 Stoke City vs Sheffield Wednesday
18:00 Wigan Athletic vs Derby County
21:15 Leeds United vs Preston North End
22:30 Reading vs Queens Park Rangers
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson
:
👉VodacomPrimierLeague
FT Simba SC 4-0 Lipuli FC
FT Polisi Tanzania 2-1 KMC FC
:
👉Egypt – Premier League
FT ENPPI 0 – 0 El Hodood
FT El Geish 0 – 1 Al Masry
FT Smouha SC 2 – 1 El Gounah
FT Pyramids FC 1 – 0 Wadi Degla FC
:
👉Morocco – Botola Pro
FT Hassania Agadir 1 – 1 Renaissance Club Zemamra
FT RSB Berkane 1 – 1 Youssoufia Berrechid
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson
:
BARCELONA: Javier Tebas amechaguliwa tena kuwa Rais wa La Liga Jumatatu ya Jana na atakuwa madarakani kwa miaka 4.
:
Tebas ameongoza ligi ya mpira ya miguu ya Uhispania tangu 2013 na alijiuzulu mapema Desemba ili kuchochea uchaguzi mpya.
:
🗣️”Kufuatia uwasilishaji wa uwakilishi wa urais mmoja …. Javier Tebas amechaguliwa kuwa Rais wa La Liga kwa muda wa miaka minne mingine, bila hitaji la kufanya mkutano mkuu,” ilisema taarifa hiyo ya La Liga.
:
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo