Singida Utd Yatambulisha Wapya | :

#VPLUpdates | Singida Utd Yatambulisha Wapya |
:
Timu ya Singida Utd hii leo kupitia ukurasa wao wameweza kuwatambulisha Wachezaji watatu watakao ungana na timu hiyo dirisha hili dogo la usajili, kiungo Athuman Iddy Chuji ni mmoja wapo.
:
Waliotambulishwa ni :
✓ Athuman Iddy Chuji aliyekuwa mchezaji wa Coastal Union.
✓ Six Mwasekaga kutoka Alliance .
✓ Ame Ally (Ame zungu) aliyekuwa mchezaji wa Kagera sugar

:
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

Tetesi | Zahera kutua Buildcom Ya Zambia

#

Aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Yanga “Papaa”Mwinyi Zahera yu mbioni kutua kunako klabu ya Zambia “Buildcom”, sio yeye tu bali na msaidizi wake Noel Mwandila watakuwa wote kunako klabu hiyo.
:
Papaa kwasasa yupo mjini hapa, akisubiri kumalizana na waajiri wake wa Zamani Yanga kutokana na malipo yake anayoidai klabu hiyo na pindi atakapo malizana na Yanga basi atajiunga na klabu hiyo ya Zambia.
:
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

SIMBA YAENDELEZA DOZI,KMC HOI

SIMBA YAENDELEZA DOZI,KMC HOI
Mabingwa Wa ligi kuu soka Tanzania bara wekundu Wa Msimbazi Simba wameendelea kugawa dozi katika ligi kuu soka Tanzania bara wakiifunga KMC bao 2-0 mchezo uliopigwa katika dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika milango ulikua migumu kwa timu zote zikienda mapumziko bila kuruhusu bao na kilipoanza kipindi cha Pili Simba walianza kwa kasi na kuandika bao la kuongoza baada ya kazi nzuri ya Hassan Dilunga aliyemtengenezea Deo Kanda aliyeiandikia Simba bao la kuongoza Dakika ya 46.

Goli la pili la Simba lilifungwa na Mbrazil Gerson Fraga Dakika ya mwisho ya muda Wa Nyongeza baada ya kutengenezewa na Francis Kahata

Ushindi huo unawafanya Simba kufikisha pointi 31 katika nafasi ya kwanza huku KMC wakibaki na pointi zao 9 katika nafasi ya 17.

#wapendasokaupdates
#VodacomPremierLeague

Ratiba ya Soka Leo

:
👉Vodacom Premier League
16:00 Jkt Tanzania vs Namungo FC
16:00 Police Tanzania vs Azam Fc
:
👉Egypt – Premier League
15:30 Aswan FC vs El Geish
:
👉Kenya – Premier League
14:00 Posta Rangers vs Gor Mahia
15:00 Mathare United vs Nzoia Sugar FC
:
👉England – Premier League
17:00 Arsenal vs Chelsea
19:30 Liverpool vs Wolverhampton Wanderers
20:00 Manchester City vs Sheffield United
:
👉TanzaniaFDL🇹🇿
16:00 Mashujaa Vs Gwambina FC
16:00 Rhino Vs Pamba SC
16:00 Afc Vs Sahare All Star
16:00 Green Warriors Vs Gipco
16:00 Cosmopolitan vs Ihefu SC
:
👉England – Championship
18:00 Birmingham City vs Leeds United
18:00 Bristol City vs Luton Town
18:00 Fulham vs Stoke City
18:00 Huddersfield Town vs Blackburn Rovers
18:00 Millwall vs Brentford
18:00 Nottingham Forest vs Wigan Athletic
18:00 Preston North End vs Reading
18:00 Queens Park Rangers vs Hull City
18:00 Sheffield Wednesday vs Cardiff City
18:00 Swansea City vs Barnsley
18:00 West Bromwich Albion vs Middlesbrough
:
👉Morocco – Botola Pro
17:00 OCK Khouribga vs FAR Rabat
19:00 Youssoufia Berrechid vs Rapide Club Oued Zem
:
👉Tunisia – Ligue I
16:00 AS Slimane vs Etoile Metlaoui
16:00 CS Sfaxien vs Sportif de Chebba
:
👉Africa – Confederations Cup
19:00 Al Masry vs Pyramids FC
22:00 FC Nouadhibou vs Enugu Rangers
16:00 Esae FC vs Zanaco
22:00 RSB Berkane vs Motema Pembe
19:00 Bidvest Wits vs Al-Nasr
19:00 Horoya AC vs Djoliba AC
16:00 San Pedro vs Hassania Agadir
22:00 Paradou AC vs Enyimba
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

MSIMAMO WA KILA KUNDI KLABU BINGWA AFRIKA. :

:
👉GROUP A
TP Mazembe 7pts (+4)
Zamalek SC 4pts (-1)
ZESCO United 2pts (-1)
Primeiro Agosto 2pts (-2)
:
👉GROUP B
Etoile Sahel 6pts (+3)
Al Ahly SC 6pts (+2)
Al Hilal Club 6pts (+1)
FC Platinum 0pts (-6)
:
👉GROUP C
Sundowns 7pts (+4)
Wydad AC 5pts (+3)
USM Alger 2pts (-1)
Petro Atletico 1pt (-6)
:
👉GROUP D
Espérance 7pts (+3)
Raja 6pts (+1)
JS Kabylie 3pts (-2)
AS Vita Club 1pt (-2)
:
#TotalCAFCL #SokaplaceUPDATES

Klabu ya Man City haiwajawahi kupoteza mchezo wowote dhidi ya Sheffield United

Klabu ya Man City haiwajawahi kupoteza mchezo wowote dhidi ya Sheffield United katika ligi kuu nchini England
Wamefanikiwa kushinda Michezo mitatu (3)
Na kutoka sare mara (3)

Leo wanakutana tena Mancity ipo katika nafasi ya tatu ikiwa na point zake 38 huku Shiffield wapo katika nafasi ya nane wakiwa na alama 29 #MCISHU #SokaplaceUPDATES

Kocha wa Senegal Alio Cisse kuhusu Tuzo za CAF 2019 “Sina shaka kuwa kocha bora kwenye bara hili mwaka

Kocha wa Senegal Alio Cisse kuhusu Tuzo za CAF 2019 “Sina shaka kuwa kocha bora kwenye bara hili mwaka huu, natumai kushinda tuzo hiyo.

Kwangu, tuzo za kibinafsi ni za kufurahisha, lakini kiukweli ni tuzo ya juhudi mwaka mzima.

Wengi wanajua kuwa ninastahili tuzo hiyo mwaka huu.

Je ataibuka kidedea tusubiri mda ufike.

#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson @officialchristz

Design a site like this with WordPress.com
Get started