Msimamo wa Makundi kombe la shirikisho barani Afrika. :

Msimamo wa Makundi kombe la shirikisho barani Afrika.
:
GROUP A
Pyramids FC 🇪🇬 9pts (+9)
Al Masry SC 🇪🇬 6pts (+2)
Rangers IFC 🇳🇬 1pt. (-4)
FC Nouadhibou 🇲🇷 1pt. (-7)
:
GROUP B
RS Berkane 🇲🇦 7pts (+6)
DC Motema Pembe 🇨🇩 4pts (-1)
Zanaco FC 🇿🇲 3pts (+0)
ESAE FC 🇧🇯 1pt. (-5)
:
GROUP C
Horoya AC 🇬🇳 7pts (+4)
Djoliba AC 🇲🇱 4pts (+0)
Bidvest Wits 🇿🇦 2pts (-1)
Al-Nasr SC 🇱🇾 2pts (-3)
:
GROUP D
Hassania Agadir 🇲🇦 7pts (+4)
Paradou AC 🇩🇿 4pts (-1)
Enyimba Int’l FC 🇳🇬 3pts (-2)
FC San Pedro 🇨🇮 2pts (-1)
:
#TotalCAFCC #SokaplaceUPDATES

Kamata Ratiba Ya Soka Leo :

Kamata Ratiba Ya Soka Leo
:
👉Vodacom Premier League
16:00 Young Africans vs Biashara United
16:00 Mtibwa Sugar vs Alliance Fc
16:00 LipuliFC vs Mbao FC
16:00 Coastal Union vs Mbeya City
16:00 Ruvushooting vs Kagera Sugar :
👉England – Championship
22:45 Derby County vs Charlton Athletic
:
👉Egypt – Premier League
15:30 FC Masr vs Tanta
18:00 El Gounah vs El Entag El Harby
:
👉Morocco – Botola Pro
21:00 MCO Oujda vs Renaissance Club Zem
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Matokeo Ya Soka Jana

Matokeo Ya Soka Jana
:
👉Vodacom Premier League
FT Polisi Tanzania 0-1 Azam Fc
FT JKTTanzania 0-1 Namungo FC
:
👉England – Premier League
FT Arsenal 1 – 2 Chelsea
FT Liverpool 1 – 0 Wolverhampton
FT Manchester City 2 – 0 Sheffield United
:
👉England – Championship
FT Birmingham City 4 – 5 Leeds United
FT Bristol City 3 – 0 Luton Town
FT Fulham 1 – 0 Stoke City
FT Huddersfield Town 2 – 1 Blackburn Rovers
FT Millwall 1 – 0 Brentford
FT Nottingham Forest 1 – 0 Wigan Athletic
FT Preston North End 0 – 2 Reading
FT Queens Park Rangers 1 – 2 Hull City
FT Sheffield Wednesday 1 – 2 Cardiff City
FT Swansea City 0 – 0 Barnsley
FT West Bromwich Albion 0 – 2 Middlesbrough
:
👉Africa – Confederations Cup
FT Al Masry 1 – 2 Pyramids FC
FT FC Nouadhibou 0 – 0 Enugu Rangers
FT Esae FC 0 – 0 Zanaco
FT RSB Berkane 3 – 0 Motema Pembe
FT Bidvest Wits 0 – 0 Al-Nasr
FT Horoya AC 1 – 0 Djoliba AC
FT San Pedro 1 – 1 Hassania Agadir
FT Paradou AC 1 – 0 Enyimba
:
:
👉TanzaniaFDL
FT Rhino 1-0 Pamba SC
FT Afc 3-1 Sahare All Star
FT Green Warriors 1-1 Gipco
FT Cosmopolitan 1-1 Ihefu SC
:
👉Egypt – Premier League
FT Aswan FC 1 – 1 El Geish
:
👉Kenya – Premier League
FT Posta Rangers 1 – 1 Gor Mahia
FT Mathare United 4 – 0 Nzoia Sugar FC
:
👉Tunisia – Ligue I
FT AS Slimane 1 – 0 Etoile Metlaoui
FT CS Sfaxien 2 – 0 Sportif de Chebba
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Westham United,imetangaza rasmi sasa David Moyes, atakuwa kocha wa klabu hiyo

Klabu ya Westham United,imetangaza rasmi sasa David Moyes, atakuwa kocha wa klabu hiyo baada ya Manuel Pellegrini kufutwa kazi hapo jana baada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Leicester City.
.
.
Hata hivyo Moyes aliwahi kuifundisha klabu hiyo msimu wa mwaka 2017-18 na kuinusuru kutoshuka daraja. .
.
David Moyes ataanza kazi kesho kwenye klabu hiyo na kujiandaa na mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Bournemouth siku ya mwaka mpya.
.
.
Prepared by (@azizi_mtambo_15 )
#SokaplaceUPDATES

PEP HANA MPANGO NA MTU JANUARI.

Kocha mkuu wa klabu ya Manchester City amesema hatofanya ingizo lolote la mchezaji mpya kwenye kikosi chake kwenye dirisha la Usajili la mwezi januari.
.
Pep anasema anaepuka kusajili kwa kupaniki baada ya mwenendo mbaya wa klabu yake kwenye ligi kuu nchini Uingereza.[Athetics].
.
Manchester City wanakabiliwa na majeruhi wengi eneo la Ulinzi jambo linalopelekea matokeo mabaya kwa klabu hiyo,Pep anawakosa John stones,Aymeric Laporte eneo la Ulinzi ambao kukosekana kwake ni mwiba kwa city na faida kwa mpinzani anayekutana nae.
.
City wana mpango wa kuongeza wachezaji wapya watano dirisha kubwa lijalo majira ya kiangazi ili kukiongezea nguvu kikosi hicho[90min].
.
Ongezeko la wachezaji watano wapya linafungua milango ya kutoka kwa mlinzi wa kushoto wa klabu hiyo na timu ya taifa ya Ufaransa Benjamin Mendy ambaye anasumbuliwa Mara kwa Mara na majeraha.
.
Mabingwa hao watetezi wapo nyuma kwa pointi 14 dhidi ya Liverpool wanaoongoza ligi na wana mchezo mmoja mkononi,na mbio za kutetea Ubingwa kwa City zinaonekana kufifia kama sio kufa kabisa na Pep anasema matamanio ya klabu yake kwa sasa ni Ligi ya mabingwa ulaya ‘UCL’ itue pale Etihad.
.
Ana kazi ngumu ya kuwakabili mabingwa wa kihistoria wa Ulaya Real Madrid katika mchezo wa hatua ya 16 bora mwezi februari.
____________________________.
.
Mwanetu alipewa ujumbe na Nuno wa Wolves akawaambie watu wa mataifa Yale aliyoyaona na kuyasikia vipofu wanaona na viwete wanatembe pale Mollineaux stadium#Jokes😂.
.
.

Ditram nchimbi kuikosa. Simba

-Mshambuliaji mpya wa Klabu ya Yanga, Ditram Nchimbi anaweza asiiwahi mechi ya watani wa Jadi (Simba na Yanga) January 04 kutokana na Klabu ya Polisi Tanzania kuandika barua ya kumlalamikia mchezaji huyo pamoja na Klabu ya Azam FC.

-Polisi Tanzania inadai kuwa ilikuwa na makubaliano maalumu na Nchimbi ya kusaini mkataba pia wanasema waliingia makubaliano na Azam ya mchezaji huyo kucheza kwa mkopo wa msimu mmoja ambao walikuwa wanamlipa mshahara wote wao.

Mpira umesimama kwa muda, pichi la uwanja wa ushirika Moshi halionekani

#VPLUpdates | Mpira umesimama kwa muda, pichi la uwanja wa ushirika Moshi halionekani hivyo mwamuzi kasimamisha mpira kipindi hiki Cha Pili kwa Ajili ya kupakaa chokaa. Azam wapo mbele kwa goli 1, lililofungwa na Chirwa Dakika ya 09′
.
Polisi Tz 0-1 Azam
09′ ⚽ Chirwa .
:
#bakinasisi__
#NjooKwetu
#TupoNawePaleUlipo

Kuhusu mbio za Ubingwa msimu huu mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane anasema: :

#EPLUpdates | Kuhusu mbio za Ubingwa msimu huu mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane anasema:
:
🗣️ Mane: “Tumejifunza kutokana na makosa ya msimu uliopita. Kile kilikuwa kipindi kigumu sana kwetu. Kwa sasa tunajaribu kufanya akili yetu iwe inafanya kazi muda wote ,” .
:
🗣️ Mane: “Unapopoteza ubingwa wa ligi kwa staili ile (msimu uliopita) inaumiza sana akili. Mpango wetu kwasasa ni uleule, kushinda kitu fulani. Kuna mechi nyingi sana mbele, lakini bado hatujachoka. Hilo halijawahi kuwa tatizo kwetu. Nadhani tupo vizuri msimu huu kuliko ule uliopita.
:
#bakinasisi__
#NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

Design a site like this with WordPress.com
Get started