
Kocha wa AFC Leopard ya Kenya Andre Casa Mbungo ameachana na klabu hiyo baada ya klabu hiyo kushindwa kumlipa stahiki zake.
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson @officialchristz

Kocha wa AFC Leopard ya Kenya Andre Casa Mbungo ameachana na klabu hiyo baada ya klabu hiyo kushindwa kumlipa stahiki zake.
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson @officialchristz
:
👉VodacomPrimierLeague
16:00 Mwadui FC SC vs KMC
16:00 Simba SC vs Ndanda
:
👉Tunisia – Ligue I
17:00 Esperance vs JS Kairouanaise
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson
:
👉VodacomPremierLeague
FT Young Africans 1-0 Biashara United
FT Mtibwa Sugar 0-1 Alliance Fc
FT LipuliFC 3-0 Mbao FC
FT Coastal Union 2-0 Mbeya City
FT Ruvu Shooting 2-1 Kagera Sugar
:
👉Egypt – Premier League
FT FC Masr 2 – 1 Tanta
FT El Gounah 0 – 0 El Entag El Harby
:
👉Morocco – Botola Pro
FT Raja Casablanca 0 – 2 FUS Rabat
FT MCO Oujda 2 – 1 Renaissance Club Zemamra
:
👉England – Championship
FT Derby County 2 – 1 Charlton Athletic
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson
–

Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga David Molinga Falcao leo kwenye mchezo dhidi ya Biashara United alipofanyiwa mabadiliko akaingia Tariq Seif kabla ya kuanza kipindi Cha Pili alikasirika na kuvua jezi na aligoma kurudi kwenye bechi. Hii si mara ya kwanza kwa mshambuliaji huyo kukasirika anapofanyiwa mabadiliko kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya JKT Tanzania alikasilika tena baada ya kufanyiwa mabadiliko mpaka kocha wa Klabu hiyo Boniface Mkwasa kusema huo ni utovu wa nidhamu.
>Papaa anataka acheze yy dakika zote 90?

#Cr7updates | Ronaldo Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwaka (Globe Soccer Awards).
.
Mshambuliaji wa Juventus Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka 2019 (Globe Soccer Awards). Ronaldo inakuwa tuzo yake ya 6.
.
Tuzo hizi za Globe Soccer Awards huwa zinaandaliwa na chama cha mawakala cha wachezaji barani Ulaya (European Association Of Player’s Agent | EFAA), pamoja na chama cha vilabu barani Ulaya ECA – European Club Association kila mwaka kwa wale wote waliofanya vyema katika nyanja ya michezo.
:
Waliochukua mara nyingi tuzo hii.
1: Cristiano Ronaldo > 6
2: Radamel Falcao > 6
3: Lionel Messi > 1
4: Frank Ribery > 1.
.
#bakinasisi__
#NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

#Updates | Uwanjaa wa Amani Kuboreshwa |
:
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wizara ya Sanaa, Vijana na Michezo, inatarajiwa kuufanyia maboresho Uwanja wa Amaani visiwani Zanzibar kwa kuweka nyasi mpya bandia.
:
Matengenezo hayo yatakuwa ya kuweka nyasi bandia, kuboresha majukwaa, umeme kwa kufunga taa za kisasa na kuweka maji.
:
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

#Dejongupdates | KIUNGO wa Barcelona, Frenkie de Jong, amedai kuwa Ligi Kuu ya England (EPL) ni bora kuliko ile ya Hispania, La Liga.
:
De Jong ambaye hadi hivi sasa amecheza michezo 18 ya La Liga na kufanikiwa kufunga goli 1, pasi 2 msimu huu Tangu aliposajiliwa na Barca akitokea Ajax ya Uholanzi
:
De Jong amesema 🗣️“Nilifikiri La Liga ilikuwa ligi imara zaidi duniani… Lakini Ligi Kuu ya England imepata nguvu katika miaka ya hivi karibuni, lakini linapokuja swala la wenye vipaji (pure skills) basi La Liga ni bora.” Amesema De Jong.
:
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

Mshambuliaji raia wa Ivory Coast Yikpe Gilslain Gnamien amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga na atavaa jezi Namba 9.
@yangasc @gnamiendominique4
#wapendasokaupdates

“Ni vigumu sana kuitabiri mechi ya Simba na Yanga. Wakati mwingine ile timu iliyo kwenye ubora mkubwa na inayo tarajiwa kupata ushindi ndio inapoteza ndio maana ni ngumu kutabiri,” .
Nahodha wa zamani wa timu ya Yanga, Nadir Haroub ‘Canavaro
#wapendasokaupdates

