Juventus kumuongezea mkataba mpya nyota wake Cristiano Ronaldo

Klabu ya Juventus inafikiria kumuongezea mkataba mpya nyota wake Cristiano Ronaldo utakaomfanya aendelee kusalia klabuni hapo hadi akifikisha umri wa miaka 38
.
.
Mkataba wa sasa wa Ronaldo (34) na Juventus unatarajiwa kumalizika mwezi June 2022
.
.
Proudly Sponsored by @mcheza_tz @bussi_ntua @tshombee1 #sokaonlineupdates

Masau bwire afunguka mchezaji kusaini nje ya ofisi

Ofisa habari wa R.Shooting Masau Bwire azungumza haya juu ya maneno yanayo ilaum klabu ya R.Shooting kwamba kwanini mchezaji asaini sehem ambayo siyo sahii au Ofisi hazipo??.
.
.
“Miongoni mwa timu zinazomiliki ofisi zake, si ya kupanga, ni Ruvu Shooting.
Tuna ofisi nzuri sana, ina kila kitu, ni nzuri mno, hivyo wanaodhani Ruvu Shooting haina ofisi, wazo hilo futa kabisa.

Mmeongea sana kuhusu saini ya kisiga ndani ya gari nawatazama tu, usilolijua litakusumbua ni vizuri ukaachana nalo, ukiling’ang’ania, litakutoa roho!
.
.
Sisi wataalamu wa vita, ukiwa kwenye mapambano, hupaswi hata sekunde moja kumpatia nafasi adui, ukizubaa tu kidogo, umepigwa!
.
.
Kwani kinachotakiwa ni saini au ofisi?
.
.
Kukamilisha usajili wa mchezaji kwenye mamlaka husika unapeleka ofisi au fomu iliyosainiwa?
.
.
Tungekuwa tunapeleka ofisi, mbona ingekuwa raha sana kwetu, na aibu kwa wengine, maana kuna timu ofisi zao pazia ni viroba na viti ni mikeka tena iliyochakaa!
.
.
Nyie, acheni kabisa!

Ratiba Ya Soka Leo

:
👉EnglandPremier League
23:00 Liverpool vs Sheffield United
:
👉EnglandChampionship
22:45 Derby County vs Barnsley
22:45 Swansea City vs Charlton Athletic
:
👉Egypt – Premier League
15:30 El Hodood vs Pyramids FC
18:00 Al Masry vs Smouha SC
20:30 El Zamalek vs Aswan FC
:
👉Algeria – Ligue 1
20:45 USM Alger vs Paradou AC
:
👉MoroccoBotola Pro
19:00 RSB Berkane vs OCK Khouribga
21:00 Olympic Club de Safi vs Hassania Agadir
21:00 Wydad Casablanca vs MAT Tetouan
:
Prepared @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Matokeo Ya Soka Jana

:
👉VodacomPremierLeague
FT Singida United 1-2 Azam FC
:
👉England – Premier League
FT Brighton & Hove Albion 1 – 1 Chelsea
FT Burnley 1 – 2 Aston Villa
FT Newcastle United 0 – 3 Leicester City
FT Southampton 1 – 0 Tottenham Hotspur
FT Watford 2 – 1 Wolverhampton Wanderers
FT Manchester City 2 – 1 Everton
FT Norwich City 1 – 1 Crystal Palace
FT West Ham United 4 – 0 AFC Bournemouth
FT Arsenal 2 – 0 Manchester United
:
👉England – Championship
FT Millwall 3 – 1 Luton Town
FT Birmingham City 2 – 3 Wigan Athletic
FT Bristol City 0 – 4 Brentford
FT Fulham 1 – 2 Reading
FT Huddersfield Town 2 – 5 Stoke City
FT Nottingham Forest 3 – 2 Blackburn Rovers
FT Preston North End 0 – 2 Middlesbrough
FT Queens Park Rangers 6 – 1 Cardiff City
FT Sheffield Wednesday 0 – 1 Hull City
FT West Bromwich Albion 1 – 1 Leeds United
:
👉Egypt – Premier League
FT Al-Ittihad Al-Sakandary 0 – 1 Al Mokawloon Al Arab
FT Ismaily SC 1 – 1 ENPPI
FT Misr El-Maqasa 0 – 2 Al Ahly
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Kocha Raia wa brazil D Antonio Dumas amefariki duniani

#SADNEWS
Kocha Raia wa brazil D Antonio Dumas amefariki duniani
Dumas alikuwa kocha mkuu wa timu ya AS Kaloum inayoshiriki ligi kuu nchini Guinea

Umauti ulimkuta huko Conakry Jumatatu, Desemba 30, 2019 akiwa na umri wa miaka 64

Poleni sana watu wa Brazil pamoja na watu wa Guinea kwa kumpoteza Mwalimu wenu.

#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson @officialchristz

Klabu ya Hearts of Oak 🇬🇭 ya Ghana imemfuta kazi kocha wao

Klabu ya Hearts of Oak 🇬🇭 ya Ghana imemfuta kazi kocha wao Kim Grant hii inakuja baada ya klabu hiyo kupoteza mchezo wa Kombe la Raisi dhidi ya Asante Kotoko , pamoja na kupoteza mchezo mwingine wa ufunguzi katika ligi kuu nchini Ghana dhidi ya Berekum Chelsea.

#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson @officialchristz

Matokeo Ya Soka Jana

:
👉VodacomPremierLeague
FT Simba SC 2-0 Ndanda SC
FT Mwadui FC 1-1 KMC
:
👉EnglandChampionship
FT Derby County 2 – 1 Charlton Athletic
:
👉WalesPremier League
FT Aberystwyth 1 – 2 Newtown
FT Airbus UK Broughton FC 0 – 4 Connah’s Quay
FT Bala Town FC 3 – 0 Caernarfon Town FC
FT Cardiff Met University 0 – 1 Barry Town United FC
FT TNS 2 – 1 Cefn Druids AFC
:
👉Tunisia – Ligue I
FT Esperance 7 – 1 JS Kairouanaise
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Nchimbi Ruksa Yanga | .

#VPLUpdates | Nchimbi Ruksa Yanga | .
:
Mshambuliaji mpya wa Yanga, Ditram Nchimbi ambaye leseni yake kuichezea Yanga ilizuiwa tayari amepata leseni hiyo saa chache zilizopita na atakuwa miongoni mwa wachezaji wa Yanga kwenye mchezo wa Jumamosi dhidi ya Simba.
:
Ikumbukwe kuwa Klabu ya Polisi Tanzania kupitia kwa kaimu katibu mkuu wao walisema kuwa, wameweka pingamizi TFF kuhusu mshambuliaji huyo kusajiliwa na Yanga msimu huu wa dirisha dogo kwa kuwa walimpa fedha anazotakiwa kuzirejesha ili zitumike kusajili mchezaji mwingine. Hivyo kwa sasa Mambo yote yamekwisha na NCHIMBI Ruksa Yanga.
:
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

Design a site like this with WordPress.com
Get started