TAKWIM MECHI 6 ZILIZOPITA SIMBA NA YANGA.

.

FT. Yanga 1-1 Simba
Amisi Tambwe. Shiza Kichuya.
.
FT. Simba 2-1 Yanga
Mavugo. Kichuya. Msuva.
.
FT. Simba 1-1 Yanga
Shiza Kichuya. Obrey Chirwa.
.
FT. Yanga 0-1 Simba
Erasto Nyoni.
.
FT. Simba 0-0 Yanga
.
FT. Yanga 0-1 Simba
Meddie Kagere. 👉Katika mechi hizo 6 Simba imechukua pointi 12. Yanga imechukua pointi 3.Leo timu hizo zinakutana tena!!
.
.
#officialgota_sports_arena #officialgota_sportstz#officialgota_sportstz
#weddingtanzania #daresalaam #cbe#nguvumoja✊🏽 #MoSimbaAwards2019 #NguvuMoja #NguvuMoja #TPL #ThisIsSimba #Njookibingwa 💪🇵🇪🇵🇱 #SimbaSc #NguvuMoja #ThisIsSimba 💪 #ThisIsSimba #SimbaScNguvuMoja 🇮🇩#SportPesaChallenge #TukutaneMei23 #tpl#LaLigaWorld #sportpesachallenge. #NguvuMoja#TPL#thisissimba #NguvuMoja#simbanguvumoja#simbasctanzania #semereskibaorgy #ssc
#Kibingwazaidi#yeswecan #thisissimba #simbanguvumoja #simbasportsclub #TPL#NguvuMoja#NguvuMoja#nguvum✊🏽

TETESI: ARSENAL YAMNYEMELEA BOATENG. PESA ZA CHELSEA KWA DEMBELE ZAKATALIWA


Kwa mujibu wa Shirika la Habari za Michezo la Sky Sports, Klabu ya Arsenal inamuwinda beki wa Bayern Munich, Jerome Boateng (31) katika dirisha hili la usajili

Inadaiwa Arsenal imeanza mazungumzo ya awali ili kumpata Mchezaji huyo anayetajwa kuwa tayari kuondoka Allianz Arena huku Bayern ikitaka Yuro Milioni 15

Aidha, inadaiwa kuwa klabu ya Lyon imekataa Paundi Milioni 34 kutoka kwa klabu ya Chelsea inayotajwa kutaka kumsajili Mshambuliaji Moussa Dembele

Lyon imeweka wazi kuwa haina mpango wa kumuuza mshambuliaji wake huyo ila inadaiwa Chelsea inajindaa kurudi na dau litakalomjumuisha Olivier Giroud

Kocha mkuu wa Aston Villa Dean Smith amesema hakuna kukata tamaa

Kocha mkuu wa Aston Villa Dean Smith amesema watapambana kufanya waliwezalo ili kumbakisha winga wake Grealish ambaye anawaniwa na Manchester United °
°
Kiungo huyo amekuwa na msimu bora baada ya kufanikiwa kufunga mabao 6 na kutoa pasi za mabao (Assists) 5 katika mechi 19 alizocheza msimu huu.

Ratiba ya soka leo

:
👉Vodacom Premier League
:
17:00 Simba Sc vs Yanga SC
:
👉Kenya – Premier League
14:00 Bandari vs Nzoia Sugar FC
14:00 Sofapaka s Kariobangi Sharks
15:00 Chemelil Sugar vs Tusker FC
15:00 Kakamega Homeboyz vs Kisumu All Stars
15:00 Mathare United vs KCB
16:15 Wazito FC vs Gor Mahia
:
👉England – FA Cup
15:31 Rochdale vs Newcastle United
15:31 Bristol City vs Shrewsbury Town
15:31 Millwall vs Newport County
15:31 Burnley vs Peterborough United
15:31 Birmingham City vs Blackburn Rovers
15:31 Rotherham United vs Hull City
18:01 Fulham vs Aston Villa
18:01 Cardiff City vs Carlisle United
18:01 Oxford United vs Hartlepool United
18:01 Southampton vs Huddersfield Town
18:01 Brighton & Hove Albion vs Sheffield Wednesday
18:01 Reading vs Blackpool
18:01 Watford vsTranmere Rovers
18:01 Preston North End vs Norwich City
16:01 Brentford vs Stoke City
20:31 Leicester City vs Wigan Athletic
20:31 Wolverhampton Wanderers vs Manchester United
20:31 AFC Bournemouth vs Luton Town
20:31 Manchester City vs Port Vale
20:31 Fleetwood Town vs Portsmouth
:
👉Spain – LaLiga
17:00 Valencia vs Eibar
18:00 Getafe vs Real Madrid
20:30 Atletico Madrid vs Levante
23:00 Espanyol vs Barcelona
:
👉France – Coupe de France
15:00 Fabregues vs Paris FC
15:00 Aviron Bayonnais FC vs Nantes
15:00 Niort vs St Pierroise JS
15:00 Versailles vs US Granvillaise
15:00 Guichen vs Caen
17:00 Monaco vs Reims
17:00 Tours vs Nimes
17:00 Le Portel vs Strasbourg
17:00 Stade Briochin vs Gonfreville
20:00 Athletico Marseille vs Rodez
20:00 ASM Belfort vs Montceau
20:00 St-Pryve St-Hilaire vs Toulouse
20:00 Sable FC vs Pau
20:00 Angouleme vs Challans
20:00 Rennes vs Amiens
20:00 Red Star vs Chambly
22:55 Bourg en Bresse Peronnas -vs Lyon
:
👉South Africa – Premier Soccer League
16:30 Stellenbosch FC vs Bidvest Wits
16:30 Bloemfontein Celtic vs Orlando Pirates
16:30 Polokwane City vs Chippa United
19:00 SuperSport United vs Kaizer Chiefs
21:15 AmaZulu FC vs Mamelodi Sundowns FC
:
👉Tunisia – Ligue I
16:00 Etoile du Sahel vs Club Africain
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

TARIQ, LAMINE KUIKOSA SIMBA KESHO

Kocha wa muda wa timu ya Yanga, Boniface Mkwasa amethibitisha atakosa huduma ya wachezaji Tariq Seif na Lamine Moro katika mchezo wa ligi dhidi ya watani wao Simba utakao pigwa kesho uwanja wa Taifa.

Mkwasa amesema Tariq alipata maumivu ya msuli katika mchezo wa ligi dhidi ya Biashara United siku ya Jumatatu wakati Lamine anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano hivyo hawatakuwa sehemu ya mchezo.

Kocha huyo wazamani wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ameongeza kuwa hakutakuwa na mapengo ya wachezaji hao kwakua wana kikosi kipana huku akijinasibu kuibuka na ushindi.

Mkwasa amewataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi uwanjani kushuhudia timu yao ikiibuka na ushindi mbele ya Simba. “Maandalizi yamekamilika kwa kiasi kikubwa wachezaji wapo kwenye hali nzuri ingawa tutawakosa Tariq na Lamine lakini tupo tayari kuikabili Simba,” alisema Mkwasa.u

#wapendasokaupdates #football #footballplayer

Design a site like this with WordPress.com
Get started