Ratiba Ya Soka Leo

:

👉England – FA Cup
17:01 Queens Park Rangers vs Swansea City
17:01 Chelsea vs Nottingham Forest
17:01 Charlton Athletic vs West Bromwich Albion
17:01 Sheffield United vs AFC Fylde
17:01 Bristol Rovers vs Coventry City
17:01 Crewe Alexandra vs Barnsley
17:01 Middlesbrough vs Tottenham Hotspur
15:01 Crystal Palace vs Derby County
17:01 Burton Albion vs Northampton Town
17:01 Liverpool vs Everton
21:16 Gillingham vs West Ham United
:
👉Italy – Serie A
14:30 Brescia vs Lazio
15:00 SPAL 2013 vs Hellas Verona
20:00 Genoa vs Sassuolo
22:45 Roma vs Torino
:
👉Spain – LaLiga
14:00 Granada vs Mallorca
16:00 Real Sociedad vs Villarreal
18:00 Deportivo Alaves vs Real Betis
23:00 Celta Vigo vs Osasuna
:
👉France – Coupe de France
16:15 FC Bastia-Borgo vs Saint-Etienne
16:15 Reims Sainte-Anne vs Montpellier
16:15 Trelissac vs Marseille
16:15 Raon L Etape vs Lille
16:15 Lorient vs Brest
19:15 Nice vs Etoile Frejus Saint-Raphael
19:15 FC de Limonest vs Le Puy
19:15 Grande Synthe vs Nancy
19:15 Hombourg Haut vs Prix-les-Mezieres
19:15 Entente SSG vs Epinal
19:15 Valenciennes vs Dijon
19:15 Dieppe vs Angers
22:55 Linas Montlhery vs Paris Saint-Germain
:
👉Egypt – Premier League
15:30 Al Mokawloon Al Arab vs Misr El-Maqasa
18:00 Tanta vs El Zamalek
20:30 Al Ahly vs FC Masr
:
👉Morocco – Botola Pro
19:00 Wydad Casablanca vs Renaissance Club Zemamra
21:00 Youssoufia Berrechid vs Hassania Agad
:
👉South Africa – Premier Soccer League
16:30 Highlands Park vs Black Leopards
16:30 Cape Town City FC vs Baroka FC
:
👉Tunisia – Ligue I
16:00 AS Slimane vs Esperance
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

DAKIKA 90 ZA KARIAKOO DERBY : Na Octa ayubu Jr Sehemu ya Pili

DAKIKA 90 ZA KARIAKOO DERBY
:
Na
Octa ayubu Jr
Sehemu ya Pili
:
Tunachoamini watanzania Ni kwamba straika yoyote lazima afunge lakini kisoka sio kweli.Kwa mtazamo mwepesi huenda akaonekana Kagere alikuwa Bora kwasababu katafuta penati na kuifunga na Nchimbi hajafunga,lakini kiufupi Nchimbi leo alikuwa msaada mkubwa kwa Yanga na ndiye aliyewafanya wachezaji wa Simba kuanzia kwa mkude kushuka wacheze kwa Tahadhari kwasababu Ni mchezaji aliyetimia physically na speed pia.
:
Sitaki nimzungumzie Sana Tripple c kwasababu nasubili Caf champions league labda huenda maajabu yake yapo kule tu huku kawa wa kawaida mno.
:
Ukitazama niyonzima ukaambiwa katrain masaa machache na timu na kaanza first eleven ya Leo lazima ujiulize Mkwasa alipata wapi hiki kiburi? Ana uzoefu haimpi shida anyway acha aendelee kula penshen kwetu.
:
Kuna wakati naangalia maamzi kwenye Derby,Taratibu naanza kukubaliana na kauli aliyowahi kuitoa manara kwamba ifike wakati hizi derby zetu ili ziwe fair tukubali kutumia gharama zaidi zichezeshwe na waamuzi wa nje labda huenda Hawa wazawa uzalendo na timu zao unawashinda.
:
Prepared @octa_ayubu_jr
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

DAKIKA 90 ZA KARIAKOO DERBY.. : Na Octa ayubu Jr

DAKIKA 90 ZA KARIAKOO DERBY..
:
Na
Octa ayubu Jr
:
Hii inaweza kuwa miongoni mwa Derby Bora ya kariakoo kwa miaka miwili iliyopita.Kuna baadhi ya derby upande mmoja ulifaidika matokeo lakini mashabiki tulikosa radha ya soka Kama sio kujutia kiingilio chetu.
:
Karibu Sana kariakoo Aishi Salum manula,ukitaka kuijua vizuri kariakoo ukosee ila sio kwenye mechi na Ndanda au Mwadui ila hii ya kariakoo.Sifa zako zote nzuri zitafutika,Leo hii huenda Akakumbukwa zaidi kakolanya kuliko manula.Lakini kwa mtu wa soka magoli aliyofungwa manula Ni magoli ya kawaida Kama mengine,shida Ni mechi aliyofungwa.
:
Kama Etienne atatumia kariakoo derby kuchagua kikosi Cha taifa stars basi Juma Abdul huenda akaonekana Bora mbele ya shomary kapombe,alikuwa Bora Sana leo.
:
Adeyun Saleh Kama atagain momentam mapema na kuingia moja kwa moja kwenye mfumo basi atafanya Yanga wamsahau Gadiel,hakai na Mpira na Cross zake nyingi zina macho,amejitahidi lakini atambue yupo timu ya wananchi sio timu za ubalozi zisizo na pressure.
:
Tairon Santos na pascal Wawa,umri wao huenda ukawa tatizo Kama watacheza pamoja na wakakutana na timu inayoshambulia muda wote umri wao sio rafiki kwa pumzi ya dakika 90.
:
Mwambie mwamnyeto asikubali kutwishwa mzigo mzito wa kutembea kwenye kivuli Cha Kelvin Yondan na kuaminishwa Ni Yondan mpya tutampoteza,acheze awezavyo,na Aelewe Tanzania alizaliwa Yondan mmoja tu,hakika huyu Ni mmoja tu,na ameonyesha utu uzima dawa.
:
Miongoni mwa wachezaji hatari wa Simba kwa Sasa Ni Kahata,huenda hatazamwi Sana ila Ana jicho pevu Sana kumuangalia kagere alipo kwa wakati muafaka,lakini miondoko ya Kanda ndiyo iliyowafanya Yondan na Sonso waweke umakini mkubwa kwake na kuruhusu Simba icheze itakavyo.
:
Mzamiru Ni kiungo bora ila tension ya mchezo ilimfanya akasahau kazi yake iliyompa jina la punda.amecheza mpira mwepesi mno na Kama angekuwa na maamuzi mepesi huenda balama asingefanya lile alilofanya.
:
Nafikiria lipi jibu sahihi,Leo Simba hawakutoa mipira mingi au makame alipotezwa? Hakuonekana kabisa leo ubora wa Tshishimbi na unyumbulifu wa Balama umewaokoa Yanga.
:
Prepared by @octa_ayubu_jr
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Matokeo Ya Soka Jana

:
👉 Vodacom Premier League
FT Simba SC 2-2 Yanga SC
:
👉England – FA Cup
FT Birmingham City 2 – 1 Blackburn Rovers
FT Bristol City 1 – 1 Shrewsbury Town
FT Burnley 4 – 2 Peterborough United
FT Millwall 3 – 0 Newport County
FT Rochdale 1 – 1 Newcastle United
FT Rotherham United 2 – 3 Hull City
FT Brentford 1 – 0 Stoke City
FT Brighton & Hove Albion 0 – 1 Sheffield Wednesday
FT Cardiff City 2 – 2 Carlisle United
FT Fulham 2 – 1 Aston Villa
FT Oxford United 4 – 1 Hartlepool United
FT Preston North End 2 – 4 Norwich City
FT Reading 2 – 2 Blackpool
FT Southampton 2 – 0 Huddersfield Town
FT Watford 3 – 3 Tranmere Rovers
FT AFC Bournemouth 4 – 0 Luton Town
FT Fleetwood Town 1 – 2 Portsmouth
FT Leicester City 2 – 0 Wigan Athletic
FT Manchester City 4 – 1 Port Vale
FT Wolverhampton Wande… 0 – 0 Manchester United
:
👉Spain – LaLiga Santander
FT Valencia 1 – 0 Eibar
FT Getafe 0 – 3 Real Madrid
FT Atletico Madrid 2 – 1 Levante
FT RCD Espanyol 2 – 2 Barcelona
:
👉Spain – LaLiga SmartBank
FT Fuenlabrada CF 0 – 0 Las Palmas
FT Ponferradina 0 – 0 Cadiz
FT Lugo 0 – 4 Almeria
FT Tenerife 4 – 2 Albacete
FT CD Mirandes 0 – 0 Racing Santander
FT Elche 1 – 1 SD Huesca
:
👉Kenya – Premier League
FT Bandari 0 – 0 Nzoia Sugar FC
FT Sofapaka 2 – 2 Kariobangi Sharks
FT Chemelil Sugar 0 – 7 Tusker FC
FT Kakamega Homeboyz 4 – 0 Kisumu All Stars
FT Mathare United 1 – 1 KCB
FT Wazito FC 0 – 1 Gor Mahia
:
👉South Africa – Premier League
FT Bloemfontein Celtic 1 – 1 Orlando Pirates FC
FT Polokwane City 2 – 0 Chippa United FC
FT Stellenbosch FC 0 – 2 Bidvest Wits
FT SuperSport United 2 – 1 Kaizer Chiefs
FT Amazulu Durban 0 – 3 Mamelodi Sundowns FC
:
👉France – Cup
FT Aviron Bayonnais FC 0 – 2 Nantes
FT Guichen 1 – 2 Caen
FT Niort 1 – 2 St Pierroise JS
FT Fabregues 0 – 2 Paris FC
FT Versailles 1 – 2 US Granvillaise
FT Le Portel 1 – 4 Strasbourg
FT Monaco 2 – 1 Reims
FT ASM Belfort 3 – 0 Montceau
FT Angouleme 3 – 1 Challans
FT Athletico Marseille 2 – 1 Rodez
FT Red Star 2 – 1 Chambly
FT St-Pryve St-Hilaire 1 – 0 Toulouse
:
👉Tunisia – Ligue I
FT Etoile du Sahel 1 – 1 Club Africain
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

KARIAKOO DERBY: SIMBA NA YANGA KUTUNISHIANA MISULI UWANJA WA TAIFA

Wakati homa ya mchezo wa Watani wa Jadi, Simba na Yanga ikiendelea kupanda huku zikiwa zimebaki saa chache, Mashabiki na Wachezaji wa timu hizo wameendelea kutambiana kuibuka na ushindi

Simba ambayo itakuwa mwenyeji, itaikaribisha Yanga katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar leo majira ya saa 11:00 jioni

Takwimu za timu hizo zinaonyesha safu zao za ushambuliaji zimekuwa na makali dakika 45 za kipindi cha pili ingawa Simba inaonyesha iko vizuri pia dakika 45 za mwanzo

Simba katika mechi 10 zilizopita imefunga magoli 10 kipindi cha pili na katika kipindi cha kwanza imefunga magoli 10 huku ikiruhusu goli moja katika kipindi hicho cha kwanza

Yanga nayo imekuwa moto kipindi cha pili kwa kufunga magoli 8 lakini imeruhuru magoli matano na katika Kipindi cha kwanza imefunga magoli 6 na kuruhusu kufungwa magoli matatu

Je, ni Mashabiki wa timu gani kutoka na kicheko leo Taifa?

Mkuu wa.majeshi atimiza miaka.100

MIAKA 100! MKUU wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) mstaafu, Jenerali David Musuguri akiwa na baadhi ya wanafamilia nyumbani kwake Butiama, mkoani Mara. Mstaafu huyo ametimiza umri wa miaka 100 leo, Jumamosi, Januari 4, 2020.

Jenerali Musuguri (Mtukula) alishika nafasi ya ukuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama mwaka 1980-1988 Chini ya Hayati Mwalimu Nyerere

WACHEZAJI WA KUCHUNGWA LEO SIMBA

1.MEDDIE KAGERE

Huyu ndiye alikuwa muuaji kwenye mechi ya mwisho walipokutana kati ya Simba na Yanga, safu ya Yanga inabidi kuwa makini na mwamba huyo hasa akiwa eneo la 18 siyo mzuri sana akiwa nje ya boksi sababu siyo mzuri kwenye dribbling na 1 v 1 dhidi ya beki ila ni mtu hatari akiwa ndani ya boksi

Ana harufu ya kunusa goli ana jua kukaa maeneo ambayo mpira utapita kwahiyo Yondani na wenzake inabidi wakabe mwili endapo Kagere atakuwa ndani ya 18 bila hivyo watashutukia kawaacha na kwenda kumalizia krosi

2.CLEOTUS CHAMA

Taratibu ameanza kurudi kwenye ile fomu yake ya msimu uliopita, Yanga inabidi wasimruhusu mwamba huyu kuwa na mpira mita 25 kutoka katika goli lao sababu ni kiungo ambaye anaweza fanya vitu vingi mfano anauwezo wa kufunga kwa staili tofauti pia anauwezo mkubwa wa kutoa pasi za mwisho kadhalika maarifa ya kupangua safu ya ulinzi ya timu pinzani hivyo siyo mtu wa kumruhusu akakaa na mpira hata sekunde 25 anaweza leta madhara

3.FRANCIS KAHATA
Mara nyingi amekuwa akichemsha kwenye big game nyingi ambazo matumizi ya nguvu yanakuwa makubwa kwenye mchezo huo mfano mechi kati ya Tanzania na Kenya kule Afcon alitoka kipindi cha kwanza pia mechi dhidi ya Ud Songo mechi ilimkataa mapema

Hivyo Yanga kama watatumia nguvu nyingi kwenye eneo lao la kati wanaweza kumtoa mchezoni ila wakimruhusu kucheza staili yake anaweza waletea mahafa sababu ni mzuri kwenye kutenegeneza nafasi za kufunga kwa washambuliaji na mzuri kwenye faulo za karibu

4.PASCAL WAWA

Watu wengi watajiuliza kwa nini Wawa lakini kama umebahatika kuhitizama Simba tangu benchi jipya lianze majukumu yake , sasa Simba sasa wanacheza taratibu kama hawataki huku wakipiga pasi fupi fupi kwenye eneo lao wakijaribu kuwavuta wapinzani na endapo wapinzani watasogea kidogo basi utaona Pascal Wawa akipewa pasi na beki huyo anapiga Long Ball kwenda kwa viungo ambao wanakasi hii staili ya kumtumia Wawa wameshafanya kwenye michezo yao ya hivi karibuni na kufanikiwa kuzalisha magoli

Hivyo Yanga ili kumdhibiti Wawa kupiga hizo long Ball inabidi mshambuliaji mmoja kila muda awe karibu na Wawa

NDANI YA KARNE YA 21: LIGI YA BARA

1. JUNI 25, 2000
Simba 2 – 1 Yanga
Simba: Steven Mapunda
Yanga: Idd Moshi
2. AGOSTI 5, 2000
Yanga 2 – 0 Simba
Iddi Moshi (bwana harusi)

3. SEPTEMBA MOSI, 2001
Simba 1 – 0 Yanga
Joseph Kaniki dk.
4. SEPTEMBA 30, 2001
Yanga 1 – 1 Simba (Mwanza)
Simba: Joseph Kaniki
Yanga: Sekilojo Chambua

5. AGOSTI 18, 2002
Yanga 1 – 1 Simba
Simba : Madaraka Selemani
Yanga: Sekilojo Chambua (pen)

6. NOVEMBA 10, 2002
Simba 0 – 0 Yanga

7. SEPTEMBA 28, 2003
Yanga 2 – 2 Simba
Simba : Emmanuel Gabriel
Yanga: Kudra Omary, Heri Morris

8. NOVEMBA 2, 2003
Simba 0 – 0 Yanga

9. AGOSTI 7, 2004
Simba 2 – 1 Yanga
Simba : Shaaban Kisiga, Ulimboka Mwakingwe
Yanga: Pitchou Kongo
10. SEPTEMBA 18, 2004
Yanga 0 – 1 Simba
Athumani Machuppa
11. APRILI 17, 2005
Yanga 1 – 2 Simba
Simba :Nurdin Msiga, Athumani Machupa,
Yanga: Aaron Nyanda

12. AGOSTI 21, 2005
Simba 2 – 0 Yanga (Arusha)
Nico Nyagawa

13. MACHI 26, 2006
Simba 0 – 0 Yanga

14. OKTOBA 29, 2006
Yanga 0 – 0 Simba

15. JULAI 8, 2007 (Fainali ya Ligi Ndogo)

Yanga 1 – 1 Simba
Simba: Moses Odhiambo (penati)
Yanga: Said Maulid -Simba ikashinda kwa mikwaju ya penalti 5-4.

16. OKTOBA 24, 2007
Simba 1 – 0 Yanga (Moro)
Ulimboka Mwakingwe

17. APRILI 27, 2008
Simba 0 – 0 Yanga

18. OKTOBA 26, 2008 (Mechi ya kwanza Taifa)
Yanga 1 – 0 Simba
Ben Mwalala dk15.

19. APRILI 19, 2009
Yanga 2 – 2 Simba
Simba : Ramadhan Chombo, Amiry Maftaha (OG)
YANGA: Ben Mwalala, Jerry Tegete

20. OKTOBA 31, 2009
Simba 1 – 0 Yanga
Mussa Hassan Mgosi

21. APRILI 18, 2010
Simba 4 – 3 Yanga
SIMBA: Uhuru Suleiman, Mussa Mgosi(mawili), Hillary Echesa
YANGA: Athumani Iddi, Jerry Tegete (mawili)

22. OKTOBA 16 (Mwanza)
Yanga 1-0 Simba
Jerry Tegete

23. MACHI 5, 2011 (mechi ya VAR)
Yanga: Stefano Mwasyika (pen)
Simba: Mussa Mgosi

24. OKTOBA 29, 2011
Yanga 1-0 Simba
Davies Mwappe

25. MEI 6, 2012
Simba 5-0 Yanga
Emmanuel Okwi(mawali)
Patrick Mafisango (pen), Juma Kaseja(pen), Felix Sunzu(pen). 26. OKTOBA 3, 2012
Yanga 1-1 Simba
Simba : Amry Kiemba
Yanga: Said Bahanuzi (pen)

27. OKTOBA 20, 2013
Yanga 3-3 Simba
Yanga: Mrisho Ngassa, Hamis Kiiza (mawili)
Simba: Ditram Mwombeki, Gilbert Kaze, Joseph Owino.

Design a site like this with WordPress.com
Get started