Kutoka Yanga SC

Mashabiki wetu waliotoka Mtwara kwa Baiskeli kuja kushuhudia mchezo wetu dhidi ya Watani, wamerejea Salama mkoani Mtwara.

Klabu ya Yanga katika kuwashukuru kwa hamasa na kujitoa kwao imewanunulia Baiskeli mpya kila mmoja,baiskeli hizo zimekabidhiwa kwa mashabiki hao na Katibu wa Matawi ya Yanga mkoa wa Mtwara, Yusuph Mpama jioni ya leo.

#WeAreYoungAfricansSc

#DaimaMbeleNyumaMwiko

Kocha ammwagia sifa mwamuzi “

Kocha ammwagia sifa mwamuzi “

“ Kocha wa wapinzani wetu, amezungumzia sheria za mchezo, na kiukweli pambano la leo limeamualiwa na sheria. Mwamuzi alikuwa
vizuri, sina budi kumsifia kwa kulimudu pambano gumu kama hili, alifanya vizuri sana.”

Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck akimpongeza mwamuzi Jonesia Rukyaa kwa kuchezesha vizuri pambano la watani wa jadi.

Unakubaliana naye?

Sven Vandenbroek: Yanga Walimpiga teke mchezaji wangu, wakatuwahi mabao mawili tukiwa pungufu‪ –

Sven Vandenbroek: Yanga Walimpiga teke mchezaji wangu, wakatuwahi mabao mawili tukiwa pungufu‪

“ Unapompiga teke mchezaji na kumtoa nje, mnapata faida ya kuwa na mchezaji mmoja zaidi dimbani, ni sehemu ya sheria za mchezo. Tulifungwa mabao mawili wakati mchezaji wetu akiwa nje akipata matibabu. Tumeruhusu mabao mawili tukiwa pungufu, ndivyo sheria ilivyo na ndio iliyoamua mechi ya leo.

Baada ya Yanga kusawazisha, tulitawala mechi na hatukuwa na bahati tu baada ya mpira kugonga mwamba badala ya kuingia nyavuni dakika za mwisho.” –
Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck akisema Yanga walinufaika na upungufu wa Simba.

Mkwasa atema cheche… Penati ya simba

‪🗣 “ Goli la kwanza ambalo lilionekana wazi kabisa penati ilikuwa inatafutwa…Ndio hayo nasema kwamba kuna timu ambazo zinazoongozwa kwa ajili ya kupata penati. “

kocha Mkwasa akizungumzia penati ya Simba jana.‬

‪Penati za Simba msimu huu 2019/20‬ ⚽️ Vs. UD Songo‬
‪⚽️ Vs. Kagera Sugar‬
‪⚽️ Vs. Mbeya City‬
‪⚽️ Vs. Lipuli‬
‪⚽️ Vs. Yanga‬

Sergio Romero aendeleza rekodi nzuri FA cup

Sergio Romero raia wa Argentina na Mlinda mlango wa Manchester United amefanikiwa kupata Cleansheet 10 katika michezo 13 aliyoitumikia klabu yake kwenye michuano ya FA.
.
Mbali na kupata cleansheet hizo ameruhusu nyavu zake kuguswa Mara 4 tu katika michezo 13.
.
Ikumbukwe Romero si chaguo namba moja la Kocha Ole Gunnar badala yake anapendelea zaidi kumtumia David Degea raia wa Hispania.
.
Class is Permanent!🙌🏿
°
°
Prepared by @anode360 Proudly Sponsored by @mcheza_tz @bussi_ntua @tshombee1 #sokaonlineupdates

Design a site like this with WordPress.com
Get started