Kamata Ratiba Ya Soka Leo Barani Ulaya

:
👉England – Premier league
15:30 Everton vs Crystal Palace
20:30 Brighton & Hove Albion vs Watford
:
👉England – Championship
15:30 Wigan Athletic vs Preston North End
16:30 Barnsley vs Sheffield Wednesday
18:00 Blackburn Rovers vs Fulham
18:00 Brentford vs Middlesbrough
18:00 Huddersfield Town vs Queens Park Rangers
18:00 Luton Town vs Cardiff City
18:00 Reading vs Hull City
18:00 Stoke City vs Charlton Athletic
18:00 Swansea City vs Derby County
20:30 Nottingham Forest vs Leeds United
:
👉Spain – LaLiga Santander
15:00 Levante vs Leganes
18:00 Getafe vs Valencia
20:30 Real Valladolid vs Villarreal
23:00 Atletico Madrid vs Granada
:
👉Spain – LaLiga SmartBank
18:00 Extremadura vs Tenerife
18:00 Girona vs SD Huesca
20:15 Las Palmas vs Cadiz
23:00 Real Zaragoza vs Fuenlabrada CF
:
👉Italy – Serie A
17:00 Fiorentina vs Atalanta
20:00 Torino vs Sampdoria
22:45 Verona vs Juventus
:
👉Germany – Bundesliga
17:30 Schalke 04 vs SC Paderborn 07
17:30 Hertha BSC vs Mainz 05
17:30 Freiburg vs Hoffenheim
17:30 Wolfsburg vs Fortuna Düsseldorf
17:30 Werder Bremen vs 1. FC Union Berlin
20:30 Bayer Leverkusen vs Borussia Dortmund
:
👉France – Ligue 1
19:30 Marseille vs Toulouse
22:00 Dijon vs Nantes
22:00 Metz vs Bordeaux
22:00 Rennes vs Brest
22:00 Nice vs Nimes
22:00 Amiens vs Monaco
:
👉Netherlands – Eredivisie
20:30 FC Groningen vs Vitesse
21:45 PSV Eindhoven vs Willem II
21:45 SC Heerenveen vs VVV-Venlo
22:45 RKC Waalwijk vs PEC Zwolle
:
👉Belgium – First Division A
20:00 Sporting Charleroi vs Zulte Waregem
22:00 Cercle Brugge vs KV Mechelen
22:00 St.Truiden vs Eupen
22:30 Royal Excel Mouscron vs Oostende
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Kamata Matokeo Ya Soka Jana

:
👉 Vodacom Premier League
FT Simba SC 0-1 JKT Tanzania
:
👉England – Championship
FT Bristol City 1 – 3 Birmingham City
:
👉Saudi Arabia – Premier League
FT Abha 1 – 4 Al-Wehda
FT Al Hazm 4 – 2 Al Feiha
FT Al-Faisaly 2 – 1 Al Shabab
:
👉United Arab Emirates – UAE League
FT Al Khaleej Khor Fakkan 2 – 2 Fujairah SC
FT Al-Wasl FC 1 – 1 Ajman
FT Al-Ain 1 – 1 Sharjah Cultural Club
:
👉England – League 1
FT Lincoln City 0 – 1 Rotherham United
:
👉Spain – LaLiga Santander
FT Deportivo Alaves 2 – 1 Eibar
:
👉Spain – LaLiga SmartBank
FT Almeria 0 – 1 Racing Santander
:
👉Italy – Serie A
FT Roma 2 – 3 Bologna
:
👉Germany – Bundesliga
FT Eintracht Frankfurt 5 – 0 Augsburg
:
👉France – Ligue 1
FT Angers 0 – 2 Lille
:
👉Netherlands – Eredivisie
FT Heracles 2 – 0 Fortuna Sittard
:
👉Netherlands – Eerste Divisie
FT FC Dordrecht 1 – 2 Almere City FC
FT Go Ahead Eagles 3 – 1 FC Eindhoven
FT Helmond Sport 1 – 4 Excelsior
FT NAC Breda 1 – 1 TOP Oss
FT Roda JC Kerkrade 1 – 5 FC Den Bosch
FT Cambuur 2 – 1 MVV Maastricht
FT Telstar 1 – 7 NEC Nijmegen
Belgium – First Division A
FT Gent 1 – 1 Anderlecht
:
👉Kenya – Premier League
FT KCB 0 – 1 Kariobangi Sharks
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Sergio Aguero ashinda tuzo mchezaji bora wa mwezi EPL

Mwezi Januari umekua mzuri sana kwa Sergio Aguero kwani katika Mara 7 alizoshinda tuzo ya mchezaji bora Wa mwezi katika Ligi kuu ya England Mara 3 ameshinda mwezi Januari.

Miezi aliyoshinda tangu ajiunge na Manchester City
Oktoba 2013
November 2014
January 2016
April 2016
January 2018
February 2019
January 2020

#Unstoppable
#wapendasokaupdates

Waziri Mkuu wa Tanzania Kasim Majaliwa amempongeza Mbwana Samatta bungeni

Waziri Mkuu wa Tanzania Kasim Majaliwa amempongeza Mbwana Samatta kwa kuwa mtanzania wa kwanza kusajiliwa na kucheza katika ligi kuu ya England

Akizungumza Bungeni leo katika hotuba yake ya kuhairisha bunge, Mh Majaliwa amesema ni heshima kwa Samatta na taifa lakini pia akawaasa vijana wanaochipukia katika soka kujituma zaidi ili watimize ndoto zao

#wapendasokaupdates

Lionel Messi sifikirii kuondoka barcelona

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Sky Sports mshambuliaji wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi amesema hafikilii kabisa kundoka Barcelona ataendelea kusalia klabuni hapo
•
Messi amesema hayo kutokana na kuwepo na taarifa zinazoeleza kuwa huenda nyota huyo akaachana na klabu hiyo mwisho wa msimu huu
•
Powered by @sports_lady_tz
#dailysporttz

MAREFA NCHINI WAPEWA SEMINA YA SIKU TATU DAR ILIYOENDESHWA KWA USHIRIKIANO WA TFF NA CHAMA CHA SOKA IRELAND

Semina ya siku tatu ya Waamuzi wa mpira wa miguu Tanzania kwa ushirikiano na Chama cha Soka Ireland (IFA) imefungwa leo. Semina hiyo imelenga muendelezo wa mipango ya UEFA Assist

Visit website

Bocco afunguka kipigo dhidi ya JKT. Tanzania

Baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania, Nahodha wa Simba, John Bocco amesema walijichanganya na kuruhusu bao hilo huku nahodha wa JKT, Damas Mwakwaya akifunguka udhaifu walioonyesha Simba katika mchezo huo

Simba inaongoza Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 50 imekubali kipigo hicho katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Uhuru ambapo wapinzani wao walifunga bao hilo pekee dakika ya 24 kipindi cha kwanza kupitia Adam Adam

Adam aliunganisha mpira wa krosi iliyochongwa na mchezaji mwenzake na kujaa wavuni licha ya kipa, Beno Kakolanya kujaribu kuchumpa kuucheza

Baada ya bao hilo, Simba ilipambana kusaka bao la kusawazisha na kukutana na kigingi kutoka kwenye ngome ya ulinzi ya JKT Tanzania.
Baada ya ya mchezo huo, Bocco aliwapongeza wapinzani wao kwa ushindi huo akibainisha kwamba walijichanganya na kuruhusu bao

“Baada ya kufungwa tulijaribu kupambana kupata matokeo lakini imelindikana, JKT walijipanga vizuri na wanastahili pongezi,” alisema Bocco na kuongeza kwamba wanajipanga kwa ajili ya mechi zijazo

Nahodha na beki wa JKT Tanzania, Damas Makwaya alisema mpango walioingia nao umefanyakazi kwani wamepata matokeo mazuri waliyoyatarajia ambapo kabla ya kuingia uwanjani kocha wao Mohamed Abdallah ‘Bares’ aliwaelekeza jinsi ya kuwabana wapinzani wao.

“Alituelekeza tuwabane sana Simba, mpira ulivyoanza walikuwa kawaida, tukaona tuna uwezo wa kuwamudu na beki yao ilikuwa dhaifu,” alisema na kuendelea

“Washambuliaji wetu walikuwa na kasi, hivyo tukatumia faida hiyo kusaka bao tumefanikiwa na kupata pointi tatu,” alisema

Mwanaspoti

LALLANA AJIANDAA KUSEPA LIVERPOOL, ARSENAL, TOTTENHAM ZAPIGANA VIKUMBO

KIUNGO wa timu ya Liverpool, Adam Lalallana anajiandaa kwa sasa kusepa ndani ya kikosi hicho kilicho chini ya Jurgen Klopp.
Nyota huyo mwenye miaka 31, alimwaga wino ndani ya Liverpool, Julai, 2014, akitokea timu ya Southampoton.
Mkataba wake unameguka mwezi Juni hivyo atakuwa huru kujiunga na timu yoyote ile bure huku timu ya Arsenal ikipewa chapuo kuinasa saini yake.
Mchezaji huyo ameeleza kuwa mpango wake mkubwa ni kuona anacheza nje ya Anfield ili kupata changamoto mpya kwenye soka.
Mabosi wa Arsenal na Tottenham wote kwa nyakati tofauti wameonekena kuvutiwa na uwezo wa mchezaji huyo hivyo wanahaha kuipata saini yake.
Tottenham imempoteza mchezaji wao Christian Eriksen aliyetimika ndani ya Ligi Kuu England na kuibukia Serie A ndani ya Inter Milan mwezi Januari, Arsenal bosi Mikel Arteta yeye mpango wake ni kurejesha heshima ndani ya Emirates.

Visit website

Design a site like this with WordPress.com
Get started