
Man Utd 1-3 Man City
⚽️ Bernardo
⚽️ Mahrez
⚽️ Pereira (og)
⚽️ Rashford
Manchester City wametamba katika mechi ya mkondo wa kwanza wa nusu Fainali ya Kombe la Carabao. Manchester United wanaweza kupindua meza Etihad?

Man Utd 1-3 Man City
⚽️ Bernardo
⚽️ Mahrez
⚽️ Pereira (og)
⚽️ Rashford
Manchester City wametamba katika mechi ya mkondo wa kwanza wa nusu Fainali ya Kombe la Carabao. Manchester United wanaweza kupindua meza Etihad?










Inter Milan kwako katika mazungumzo na nahodha Wa Manchester United Ashley Young ambaye mkataba wake unaisha baada ya msimu huu ili kumsajili katika dirisha hili la usajili la Mwezi January.
#wapendasokaupdates
#transfer
#football

Kikosi bora cha CAF kwa mwaka 2019
.
🇨🇲 @AndreyOnana
🇨🇮 @Serge_aurier
🇨🇲 Joel Matip
🇸🇳 @kkoulibaly26
🇲🇦 @AchrafHakimi
🇸🇳 @IGanaGueye
🇩🇿 #RiyadMahrez
🇲🇦 Hakim Ziyech
🇪🇬 #MoSalah
🇬🇦 @Aubameyang7
🇸🇳 #SadioMane
#wapendasokaupdates
#CAFAwards2019

T

etesi.
Inasemekana kuwa Golkipa wa zamani wa Simba na Yanga Deogratius Munishi Dida yuko mbioni kujiunga na klabu ya Lipuli fc akiwa ni mchezaji huru.
#fullsokaupdates


Nyota wa zamani wa kitaifa wa Tunisia, “Oussama Darraji” (mwenye umri wa miaka 32), amesaini rasmi mkataba wa miaka miwili na Klabu ya Algeria JS Kabylie
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson @officialchristz

Kamata Ratiba Ya Soka Leo
:
👉VodacomPremierLeague
16:00 KMC vs Lipuli FC
16:00 Polisi Tanzania vs Biashara Mara
16:00 Coastal Union vs Kagera Sugar
16:00 Mwadui Fc vs Ruvu Shooting
16:00 Allience Fc vs JKTTanzania
16:00 Mbeya City vs Namungo FC
:
👉Algeria – Ligue 1
19:00 Paradou AC vs USM Bel Abbes
:
👉Egypt – Premier League
15:30 El Geish vs El Hodood
18:00 Smouha SC vs Wadi Degla FC
20:30 ENPPI vs Al-Ittihad Al-Sakandary
:
👉Kenya – Premier League
14:00 KCB vs Sofapaka
15:00 Kariobangi Sharks vs Bandari
15:00 Nzoia Sugar FC vs Chemelil Sugar
15:00 Tusker FC vs Kisumu All Stars
15:00 Ulinzi Stars vs Wazito FC
15:00 Western Stima vs Mathare United
15:00 Zoo FC vs Kakamega Homeboyz
16:15 Posta Rangers vs AFC Leopards
:
👉Morocco – Botola Pro
19:00 FUS Rabat vs Hassania Agadir
:
👉South Africa – Premier League
20:30 Black Leopards vs Chippa United FC
20:30 Cape Town City FC vs Amazulu Durban
20:30 Kaizer Chiefs vs Highlands Park FC
20:30 Lamontville Golden Arrows vs Baroka FC
20:30 SuperSport United vs Maritzburg
:
👉SpainSuper Cup
22:00 Valencia vs Real Madrid
:
👉France – League Cup
20:45 Lyon vs Brest
23:05 Lille vs Amiens
23:05 Paris Saint-Germain vs Saint-Etienne
:
👉International – Club Friendlies
14:30 Trabzonspor vs Bursaspor
16:00 Luzern vs Flora Tallinn
16:00 SV Roedinghausen vs FC Groningen
17:00 Alanyaspor vs KF Tirana
17:00 Besiktas vs Mezokovesd SE
17:00 Young Boys vs Hansa Rostock
17:30 Hoffenheim vs Feyenoord
17:30 Portimonense vs MSV Duisburg
18:00 Livingston vs Jong Ajax
18:30 Servette vs RKC Waalwijk
:
👉England – EFL Cup
23:00 Leicester City vs Aston Villa
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Kamata Matokeo Ya Soka Jana
:
👉Mapinduzicup2020
FT Simba SC 3-1Zimamoto SC
FT Yanga SC 2-0 Jamhuri
:
👉England – EFL Cup
FT Manchester United 1 – 3 Manchester City
:
👉England – League 1
FT Doncaster Rovers 2 – 0 Shrewsbury Town
:
👉International – Club Friendlies
FT 1. FC Köln 1 – 2 Sporting Charleroi
FT Konyaspor 2 – 1 Altinordu
FT Thun 2 – 0 Grasshoppers
FT Borussia Mönchengladbach 1 – 3 Heracles
FT FC Ingolstadt 04 6 – 3 St. Gallen
FT 1. FC Köln 2 – 2 KV Mechelen
FT Borussia Dortmund 0 – 0 Standard Liege
FT Fortuna Düsseldorf 1 – 1 FC Twente
FT Mainz 05 2 – 3 FC Emmen
FT Schalke 04 0 – 1 St.Truiden
FT Servette 2 – 0 Vitesse
FT FC Gullegem 1 – 2 Kortrijk
:
👉Egypt – Premier League
FT Aswan FC 1 – 1 El Gounah
FT El Entag El Harby 1 – 1 Al Masry
FT Pyramids FC 1 – 0 Ismaily SC
:
👉South Africa – Premier League
FT Mamelodi Sundowns FC 0 – 0 Bidvest Wits
FT Polokwane City 1 – 4 Orlando Pirates
FT Stellenbosch FC 1 – 2 Bloemfontein Celtic
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Mchezaji wa klabu ya Raja Casablanca ya Morocco Mahmoud Benhalibame amesaini mkataba mpya wa miaka miwili utakao muweka klabuni hapo hadi mwaka 2022
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson @officialchristz


👉Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Francis Kahata amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Disemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2019/20, akiwashinda Hassan Dilunga wa Simba na Bakari Mwanyeto wa Coastal Union alioingia nao fainali.
#SokaplaceUPDATES