YANGA YATUPWA NJE, MTIBWA YATINGA FAINALI.

Kibwana Shomari Ndiye shujaa Wa Mtibwa Sugar siku ya Leo baada ya kufunga bao la kusawazisha Dakika ya mwisho ya mchezo lakini pia akifunga Penati ya mwisho kwa Mtibwa Sugar na kuwafanya wakata miwa hao kutinga hatua ya fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi mjini Unguja.

Deus Kaseke alitangulia kuipatia Yanga bao la kuongoza kipindi cha kwanza ambalo lilidumu mpaka Dakika ya 93 ikiwa ni Dakika ya mwisho ya muda Wa nyongoza Mtibwa wakisawazisha
Katika upigaji Wa matuta Mtibwa Sugar walifanikiwa kufunga Penati 4 huku Yanga wakifunga Penati 2
Kesho Ijumaa ni Simba vs Azam FC katika nusu fainali ya pili

#wapendasokaupdates
#Mapinduzicup2020

Kamata Matokeo Ya Soka Jana

:
👉Spain – Super Cup
FT Barcelona 2 – 3 Atletico Madrid
:
👉Italy – Coppa Italia
FT Torino 1 – 1 Genoa
P (5-3)
:
👉International – Friendlies
FT Sweden 1 – 0 Moldova
:
👉International – Club Friendlies
FT Gaziantep FK 3 – 1 Menemenspor
FT Ankaragucu 0 – 1 Keciorengucu
FT Antalyaspor 4 – 0 Erzurum BB
FT Konyaspor 0 – 0 Umraniyespor
FT Sivasspor 2 – 2 Waldhof Mannheim
FT Augsburg 4 – 0 Hibernians
FT Istanbul Basaksehir 0 – 3 Fortuna Sittard
FT PSV Eindhoven 1 – 2 Club Brugge
FT Hoffenheim 1 – 2 ADO Den Haag
FT FC Twente 1 – 0 Royal Excel Mouscron FT Heracles 1 – 1 Sion
FT Ajax 2 – 0 Eupen
:
👉Algeria – Ligue 1
FT MC Alger 1 – 2 ES Setif
:
👉VodacomPrimierLeague
FT Tanzania Prisons 0-0 Ndanda SC
:
👉MapinduziCup2020
FT Mtibwa Sugar 1-1 Yanga SC
P (4-2)
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Yanga yaleta mrithi wa zahera

Uongozi wa klabu ya Yanga umemtangaza Luc Eymael raia wa Ubelgiji kuwa kocha wao mkuu akienda kuchukua nafasi ya Mwinyi Zahera aliyetupiwa virago Disemba mwaka jana. Boniface Mkwasa aliikaimu nafasi hiyo tangu alivyo tupiwa virago Zahera. Eymael anatarajiwa kuelekea visiwani Zanzibar ambapo kikosi cha Yanga kinashiriki michuano ya Mapinduzi wakifika hatua ya nusu fainali.

@hbumbuli @antonionugaz @yangasc
#wapendasokaupdates

Beki wa Ivorycoast Didier Boris Kadio amewasili Khartoum kukamilisha taratibu za usajili

Beki wa Ivorycoast Didier Boris Kadio amewasili Khartoum kukamilisha taratibu za usajili katika klabu ya Al Hilal Club 🇸🇩. Nyota huyo zamani wa ASEC Mimosas amewahikucheza huko Armenia, Kazakhstan, India na finland kabla ya kuelekea Sudani.

#SokaplaceUPDATES

@danirito_thomson @officialchristz

Kwa Ufupi CV ya LUC EYMAEL

:

Luc Eymael alizaliwa ubelgiji
20 September 1959 kwa sasa anaumri wa miaka 60.
:
Sehemu aliyozaliwa Tongeren , Belgium katika maisha yake ya soka alishawahi kuwa Goalkeeper
:
Timu alizozifundisha
1999–2003 RUS Sartoise
2003–2004 Weywertz
2004–2007 Jeunesse Lorraine Arlonaise
2007–2009 RFC Spy
2009–2010 Royal Racing Club Hamoir
2010–2011 AS Vita
2011–2012 Missile
2012 MC Oran
2013 A.F.C. Leopards
2014 Rayon Sports
2014–2015 JS Kairouan
2015 Al-Nasr
2015–2016 Al-Merrikh
2016–2017 Polokwane City
2017–2018 Free State Stars
2018–2019 Tala’ea El Gaish
2019– Black Leopards
:
2020 Yanga Sc ….. #SokaplaceUPDATES

Klabu ya Al Hilal 🇸🇩 imenasa saini ya mshambuliaji wa Iraqi Emad Mohsin Majeed kutoka Al-Zawraa SC 🇮🇶 kwa dola za Kimarekani 350,000

Klabu ya Al Hilal 🇸🇩 imenasa saini ya mshambuliaji wa Iraqi Emad Mohsin Majeed kutoka Al-Zawraa SC 🇮🇶 kwa dola za Kimarekani 350,000

Klabu ya Horoya AC ya Guinea imekamilisha usajili wa beki wa kati wa Beveracar Diarra kwa mkataba wa miaka miwili

Klabu ya Horoya AC ya Guinea imekamilisha usajili wa beki wa kati wa Beveracar Diarra kwa mkataba wa miaka miwili

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 pia ameichezea Club Africain, Wadi Degla, Lierse SK na Al Hilal Club.

#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson @officialchristz

Kamata Ratiba Ya Soka Leo

:

👉VodacomPremierLeague
16:00 Tanzania Prisons Vs Ndanda SC
:
👉Mapinduzicup2020
20:15 Yanga SC vs Mtibwa Sugar
:
👉Spain – Super Cup
22:00 Barcelona vs Atletico Madrid
:
👉Italy – Coppa Italia
23:15 Torino vs Genoa
:
👉International -Friendlies
20:00 Sweden vs Moldova
:
👉International – Club Friendlies
14:00 Gaziantep FK vs Menemenspor
14:00 Konyaspor vs Umraniyespor
14:00 PSV Eindhoven vs Club Brugge
16:00 Ankaragucu vs Keciorengucu
16:00 Antalyaspor vs Erzurum BB
17:00 Augsburg vs Hibernians
17:00 Istanbul Basaksehir vs Fortuna Sittard
17:00 Sivasspor vs Waldhof Mannheim
17:30 Hoffenheim vs ADO Den Haag
18:00 FC Twente vs Royal Excel Mouscron
18:00 Heracles vs Sion
19:00 Ajax vs Eupen
:
👉Algeria – Ligue 1
17:00 MC Alger vs ES Setif
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Design a site like this with WordPress.com
Get started