Wallace Karia ameteuliwa kuwa Mjumbe CAF

Rais wa TFF Wallace Karia ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Maalum ya kufanyia marekebisho mfumo wa Vyama vya Mpira wa Miguu vya Kikanda barani Afrika (AZA),Wajumbe wengine wa Kamati hiyo itakayoongozwa na Rais wa CAF, Ahmad Ahmad ni Katibu Mkuu wa CAF, Mouad Hajji, Mario Gallavotti kutoka FIFA,na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Niger Hamidou Djibrilla.
Hongera @wallacekaria

@wilfredkidao @tanfootball

#wapendasokaupdates

Aliyekuwa kiungo wa Asante Kotoko ya (Ghana) Jackson Owusu yuko jijini Nairobi kukamilisha harakati za kuelekea Gor Mahia FC . ..

Aliyekuwa kiungo wa Asante Kotoko ya (Ghana) Jackson Owusu yuko jijini Nairobi kukamilisha harakati za kuelekea Gor Mahia FC .
..
.. Owusu atajiunga na K’Ogalo kwa uhamisho wa bure kwani mkataba wake na Asante Kotoko ulimalizika kufuatia kipindi cha mkopo wa miezi 10 kutoka Al-Tadamon SC ya Lebanon.

Klabu ya Tottenham Hotspurs imefungua mazungumzo na Fc Barcelona ili kuona uwezekano wa kumsajili beki

K

labu ya Tottenham Hotspurs imefungua mazungumzo na Fc Barcelona ili kuona uwezekano wa kumsajili beki wa kulia Moussa Wague mwenye umri wa miaka 21
.
.
Wague amekuwa na wakati mgumu kupata namba ndani ya kikosi cha kwanza cha Barcelona kutokana na uwepo wa Nelson Semedo katika eneo lake.
.
.
#sokaonlineupdates

Kamata Ratiba Ya Soka Leo

Kamata Ratiba Ya Soka Leo
:
👉Mapinduzi Cup 2020
20:15 Simba SC vs Azam FC
:
👉England – Premier League
23:00 Sheffield United vs West Ham United
:
👉France – Ligue 1
22:45 Rennes vs Marseille
:
👉International – Club Friendlies
13:00 FC Ingolstadt 04 vs Gent
13:00 SC Heerenveen vs Llagostera
14:00 Hibernian vs Willem II
16:00 Borussia Mönchengladbach vs Freiburg
16:00 PEC Zwolle vs Zulte Waregem
16:30 Trabzonspor vs Partizani
16:00 Bayer Leverkusen vs FC Utrecht
16:00 1. FC Köln vs Genk
16:00 Galatasaray vs Altay
16:00 Wolfsburg vs FC Seoul
16:30 Besiktas vs Altinordu
16:30 KV Mechelen vs AZ Alkmaar
17:00 Alanyaspor vs Goztepe
17:00 Augsburg vs Cercle Brugge
17:00 Borussia Mönchengladbach vs Freiburg
17:00 Rizespor vs Akhisar Belediyespor
17:30 Royal Antwerp vs Lugano
18:00 Bayer Leverkusen vs St. Gallen
18:00 Fortuna Düsseldorf vs Basel
18:00 Sparta Rotterdam vs Waasland-Beveren
18:30 PEC Zwolle vs Standard Liege
19:00 Wolfsburg vs Servette
19:30 Ferencvaros vs Genk
20:00 Hamburger SVvs Schalke 04
:
👉Africa – Champions League
22:00 El Zamalek va Zesco United
19:00 JS Kabylie vs Raja Casablanca
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Atletcio Madrid wamefanikiwa kutinga fainali kwa mara ya kwanza toka mwaka 2014

Atletcio Madrid wamefanikiwa kutinga fainali kwa mara ya kwanza toka mwaka 2014 na watakutana na mahasimu wao Real Madrid kwenye mchezo wa fainali utakaopigwa siku ya jumapili

Atletico wanatinga fainali baada ya kuichapa Barcelona bao 3-2
#wapendasokaupdates
#supercopa

Design a site like this with WordPress.com
Get started