
Newcastle wapo tayari kumruhusu mshambuliaji wao Dwight Gayle aondoke kwa mkopo lakini akiwa na dhamana ya pauni 20m.
….
…
Tottenham wamewasiliana na nyota wa Lyon Moussa Dembele wakati wanatafuta mbadala wa nafasi ya Harry Kane.

Newcastle wapo tayari kumruhusu mshambuliaji wao Dwight Gayle aondoke kwa mkopo lakini akiwa na dhamana ya pauni 20m.
….
…
Tottenham wamewasiliana na nyota wa Lyon Moussa Dembele wakati wanatafuta mbadala wa nafasi ya Harry Kane.

Chelsea wapo kwenye mazungumzo ya kumsaini Dries Mertens kwa uhamisho wa bure msimu ujao.
..
..
Wakala wa Bruno Fernandes alikutana na watendaji wa Manchester United kwenye makao makuu ya klabu hiyo mnamo Ijumaa wakati wakiwa wanazungumza kuhusu uhamisho wa nyota huyo mwezi huu

O

le Gunnar Solskjaer anamfatilia kwa karibu mlinzi wa West Ham’s Issa Diop kama mlizi anaeweza kutatua suluhisho katika idara ya ulinzi ndani Manchester United. ..
…
… Mkurugenzi Manchester United Ed Woodward alilipwa zaidi kuliko mkurugenzi mwingine ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza msimu uliopita baada ya kupata Pauni 3.2m.

From @azamfcofficial
#TANZIA Azam FC tumepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mke wa Nahodha wetu, Agrey Moris, aliyefariki dunia jana jioni wakati akiwa kwenye harakati za kujifungua.
:
Tunatoa salamu zetu za pole kwenda kwa familia ya Moris, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki na wote walioguswa na msiba huo.
:
Azam FC tunaungana na familia ya marehemu na tunamuomba Mwenyezi Mungu, awajalie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
:
Pole sana @agreymorisambros
#SokaplaceUPDATES

K

labu ya Wydad AC 🇲🇦 imekamilisha taratibu za kunasaini ya kiungo wa kimataifa wa Uganda Joel Madondo kwa makataba wa miaka tatu na nusu.
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson @officialchristz

Baada ya tetesi kusambaa kuhusu @officialjameskotei kujiunga na klabu ya Yanga SC James Kotei anayekipiga katika klabu ya KaizerChiefs amepiga story na @sokaplace_
Nyota huyo amesema kuwa yeye hajafanya Mazungumzo na mtu yeyote na anashangazwa na habari hizo ambazo zimezagaa katika mitandao ya kijamii hapa Bongo kuwa tayari ashamalizana na klabu ya Yanga SC.
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson @officialchristz

Klabu ya TP Mazembe 🇨🇩 imemteua Kocha Raia wa Serbia Dragan Cvetkovic kama mkurugenzi mpya wa ufundi wa klabu hiyo kocha huyo amesaini mkataba wa mwaka mmoja.
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson @officialchristz
:
👉EnglandPremierLeague
15:30 Crystal Palace vs Arsenal
18:00 Chelsea vs Burnley
18:00 Everton vs Brighton & Hove Albion
18:00 Leicester City vs Southampton
18:00 Manchester United vs Norwich City
18:00 Wolverhampton Wanderers vs Newcastle United
20:30 Tottenham Hotspur vs Liverpool
:
👉VodacomPrimierLeague
16:00 Mbeya city vs Ndanda
16:00 Singida United vs Ruvu Shooting
16:00 Coastal union vs Biashara United
16:00 Polisi Tanzania vs Kagera Sugar
16:00 Mbao FC vs JKT Tanzania
:
👉FranceLigue 1
19:30 Bordeaux vs Lyon
22:00 Toulouse vs Brest
22:00 Amiens vs Montpellier
22:00 Angers vs Nice
22:00 Nimes vs Reims
22:00 Metz vs Strasbourg
:
👉Italy – Serie A
17:00 Cagliari vs AC Milan
20:00 Lazio vs SSC Napoli
22:45 Inter vs Atalanta
:
👉CAF Champions League
16:00 TP Mazembe vs Primeiro de Agosto
16:00 FC Platinum vs Al Ahly
22:00 Al Hilal Omdurman vs Etoile du Sahel
16:00 Mamelodi Sundowns FC vs USM Alger
19:00 Petro Atletico vs Wydad Casablanca
19:00 AS Vita Club va Esperance
:
👉England – Championship
15:30 Brentford vs Queens Park Rangers
18:00 Barnsley vs Huddersfield Town
18:00 Blackburn Rovers vs Preston North End
18:00 Charlton Athletic vs West Bromwich Albion
18:00 Hull City vs Fulham
18:00 Leeds United vs Sheffield Wednesday
18:00 Luton Town vs Birmingham City
18:00 Middlesbrough vs Derby County
18:00 Reading vs Nottingham Forest
18:00 Stoke City vs Millwall
18:00 Wigan Athletic vs Bristol City
:
👉SouthAfricaPremier league
16:30 Baroka FC vs Polokwane City
16:30 Highlands Park vs Stellenbosch FC
21:15 Chippa United vs Maritzburg United
:
👉Egypt – Premier League
18:00 FC Masr vs Al Mokawloon Al Arab
:
👉Morocco – Botola Pro
17:00 MAT Tetouan vs Ittihad Tanger
19:00 Raja Beni Mellal vs OCK Khouribga
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson
K

amata Matokeo Ya Soka Jana
:
👉MapinduziCup2020
FT Azam FC 0-0 Simba SC
P (2-3)
:
👉International – Club Friendlies
FT FC Ingolstadt 04 2 – 3 Gent
FT SC Heerenveen 2 – 1 Llagostera
FT Hibernian 2 – 1 Willem II
FT Borussia Mönchengladbach 2 – 1 Freiburg
FT PEC Zwolle 1 – 3 Zulte Waregem
FT Trabzonspor 1 – 0 Partizani
FT Bayer Leverkusen 3 – 4 FC Utrecht
FT 1. FC Köln 1 – 1 Genk
FT Wolfsburg 1 – 1 FC Seoul
FT Yeni Malatyaspor 1 – 1 Kukesi
FT Galatasaray 3 – 1 Altay
FT Besiktas 2 – 2 Altinordu
FT Alanyaspor 1 – 0 Goztepe
FT Augsburg 3 – 3 Cercle Brugge
FT Borussia Mönchengladbach 2 – 1 Freiburg
FT Rizespor 2 – 2 Akhisar Belediyespor
FT KV Mechelen 1 – 5 AZ Alkmaar
FT Royal Antwerp 3 – 0 Lugano
FT Bayer Leverkusen 3 – 2 St. Gallen
FT Fortuna DĂĽsseldorf 2 – 3 Basel
FT Sparta Rotterdam 2 – 2 Waasland-Beveren
FT PEC Zwolle 0 – 2 Standard Liege
FT Wolfsburg 1 – 2 Servette
FT VVV-Venlo 1 – 1 Kortrijk
FT Hamburger SV 0 – 4 Schalke 04
:
👉England – Premier League
FT Sheffield United 1 – 0 West Ham United
:
👉France – Ligue 1
FT Rennes 0 – 1 Marseille
:
👉Netherlands – Eerste Divisie
FT De Graafschap 2 – 1 Jong FC Utrecht
FT FC Dordrecht 1 – 1 Excelsior
FT Helmond Sport 0 – 0 NAC Breda
FT Cambuur 1 – 2 FC Volendam
FT Telstar 2 – 0 FC Eindhov
:
👉Africa – Champions League
FT El Zamalek 2 – 0 Zesco United
FT JS Kabylie 0 – 0 Raja Casablanca
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson







