Klabu ya Ajax🇳🇱 imeinasa saini ya Mshambuliaji wa klabu ya Galatasaray🇹🇷 raia wa Uholanzi

DEAL DONE|.
.
Klabu ya Ajax🇳🇱 imeinasa saini ya Mshambuliaji wa klabu ya Galatasaray🇹🇷 raia wa Uholanzi Ryann Babel kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu.
.
Babel mwenye umri wa miaka 33 ni zao la shule ya soka ya Ajax aliitumikia klabu hiyo kwa kipindi cha miaka 9 kabla ya mwaka 2007 kutimkia nchini Uingereza kinako klabu ya Liverpool.
.
Alirejea Ajax mwaka 2012 kwa msimu mmoja ,msimu uliofuata alisaini kunako klabu ya Galatasaray🇹🇷 kwa mkataba wa miaka 3.
.

Babel ameitumikia Uholanzi takribani mechi 63.
.
Amewahi kuvitumikia Vilabu vya Liverpool,Al ain,Kasimpasa,Besiktas,Deportivo la Coruna na Fulham tangu aondoke Ajax mwaka 2013.

Ratiba ya Soka Leo

Kamata Ratiba ya Soka Leo
:
👉VodacomPremierLeague
16:00 Tanzania Prisons vs Namungo FC
:
👉England – Premier League
17:00 AFC Bournemouth vs Watford
19:30 Aston Villa vs Manchester City
:
👉England – Championship
13:00 Cardiff City vs Swansea City
:
👉SpainCopadelRey
14:00 Cacereno vs Eibar
14:00 San Sebastian vs RCD Espanyol
14:00 UM Escobedo vs Sevilla
14:00 Unionistas de Salamanca vs Deportivo La Coruna
18:00 AD Ceuta FC vs Real Sociedad
18:00 Merida vs Celta Vigo
18:00 Real Jaen vs Levante
19:00 Barakaldo vs Rayo Vallecano
:
👉SpainSuper Cup
21:00 Real Madrid vs Atletico Madrid
:
👉ItalySerie A
14:30 Udinese vs Sassuolo
17:00 Fiorentina vs SPAL
17:00 Torino vs Bologna
17:00 Sampdoria vs Brescia
20:00 Verona vs Genoa
22:45 Roma vs Juventus
:
👉FranceLigue 1
17:00 Saint-Etienne vs Nantes
19:00 Dijon vs Lille
23:00 Paris Saint-Germain vs Monaco
:
👉AfricaConfederations Cup
19:00 Enugu Rangers vs FC Nouadhibou
19:00 Pyramids FC vs Al Masry
19:00 Al-Nasr vs Bidvest Wits
22:00 Djoliba AC vs Horoya AC
16:00 Motema Pembe vs RSB Berkane
16:00 Zanaco vs Esae FC
16:00 Enyimba vs Paradou AC
22:00 Hassania Agadir vs San Pedro
:
👉Egypt – Premier League
15:30 El Hodood vs Smouha SC
18:00 Misr El-Maqasa vs ENPPI
20:30 Ismaily SC vs El Geish
:
👉Kenya – Premier League
13:00 Sofapaka vs Nzoia Sugar FC
14:00 Bandari vs Tusker FC
16:00 AFC Leopards vs Wazito FC
16:00 Chemelil Sugar vs KCB
16:00 Kakamega Homeboyz vs Gor Mahia
16:00 Kisumu All Stars vs Posta Rangers
16:00 Mathare United vs Kariobangi Sharks
16:00 Ulinzi Stars vs Western Stima
:
👉Morocco – Botola Pro
17:00 Rapide Club Oued Zem vs FUS Rabat
19:00 FAR Rabat vs Youssoufia Berrechid
:
👉South Africa – Premier League
16:30 Amazulu Durban vs SuperSport United
16:30 Bloemfontein Celtic vs Black Leopards
16:30 Kaizer Chiefs vs Cape Town City FC
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Jose Mourinho amesema kuwa haitaji mshambuliaji mpya baada ya kuumia kwa Harry Kane.

Meneja wa Tottenham, Jose Mourinho amesema kuwa haitaji mshambuliaji mpya baada ya kuumia kwa Harry Kane.


Mshambuliaji huyo wa England anahitaji upasuaji juu ya jeraha na anatarudi uwanjani mnamo mwezi Aprili mwanzoni, …

Wakati spurs imehusishwa na harakati za kumnasa Moussa Dembele na Edinson Cavani, Mourinho amesema kuwa yuko tayari kuwatumia wachezaji aliokuwa nao.

Matokeo Ya Soka Jana

Kamata Matokeo Ya Soka Jana
:

👉VodacomPrimierLeague
FT Mbeya City 1-0 Ndanda FC
FT Singida United 1-0 Ruvu Shooting
FT Coastal Union 1-1 Biashara United
FT Polisi Tanzania 2-1 Kagera Sugar
FT Mbao FC 2-2 JKT Tanzania
:
👉EnglandPremierLeague
FT Crystal Palace 1 – 1 Arsenal
FT Chelsea 3 – 0 Burnley
FT Everton 1 – 0 Brighton
FT Leicester City 1 – 2 Southampton
FT Manchester United 4 – 0 Norwich City
FT Wolverhampton 1 – 1 Newcastle United
FT Tottenham 0 – 1 Liverpool
:
👉EnglandChampionship
FT Brentford 3 – 1 Queens Park Rangers
FT Barnsley 2 – 1 Huddersfield Town
FT Blackburn Rovers 1 – 1 Preston North End
FT Charlton Athletic 2 – 2 West Bromwich Albion
FT Hull City 0 – 1 Fulham
FT Leeds United 0 – 2 Sheffield Wednesday
FT Luton Town 1 – 2 Birmingham City
FT Middlesbrough 2 – 2 Derby County
FT Reading 1 – 1 Nottingham Forest
FT Stoke City 0 – 0 Millwall
FT Wigan Athletic 0 – 2 Bristol City
:
👉SpainCopadelRey
FT Club Haro Deportivo 1 – 2 Osasuna
FT Gimnastic 1 – 3 Real Zaragoza
FT UCAM Murcia 2 – 3 Mirandes
FT Zamora 0 – 1 Mallorca
FT Ebro 1 – 0 Ponferradina
FT Portugalete 0 – 3 Real Betis
FT Real Murcia 0 – 4 Leganes
FT Yeclano 1 – 2 Elche
FT CD Badajoz 2 – 1 Las Palmas
FT Badalona 2 – 0 Getafe
FT Cartagena 2 – 4 Girona
FT Leonesa 2 – 1 SD Huesca
FT Sestao 0 – 4 Athletic Bilbao
FT Orihuela 1 – 2 Villarreal
FT UD Tamaraceite 0 – 1 Granada
:
👉ItalySerie A
FT Cagliari 0 – 2 Milan
FT Lazio 1 – 0 Napoli
FT Inter 1 – 1 Atalanta
:
👉FranceLigue 1
FT Bordeaux 1 – 2 Lyon
FT Angers 1 – 1 Nice
FT Metz 1 – 0 Strasbourg
FT Toulouse 2 – 5 Brest
FT Nimes 2 – 0 Reims
FT Amiens 1 – 2 Montpelier
:
👉CafChampionsLeague
FT TP Mazembe 2 – 1 Primeiro de Agosto
FT FC Platinum 1 – 1 Al Ahly
FT Al Hilal Omdurman 1 – 2 Etoile du Sahel
FT Mamelodi Sundowns FC 2 – 1 USM Alger
FT Petro Atletico 2 – 2 Wydad Casablanca
FT AS Vita Club 0 – 2 Esperance
:
👉EgyptPremierLeague
FT FC Masr 1 – 3 Al Mokawloon Al Arab
FT Raja Beni Mellal 0 – 0 OCK Khouribga
:
👉SouthAfricaPremier League
FT Baroka FC 1 – 0 Polokwane City
FT Highlands Park FC 1 – 4 Stellenbosch FC
FT Chippa United FC 0 – 0 Maritzburg United
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Design a site like this with WordPress.com
Get started