Baada ya kuonyesha nia ya kuhama Munich Jerome Boateng sasa anawindwa kwa ukaribu na baadhi ya vilabu kutoka barani ulaya …
….
Sky Sports inasema AC Milan na Arsenal, wote wapo kwenye njia moja katika mawindo ya kuinasa saini ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani.
Mabingwa wa Bundesliga Buyern wanataka ada ya uhamisho kati ya Pauni 13 milioni hadi ($ 17m)



GROUP A













