
Kipa wa kimataifa wa Kenya Ian Otieno yupo mbioni kujiunga na Zanaco ya Zambia akitokea Red Arrows.
…
…
Otieno, ambaye alijiunga na Red Arrows mnamo februari 2018 kutoka AFC Leopards, amejipatia jina katika Ligi Kuu ya Zambia (ZSL) katika misimu miwili iliyopita.
…
…
Umahili wake umekuwa akimpa imani Kocha Mkuu wa Harambee Stars, Francis Kimanzi ambaye amemfanya kuwa na namba ya kudumu mbele ya Patrick Matasi na Timothy Odhiambo.
…
..
“Tumekubaliana kwa mahitaji binafsi na sasa ni kwa vilabu hivyo viwili kukubaliana juu ya ada ya uhamisho,” Otieno aliiambia Nation Sport kwa simu kutoka Zambia .












…