Kamata Matokeo Ya Soka Jana

:
👉MapinduziCup2020Final
FT Mtibwa Sugar 1-0 Simba SC
:
👉Italy – Serie A
FT Parma 2 – 0 Lecce
:
👉Netherlands – Eerste Divisie
FT Jong AZ Alkmaar 3 – 1 TOP Oss
FT Jong PSV 0 – 0 Jong Ajax
:
👉International – Club Friendlies
FT Oostende 2 – 3 St. Gallen
FT Sion 1 – 1 Fehervar FC
FT Basel 0 – 2 VfB Stuttgart
:
👉Egypt – Premier League
FT Wadi Degla FC 1 – 1 El Entag El Harby
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Guardiola kashindwa kuwa mzalendo kwa aguero na kilueleza ukwel

Baada ya mshambuliaji wa Man City raia wa Argentina kuandika rekodi ya kuwa mchezaji pekee EPL aliyewahi kufunga jumla ya hat-trick 12 Sergio Aguero katika ushindi wa 6-1 wa Man City dhidi ya Aston Villa, kocha wa Man City Pep Guardiola ameeleza licha ya uwezo huo wa Aguero lakini hawezi kulinganishwa na Lionel Messi.

Jibu la Guardiola lilikuja baada ya swali kuulizwa kutokana na Aguero kuandika rekodi mpya EPL, huku akiulizwa anadhani Aguero ndio mchezaji bora aliyewahi kufanya nae kazi? Guardiola alitabasamu na kujibu kuwa ni Lionel Messi.

“Bora ni Messi (Lionel) lakini Sergio ni bora miongoni mwa waliosalia, nimekuwa nikisema mara nyingi atakufa huku akiwa anaendelea kufunga magoli tu, hicho ndio kipaji chake”>>> Pep Guardiola

VIDEO

Antonio Conte kaeleza sababu za Sanchez kukaa benchi

Kocha wa Inter Milan Antonio Conteameeleza kuwa hakupandwa na uazimu kufanya maamuzi ya kumuacha benchi mshambuliaji wake Alex Sanchez, Conte amesema mchezaji huyo anatatizo na utimamu katika mwili wake (fitness).

Majeruhi yamekuwa yakimchelewesha sana Sanchez kurudi katika ubora wake kama ambavyo wengi wamemzoea, Sanchez hadi sasa amecheza game Italiana kuumia mguu ambapo kumemfanya akae nje hadi mwaka mpya 2020.

“Wachezaji wanatakiwa kuwa vizuri vinginevyo huo utakuwa ni wazimu (kutomchezesha) au nitakuwa mjinga ama nitakuwa nataka kujiumiza mwenyewe, kama moja jumlisha moja inakuwa mbili, halafu ukitaka kupata tano? (lazima uongeze mchezaji), kama simchezeshi mchezaji sio kwa sababu nimepata wazimu kuna sababu”>>>Antonio Conte

BandariUpdates | Mwalala atimuliwa Bandari FC.

#
.

KENYA, Baada ya kipigo cha jana dhidi ya TUSKER FC, klabu ya Bandari FC inayoshiriki ligi kuu KENYA (KPL) imemfuta kazi kocha wao mkuu Bernard Mwalala kutokana na muendelezo mbovu katika ligi ya nchini humo. Taarifa ndani ya klabu hiyo zinasema kuwa Twahir Muhiddin ndiye atakaye kuwa kocha wa muda wa klabu hiyo.
.
Mwalala anaiacha BANDARI katika nafasi ya 11 wakiwa na alama 18 huku wakiwa wamecheza mechi 16. Bandari katika mechi hizo imeshinda mechi 5, Sare 3 na imepoteza mechi 8 (D W D L W L L D L L W L W W L L).
.
Tusker inaongoza ligi hiyo kwa alama 37, ikifuatiwa na KAKAMEGA homeboyz alama 36, Uhuru Star ya 3 alama 34 ,zote zikicheza michezo 17, huku iliyocheza michezo 14 ipo nafasi ya 4 na alama zao 32.
.
#bakinasisi__ #NjooKwetu #TupoNawePaleUlipo

Klabu ya Kmc Fc ya Dar es Salaam yaachana rasmi na wachezaji hawa

Klabu ya Kmc Fc ya Dar es Salaam yaachana rasmi na wachezaji hawa👇.
:
❌ Aaron Lulambo, ❌ George Sangija, ❌ Rehani Kibingu, ❌ Melly Mongolare ❌ Janvier Besala Bukungu
:
Ni mara baada ya makubaliano ya klabu na wachezaji ya kusitisha mikataba yao kutokana na sababu mbalimbali.

Kiungo wa Aston Villa Jack Grealish ameibuka kuwa mchezaji anayesakwa sana na mabingwa watetezi wa EPL

Kiungo wa Aston Villa Jack Grealish ameibuka kuwa mchezaji anayesakwa sana na mabingwa watetezi wa EPL Manchester City huku mahasimu wao Manchester United wakionyesha nia kwa mchezaji huyo wa miaka 24.

Wakala wa beki wa kati wa Arsenal Shkodran Mustafi atafanya mazungumzo na Galatasaray kuhusu mchezaji huyo kuhamia kwenye klabu hiyo ya Uturuki. (Fotomac, via Express)

Kamati ya ufundi ya Chama cha Soka cha Zambia (FAZ) imefanya mchujo wa CV za wakufunzi kutoka 13 hadi kufikia idadi ya makocha watatu tu

Kamati ya ufundi ya Chama cha Soka cha Zambia (FAZ) imefanya mchujo wa CV za wakufunzi kutoka 13 hadi kufikia idadi ya makocha watatu tu. huku MSerbia Milutin Sredojevic, anayejulikana kama Micho, kusalia kwenye orodha hiyo ya makocha 3 waliosali kwenye kinyan’ganyiro


Lakini makocha wengine ni pamoja na mkufunzi wa zamani wa Msumbiji na raia wa Ureno Abel Xavier na Ivan Jacky Minnaert raia wa Ubelgiji.

Design a site like this with WordPress.com
Get started