:
👉Ni changamoto sio Tanzania tu bali Afrika nzima lakini wenzetu wa Ulaya walikuja na goal technology na VAR
Matukio yanayopigiwa kelele sana ni ya Off-Side (kuotea) yanayoamuliwa na waamuzi wa saidizi (washika vibendera)
:
👉Gharama za kuwalipa waamuzi kwa msimu ni zaidi ya Tsh. 764M lakini kuwalipa wasimamizi wote wa mechi ni zaidi ya Tsh. 1.82B kwa msimu
:
👉Waamuzi wamelipwa katika raundi 12 zimebaki roundi 7 na tunaendelea kuwalipa
:
👉Presha kubwa imewekwa kwa waamuzi wiki hii waamuzi 7 wameomba wasipangwe kwenye mechi yoyote, utaona namna ambavyo presha inapelekea sasa waamuzi wanaanza kuingia woga. Waamuzi walioomba wasipangwe hawana tatizo wala hawajaharibu kwenye mechi yoyote.
VIA @shaffihdauda_


•








: